kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Hizo fedha ndizo anazoandikia mawe nchi nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi fanywa kitu mkuuuTakukuru wanasubiri nini???
KwannHizo fedha ndizo anazoandikia mawe nchi nzima
Ni kweli mkuuu ila kumbuka bado yupo na madili ni membi sana hivyo atafikia hiyo idadi tupesa nyingi ya ivyo ni dili kubwa lazima limehusisha kikundi au idadi flani ya watu kwaio aili pekeyake ina mgao.
Huyo....... Ni mani mkuuuuVita vya Mwiguli na Januari ila heri ya Mwiguli kuliko ........
Karma isn't a bitch to everyoneIpo siku huko serikalini watamuelewa Magufuli kwanini alikuwa mkali kwenye mambo ya upotoshaji.
Watanzania ukishawapa kichwa cha habari tosha story wana andika wenyewe, huo muda wa kujiridhisha ukweli hawana.
Hivi kwa akili ya kawaida tu ata kama hiyo phase gharama zimeongezeka kama CAG anavyodai, lakini ujenzi wenyewe unalipwa kwa awamu kupitia certificate ya kazi; sasa huyo Mwigulu atacholopoa vipi hizi hela kabla ya kazi na ujenzi atakuanza bado.
Huyu mtu anaetwaja hayupo hiyo kazi kapewa mchina.
Uzuri wa hili sakata ni mungu anajibu kwa namna yake zile trillion 1.5 za Magufuli; na kwanini baadae akatimuliwa baada ya upotoshaji wake.
You know what they say karma is a bitch
Huyu ni nchemba na nani mkuu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyu ni nchemba na nani mkuu
Jibu sasa we choko unacheka nn sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
mimi naishi Tandika Mwembeyanga , huku kwetu matusi ni sehemu ya salamu , wala sishangai kwa wewe kuniita choko , lakini jua kwamba huu ujinga uliouandika hapa utaulipia kwa maumivu makubwa sana .Jibu sasa we choko unacheka nn sasa
Kwani choko ni tusi, duuh sasa nikifunguka mengine si utalia sasamimi naishi Tandika Mwembeyanga , huku kwetu matusi ni sehemu ya salamu , wala sishangai kwa wewe kuniita choko , lakini jua kwamba huu ujinga uliouandika hapa utaulipia kwa maumivu makubwa sana .
Matusi si utaratibu wa JF
joined 10/3/2023 , ni vizuri JF ikafundisha nidhamu hawa vijana wapya ili wasiaibishe wazazi wao na jukwaaJibu sasa we choko unacheka nn sasa
Joined 10/3 but member since octoberjoined 10/3/2023 , ni vizuri JF ikafundisha nidhamu hawa vijana wapya ili wasiaibishe wazazi wao na jukwaa
Mkuu hizo hela hazipo ni ndoto za Ali-Nacha tu.Karma isn't a bitch to everyone
Familia ya moi wamechota 3B $ na hawakufanywa kitu sasaivi vizazi vinakula bata tu
Mkuuu lifee isn't fair at all
Duuuh aseee kwaiyo ni uongo na hakuna ufisadi uliofanyika hata shs 100 🤔🤔Mkuu hizo hela hazipo ni ndoto za Ali-Nacha tu.
Ni sawa na wewe upendelee tender ya ujenzi wa nyumba kazi umpe shemeji yako.
Halafu waje watu waseme bei ya ujenzi ni kubwa, kipimo ni nyumba iliyojengwa mwaka juzi kwa kuangalia unit cost.
Sasa nyumba ambayo uwanja tambarare na nyumba ya kilimani na msitu juu; gharama za kutayarisha kiwanja tu sio sawa.
Bado nyumba iliyojengwa kabla ya covid na itakayojengwa sasa sio sawa gharama za usafirishaji vifaa point A to B zimepanda, gharama za cement zimepanda, huyo mkandarasi nae ana inflantation adjustment zake. Kwa vyovyote unit per sq meter aiwezi kuwa.
Tatu mkandarasi analipwa kwa certificate kila baada ya hatua ya kazi; apewi hela yote kwa mkupuo. Huo ujenzi wenyewe ata kuanza bado sasa hiyo hela imeibiwa saa ngapi.
Halafu hiko kipande sasa hivi nadhani anakijenga mchina, sio mturuki tena.
Ni hadithi za CAG, halafu huyo Mpina trust me ni mental case, sio mzima kabisa.
Uzuri wa hili sakata ni somo kwa serikali hii kwanini Magufuli alimtimuwa Hassad ni upotoshaji kama huu na kujifunza kwanini alikuwa mkali na sources za habari zinazosambaza upotoshaji.