Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu' vipi u mzima lakini?Wizi wa Magufuli tunaoujua ni 1.5 trilioni lakini ule wa Magufuli alioshirikiana na Biswalo Mganga ni zaidi ya hapo labda unaweza kufika trilioni 10 na ushee.
CCM ni walewale na mambo ya wizi na upigaji na matumizi mabaya ya fedha za Wananchi masikini ni yale yale.
Kwa kitendo cha spika Tulia kusitisha mjadala wa ripoti ya CAG ni wazi naye inawezekana ni accomplice wa huu ujambaziWaziri wa zamani wa uvuvi Ruhaga mpina ametoa tuhuma kwa waziri wa fedha mwigulu Nchemba kuwa ameiibia serkali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR View attachment 2595078
Kuna mtu nimemquote hebu pitia kidogo ndugu KisamvMkuu' vipi u mzima lakini?
Umepoteza kumbukumbu au? Maana uzi unamzungumzia waziri!
[emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo unaanza kuongea ovyoovyo?Ila watu wana tamaa na akili aisee
Yan trillion moya kweli anaweza kukaa nayo na hadaki wenge
mimi nikipata milioni 10 tu nakua na wenge
Kuna mtu nimemquote hebu pitia kidogo ndugu Kisamv
Hao watu wanaojifanya ni wazalendo sana kwakuvaa tai zenye rangi ya bendera ya Taifa, ni wanafiki na majizo makubwa. Wamafanya hivyo kuwahadaa wajinga.Ukimuona na tai yake ya bendera ya taifa utafikiri ni mzalendo kumbe jizi, inashangaza hadi leo yuko ofisini. Aishatuambia kama hatutaki tozo tuhamie Burundi, kumbe anataka tozo ili apige pesa akahudumie singida United
jamani mwacheni mtoto wa mkulima.This is serious allegation...
Acheni kumchafuwa huyu waziri Ni kweli simkubali I'll kwa tuhuma hzo hpn ninkumchafua tu
Nyie genge la wasukuma zama zenu zimepita hakuna anayesikiliza huo uzushi wenu. Mtaweweseka sana ila hamtafanikiwa. Simtetei Mwigulu uzi wako unajionesha ni wa majungu usiokuwa na ushahidi. Mpina mi nanfahamu tangia anasoma ni mtupu km ndiyo mnamtegemea mjue hilo nii tambara bovuWaziri wa zamani wa uvuvi Ruhaga mpina ametoa tuhuma kwa waziri wa fedha mwigulu Nchemba kuwa ameiibia serkali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR View attachment 2595078
Sio kila mtu ni mwanasiasa na kusukumaNyie genge la wasukuma zama zenu zimepita hakuna anayesikiliza huo uzushi wenu. Mtaweweseka sana ila hamtafanikiwa. Simtetei Mwigulu uzi wako unajionesha ni wa majungu usiokuwa na ushahidi. Mpina mi nanfahamu tangia anasoma ni mtupu km ndiyo mnamtegemea mjue hilo nii tambara bovu
Bungeni hizo tuhuma alitoa mamako? Acha uwongo we poyoyo.Zimetolewa bungeni acha upopoma
USSR
Kweli simpendi Mwigulu, lkn tuhuma hii mbona kubwa sana.Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR
View attachment 2595078
Akija Bungeni ajibieWaziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR
View attachment 2595078
Mwigulu anapaswa kuondoka ofisini. Hii aina tofauti na kashfa ya Sukari. Aondoke na apelekwe mahakamani.MPINA: WAZIRI MWIGULU ANAHUSIKA NA UFISADI WA TRILIONI 1.7 MRADI WA SGR
"Kulikuwa na kutokufuata sheria ya manunuzi wakati wa kutoa zabuni ya mradi wa SGR.Kwa mujibu wa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 inaonyesha kuwa gharama ya ujenzi wa SGR Lot. Na. 3 na Lot. Na. 4 ziliongezeka kwa dola za Marekani milioni 1.3 na milioni 1.6 kwa kilomita moja ya SGR baada ya TRC kuacha njia ya ushindani na kutumia njia ya Single Source na kusababisha hasara ya jumla ya Tsh. Trilioni 1.7 Licha ya PPRA na bodi ya zabuni ya TRC kukataa sharti la kutumia mzabuni mmoja, lakini TRC ilitoa zabuni hiyo kwa njia ya Single Source kwa kampuni ya Yapi Merkezi.Maamuzi haya yalitokana na
maelekezo ya Wizara ya Fedha na Mipango chini ya Waziri @mwigulunchemba1 kwa barua yenye Kumb: PST/GEN2021/01/55" Mhe.Luhaga Mpina Bungeni
Na kaongelea bungeni kisa hawezi kushitakiwa ili kuthibitishaZinatakiwa evendence za kutosha kuthibitisha.Sio kupayuka tu Kama mweu.