Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc.

Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika.

Viongozi wa simba sc hawana maono hapa wamefeli kumuondoa luis
Anataka Mshahara wa Al-Ahly; huku anacheza Mpira wa Biashara United.
 
Wakati Bangala yupo Yanga alikuwa kwenye schedule ya benchi inayofanana sawa na hii anayowekwa saizi Mkude?

Bangala ilikuwa ni nadra kumkosa kwenye 1st eleven na ndio maana alipewa hadi ukapteni msaidizi.

Sasa replacement ya namna gani hiyo ambayo kuziba gape la Bangala ni kukaa benchi karibia mechi zote za muhimu?
Sasa kama combination ya aucho na muda imekubali unataka uyo mkude acheze tu ili kuwa-prove wrong simba? Kasajiriwa kama mchezaji wa timu ya kwanza mbinu za mwalimu na juhudi zake ndivyo vitakavyompa namba
Okrah aliyetoka Simba ndio yule yule aliyerudi Yanga. Vile vigoli alivyokuwa akifunga huko kwao Ghana viliwadatisha bila kupima intensity ya ligi yao kufananisha na yetu.

Ni sawa na ukachukue mchezaji ligi ya Sudan Kusini kwa kina Zalan, ukamleta bongo eti kisa huko kwao alikuwa ni top score.
Umesema ya kwamba simba na yanga wanachukuliana wachezaji kimhemko na ukawatolea mfano okra na mkude ndipo nikakulekebisha kwamba uyo okrah wakati anaenda yanga hakua anatokea simba.
 
Kama Aucho na Mudathiri ndio combinations nzuri baada ya kuondoka Bangala basi replacement ya Bangala ni Mudathiri sio Mkude.

Na kama Mudathiri alikuwa na kiwango hicho kabla ya Mkude halafu bado wakenda kumsajili Mkude ambaye anaozea benchi, basi ndio yaleyale ya ulimbukeni tuliyoyasema
 
Mbona unabisha vitu visivyokua na tija? Sasa replacement maana yake unajaza nafasi iliyo wazi sasa muda atakua vipi replacement wakati wote walikua pamoja na bangala hapo yanga? Kaondoka bangala ivyo kukawa na uhitaji wa kuongeza mtu mwingine kwenye kiungo ndipo akasajiriwa mkude. Timu ina wachezaji wa kikosi cha kwanza takribani 25 kwaiyo atakaendana na mbinu za kocha na kuonyesha juhudi ndie ataingia kwenye first eleven, kutokea simba sio guarantee ya kuingia first eleven.
 
Sasa kama walikuwa pamoja hapo wote kwanini unasema sababu ya Mkude kutopewa nafasi ilikuwa ni kutokana na Mudathiri ikiwa Mkude kuletwa kuziba gap la Bangala?

Sijui unanielewa point yangu?

Halafu utambue kuwa Mudathiri ni Central Midfielder wakati Bangala ni Defense Midfielder. Kwa hiyo kusema sababu ya Mkude kutocheza ni kwasababu ya Mudathiri haiwezi kuwa hoja yenye mashiko kulinganana na majukumu yao yanavyotofautiana kiwanjani
 
Sasa kama walikuwa pamoja hapo wote kwanini unasema sababu ya Mkude kutopewa nafasi ilikuwa ni kutokana na Mudathiri ikiwa Mkude kuletwa kuziba gap la Bangala?

Sijui unanielewa point yangu?
Hakuna popote nimesema sababu ya mkude kutocheza ni muda, hayo ni maneno yako mimi nimesema kwamba combination ya aucho+muda ndio imeonekana inaleta ufanisi pale kwenye kiungo ndio maana mkude anakula benchi. Bangala defensive midfielder baada ya kuondoka ndipo akasajiriwa mkude ili kuziba pengo na sio lazima mkude acheze eti kwa sababu tu katoka simba au kuwa-prove wrong watu kwamba hakusajiriwa kwa mihemko., ni mbinu za kocha na juhudi ndivyo vinamuwezesha mchezaji kuingia first eleven. Timu ina wachezaji wengi msimu una mechi nyingi sio lazima na haiwezekani kila mchezaji acheze kila mechi.
 
Mkude alienda kuchukua nafasi ya bangala na hata mshahara wake sio mkubwa ukilinganisha na wa Miqquisone.

Okrah kwenda yanga hakutokea simba. Okrah alisajiriwa yanga akitokea kwao nigeria ambapo alikua na kiwango kizuri tu ivyo lengo lilikua kuimarisha kikosi kwa kuziba nafasi iliyoachwa na jesus moloko.

