passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Weka evidence Acha kuropokaKuna Mmoja alipiga 1.5 trillion na bado hatunae tenaa Duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka evidence Acha kuropokaKuna Mmoja alipiga 1.5 trillion na bado hatunae tenaa Duniani
Ni wazi, kuna jambo linaloendelea chini kwa chini kati ya CCM na CHADEMA.Naona kama kuna kisingizio cha "hawako bungeni" kuna mambo yanaendelea kimya kimya nakosa majibu yake.
Kuanzia uchambuzi wa ile ripoti ya CAG Mnyika na wenzake kuichambua nusu sijui walikuwa na haraka za nini... na lawama wakazipeleka kwa PM kama vile ndie kiongozi wa nchi ndio nikachoka kabisa...
Hayo maridhiano uliyozungumzia sasa zinaonekana dalili yameleta mengi haswa, sijui nami niseme kweli hatuna pakukimbilia, au tumeamua tu kutulia kama kawaida yetu, hatuna pressure!.
Mimi nilishaamua kujishikilia kwa Mpina tu!.
Hiyo ya kufungua account kwa dna ni hatari sana 😅😅😅Pesa inawekwa kwenye akaunti uko Switzerland ambapo akaunti unafungua kwa kutumia DNA yako.
Eti haijaibiwa ila haipo 😁😁😁😁Asad aliulizwa hadharani akasema haijaibiwa ila haipo.
Wanakula pamoja.Roma kasema "siku zote anayechelewesha msafara ni ng'ombe wa mbele ila anapigwa wa nyuma". Mwigulu hajala pekeake hyo pesa, Bi. Jicho la kungu anahusika pia.
Wengi wamekuwa wakisema humu ndani kwamba kwenye maridhiano unapata baadhi, na kupoteza baadhi, kwa hali ya mambo ilivyo naona kama Chadema ndio wamepoteza vikubwa zaidi.Ni wazi, kuna jambo linaloendelea chini kwa chini kati ya CCM na CHADEMA.
Tena umetoa mfano sahihi kabisa kuhusu "uchambuzi wa ripoti ya CAG" kulikofanywa na akina Mnyika na baada ya uchambuzi huo yaliyosemwa hadharani yakawa maigizo!
Siku hiyo hiyo, uchambuzi aliotoa Zitto, pamoja na kumjua anachokisimamia, ripoti aliyoitoa ikawa ndiyo yenye nafuu zaidi ya ile ya CHADEMA!
Nilishasema humu mara kadhaa, na hainichoshi kurudia, kwamba CHADEMA kwa sasa hivi ni sehemu ya CCM ya mama Samia. Ajenda anazosimamia Samia ndizo zile zile Mbowe anazitamani miaka yote; kwa hiyo Samia kabeba furushi lote na Mbowe kabaki hana kitu.
Kilichobaki sasa, hasa ifikapo 2025, kuwasikia tu CHADEMA wakijisalimisha rasmi kwa CCM ya Samia.
Ninachowaza sasa hivi kuwa kinaweza kutokea ni kile ambacho hutokea kila nyakati za chaguzi zinapowadia kule Kenya. Ile miungano ya kutafuta ulaji, yaani uundwaji wa umoja "coalitions"
CHADEMA na CCM na ACTWazalendo na hivi vitakataka vinginevyo, watatuletea Muungano wao ili watutafune vyema.
Inawezekana tayari hata Jina la muungano huo lipo tayari, linasubiri tu kutangazwa rasmi.
Nisichokielewa vizuri kwa sasa ni chama gani kitakuwa mpinzani wa muungano huo wa walaji. Nikitazama huko ndani ya CCM, hata yale masalia ya Magufuli, hakuna mwenye ubavu wa kutotaka kuwepo mezani kutafuna mali za waTanzania.
Kwa hiyo ni vigumu sana kutegemea upinzani unaoongozwa na genge hilo.
Ila kwa Magufuli tuhuma zenu ni sawa kumchafua?Acheni kumchafuwa huyu waziri Ni kweli simkubali I'll kwa tuhuma hzo hpn ninkumchafua tu
Mmeongeza na biswalo sasa. Mnateseka sana kmmmk dah. Sahizi uzushi wa trillion moja mmeona hautoshi muongeze na wa BiswaloWizi wa Magufuli tunaoujua ni 1.5 trilioni lakini ule wa Magufuli alioshirikiana na Biswalo Mganga ni zaidi ya hapo labda unaweza kufika trilioni 10 na ushee.
CCM ni walewale na mambo ya wizi na upigaji na matumizi mabaya ya fedha za Wananchi masikini ni yale yale.
Ni kelele sababu haina ushahidi. Mwigulu ni mwizi wa tozo pamoja na miradi.Sio "kelele" wizi uite wizi usimung'unye maneno.
Ishu ni raia kugoma kulipa kodi wazi wazi na kuanzisha mgomo kabisa hadi serikali itapochukua hatua. Kama haichukui hatua kuwajibisha hao wezi basi TRA wasisumbue watu.Huyu jamaa alikuwa anatetea sana tozo hadi kuwambia raia wahamie burundi, huku akijinasibu kwamba yeye ni mchumi nguli asiyetakiwa kutiliwa shaka hata kidogo.
Wananchi wanahangaika maisha magumu hawawezi kufanya savings kwa sababu ni tozo kila mahali, kwenye mitandao ya simu na mabenki, halafu hizo pesa zinapigwa kama hazina mwenyewe.
Ni bora serikali ikaona umuhimu wa kusitisha tozo kuwanusuru wanachi maana serikali inakusanya kodi za kutosha lakini upigaji na matumizi ya hovyo ikiwemo kununua magari ya kifahari kwa watendaji wa serikali ni makubwa kupindukia.
Hakuna hela ilioko china. Hela zao walizoiba wao na mwigulu ndio wamezipeleka China halafu wanataka kusingizia ni za Magufuli... Bi Tozo asitafute cheap popularityRaisi amesema zimefunguliwa akaunti huko Uchina au ulikuwa umelala?
CIG ni kirundi au...??Ni kelele kwa kuwa CIG alishatolea ufafanuzi kuhusu taarifa ile
USSR
Mzee anawaacha vizuri vijana wake. Watoto wa Omary Ali Juma hadi kesho wanalipwa mpunga mrefu kila mwaka. Around $2M kila mwaka toka serikali ya wakaburu sababu kuna jambo baba yao alilifanya kwa mzee Mandela.Ukweli mchungu vifo vyote vya matajiri nilivyohudhuria watoto wamelia sana
Ila walifarijiwa na ukwasi wa wazazi wao au baba yao aliowaachia imagine mtu anaachiwa apartment 7,nyumba 1,gari 3,account benki billioni 9.7, hapo kaajiriwa sehemu nzuri
Ni mwendo wa kulamba asali tu mpaka unaingia kaburini
Usijifariji na hio kauli ya "sote tutakufa"
Hizi waachie mapadri na masista wasio na watoto wewe zitakuumiza sana pamoja na uzao wako
Hayo ni yangu
Akiamua kupika data hakuna wa kutunasua.Hamna mtu mkuuu