Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

Wanapata wapi pesa za kudhamini timu za mpira singida united na namungo fc hali ni watumishi wa umma watueleze. Kama ni wafadhili wajulishe.
Na sio kukamata traffic au hakimu aliyekula elf 10 ya rushwa.
Ngada,we huoni wachezaji wanatoka Brazil wanakuja kucheza miezi mitatu wanarudi kwao
 
Tuliambiwa na lisu huyo mwigulu ni karani yani anasikiliza ya wakubwa wanataka amewekwa kwa kusudi maalum sina hakika kama hela yote hiyo ikaibwa na mtu mmoja
 
Kwahiyo serikali inashindwa kujua pesa za marehemu zilipo?,alikwemda nazo mbinguni?,ifike mahala tumia akili yako kisoda kikamilifu uliyopewa na mungu kupambanua mambo unayosikia.

Kwahiyo trln 10 imekaa tu halafu nchi inatembeza bakuri kupata pesa kwa mashariti ya kugonoana?,wewe ni mbwa kabisa
 
Raisi amesema zimefunguliwa akaunti huko Uchina au ulikuwa umelala?
 
Muda si mrefu utajua hujui
 
Jamaa huyu anaupenda sana urais kwahiyo anajikusanyia fedha nyingi sana kwa ajili ya kampeni zijazo. Namshauri ajitahadhari sana asije akawa kama kigoma anayelima.
 
Mimi nafarijika sana hawa mafisi wakiraruana wenyewe kwa wenyewe
 
Ndiyo maana Esther Luxury Coach fleet imeongezeka maradufu
 
If you asked me hata Samia anahusika..., Huu uozo umetokea under her watch..., kwahio na yeye awajibike.... (Ila ndio hivyo tena sheria, na haki sio necessarily the same thing)
 
Ukimuona na tai yake ya bendera ya taifa utafikiri ni mzalendo kumbe jizi, inashangaza hadi leo yuko ofisini. Aishatuambia kama hatutaki tozo tuhamie Burundi, kumbe anataka tozo ili apige pesa akahudumie singida United
Ashukuru tu ana walinzi lkn anastahili kukamatwa na kupakwa Vaseline msng huyu. Lina dharau wakati hata jamii yake inajulikana ina maisha duni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…