Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

Mkuu' vipi u mzima lakini?

Umepoteza kumbukumbu au? Maana uzi unamzungumzia waziri!
 
Kwa kitendo cha spika Tulia kusitisha mjadala wa ripoti ya CAG ni wazi naye inawezekana ni accomplice wa huu ujambazi

Ninawaza kwa nini serikali imeagiza makatibu wakuu wa Wizara kujibu hoja za CAG ni wazi kuna uhusika mkubwa wa huu wizi behind strong tables
 
Ukimuona na tai yake ya bendera ya taifa utafikiri ni mzalendo kumbe jizi, inashangaza hadi leo yuko ofisini. Aishatuambia kama hatutaki tozo tuhamie Burundi, kumbe anataka tozo ili apige pesa akahudumie singida United
Hao watu wanaojifanya ni wazalendo sana kwakuvaa tai zenye rangi ya bendera ya Taifa, ni wanafiki na majizo makubwa. Wamafanya hivyo kuwahadaa wajinga.
 
Acheni kumchafuwa huyu waziri Ni kweli simkubali I'll kwa tuhuma hzo hpn ninkumchafua tu

Mazingira tu yanaashiria Mwigulu ni mwizi, japo yawezekana siyo kwa kiwango hicho.

Ebu fikiria waziri anakuwa mfadhili wa club. Anaondolewa kwenye uwaziri anashindwa kuifadhili timu, na timu inaingia kwenye ukata mkubwa. Ina maana uwaziri wake ndio uliokuwa unafadhili hiyo timu?
 
Nyie genge la wasukuma zama zenu zimepita hakuna anayesikiliza huo uzushi wenu. Mtaweweseka sana ila hamtafanikiwa. Simtetei Mwigulu uzi wako unajionesha ni wa majungu usiokuwa na ushahidi. Mpina mi nanfahamu tangia anasoma ni mtupu km ndiyo mnamtegemea mjue hilo nii tambara bovu
 
Sio kila mtu ni mwanasiasa na kusukuma

USSR
 
Kweli simpendi Mwigulu, lkn tuhuma hii mbona kubwa sana.
Isije kuwa ni mambo kuchafuana tu
 
Akija Bungeni ajibie
 
Mwigulu anapaswa kuondoka ofisini. Hii aina tofauti na kashfa ya Sukari. Aondoke na apelekwe mahakamani.
 
Huyu jamaa alikuwa anatetea sana tozo hadi kuwambia raia wahamie burundi, huku akijinasibu kwamba yeye ni mchumi nguli asiyetakiwa kutiliwa shaka hata kidogo.

Wananchi wanahangaika maisha magumu hawawezi kufanya savings kwa sababu ni tozo kila mahali, kwenye mitandao ya simu na mabenki, halafu hizo pesa zinapigwa kama hazina mwenyewe.

Ni bora serikali ikaona umuhimu wa kusitisha tozo kuwanusuru wanachi maana serikali inakusanya kodi za kutosha lakini upigaji na matumizi ya hovyo ikiwemo kununua magari ya kifahari kwa watendaji wa serikali ni makubwa kupindukia.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…