Sijaelewa point yako ya kum-challwnge uyo jamaa ni ipi maana wewe mwenyewe kukiri hizi ni sajiri za kimhemko tayari unakubaliana na yanga kumtomsajiri miqquisone, au unataka yanga amsajiri tu Miqquisone kuendeleza huo utamaduni wa sajiri za mihemko?
Okrah mnigeria 😂😂😂😂😂
 
Wakati Bangala yupo Yanga alikuwa kwenye schedule ya benchi inayofanana sawa na hii anayowekwa saizi Mkude?

Bangala ilikuwa ni nadra kumkosa kwenye 1st eleven na ndio maana alipewa hadi ukapteni msaidizi.

Sasa replacement ya namna gani hiyo ambayo kuziba gape la Bangala ni kukaa benchi karibia mechi zote za muhimu?

Mshahara sio factor ya msingi hususan ukizingatia kwa wachezaji wazawa.

Skudu anaweza kuwa analipwa mshahara mrefu kuliko hata Backa, lakini tunapokuja kwenye kipimo cha nani ambaye anaisaidia timu kupitia uwezo wake hapo ndio tunapomuengua Skudu..

Okrah aliyetoka Simba ndio yule yule aliyerudi Yanga. Vile vigoli alivyokuwa akifunga huko kwao Ghana viliwadatisha bila kupima intensity ya ligi yao kufananisha na yetu.

Ni sawa na ukachukue mchezaji ligi ya Sudan Kusini kwa kina Zalan, ukamleta bongo eti kisa huko kwao alikuwa ni top score.
Mi ni Yanga ila naona Kuna baadhi ya sajili huwa watu wanataka kupiga hela za GSM
Okrah ,mkude,Konkoni,skudu Hawa ni watumishi hewa
 
Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc.

Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika.

Viongozi wa simba sc hawana maono hapa wamefeli kumuondoa luis
Mchukueni tu si mumezoea kuchukua malonyalonya yanayoachwa Simba.
 
Naweza kusema kwa vipindi vya hivi karibuni ambapo Simba alichukua ubingwa wa Tanzania Bara walikuwa hawashindi kwa njia halali bali kwa rushwa kwa kuwaonga baafhi ya viongozi, wachezaji na makocha wa tmu pinzani na pia wasimamizi wa mechi.

Haiwezekani timu kama ni bora ikachukua ubingwa kwa njia halali alafu ikauza wachezaji wawili ambao ni Chama na Luis wakashindwa kufanya vizuri kwenye timu zikizowasajili hii moja kwa moja inaleta timu haikushinda kwa njia halali.

Nakumbuka wakati huo kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu Simba ila waandishi wetu wa habari walikuwa kimya kuongelea ili inawezakana labda kwa mapenzi yao na Simba ama walipewa kitu kidogo!

WENYE AKILI NDOGO WATAPINGA MAWAZO YANGU!
 
Mi ni Yanga ila naona Kuna baadhi ya sajili huwa watu wanataka kupiga hela za GSM
Okrah ,mkude,Konkoni,skudu Hawa ni watumishi hewa
Mkuu usajili wa wachezaji ni kamari, hakuna kitu kigumu sana kama usajili kukulipa. Huko ulaya kuna majopo ya watalaam wa scouting lakini nao wanafeli kwenye usajili. Labda usajili wa wachezaji kutoka Simba nitaungana na wewe kuwa kuna sajili za kukomoana ambazo zilikuwa hazina maana ila katika sajili hizo za kutoka Simba zisizo na maana muondoe Mkude. Mkude bado ana kitu cha kuisaidia Yanga kwenye eneo la kiungo. Angalia mechi zake anazocheza yeye anavyoipa balance timu ni tofauti na Mauya na Sure boy.
 
Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc.

Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika.

Viongozi wa simba sc hawana maono hapa wamefeli kumuondoa luis
Na wanavyopenda kuleta wachezaji ambao hawana timu tena wachezaj wafupi wafupi.
 
Mkuu usajili wa wachezaji ni kamari, hakuna kitu kigumu sana kama usajili kukulipa. Huko ulaya kuna majopo ya watalaam wa scouting lakini nao wanafeli kwenye usajili. Labda usajili wa wachezaji kutoka Simba nitaungana na wewe kuwa kuna sajili za kukomoana ambazo zilikuwa hazina maana ila katika sajili hizo za kutoka Simba zisizo na maana muondoe Mkude. Mkude bado ana kitu cha kuisaidia Yanga kwenye eneo la kiungo. Angalia mechi zake anazocheza yeye anavyoipa balance timu ni tofauti na Mauya na Sure boy.
Ok ngoja niende na huu mtazamo wako napenda mwekezaji apate return anayoweka maana kuendesha team sio rahisi
 
Mi ni Yanga ila naona Kuna baadhi ya sajili huwa watu wanataka kupiga hela za GSM
Okrah ,mkude,Konkoni,skudu Hawa ni watumishi hewa
Skudu ni mchezaji mzuri sana amkekosa muda wa kucheza ile injury ya kwanza ilimtoa kwenye reli
 
Back
Top Bottom