Luis Miquissone kutambulishwa Yanga kama mchezaji wao mpya

Luis Miquissone kutambulishwa Yanga kama mchezaji wao mpya

Pole mkuu ila ndio ukweli, simba kwa sasa ni klabu kubwa na hata waarabu wameanza kupata hofu, luis amesajiliwa al ahly ila watamtoa kwa mkopo kwa yanga, na hizo ni mbinu zao za kuivuruga kiakili simba ambao wanajua moja kwa moja ni itakua tishio kwao na ubingwa wao wa afrika, wewe jiulize kwanini wasingempeleka timu nyingine.
Ligi ya Masri haijaisha na utambulisho wa wachezaji bado, anatolewaje kwa mkopo mchezaji hajatambulishwa kwa kuwa ligi inaendelea? Labda useme wamekopeshwa na Simba.
 
Pole mkuu ila ndio ukweli, simba kwa sasa ni klabu kubwa na hata waarabu wameanza kupata hofu, luis amesajiliwa al ahly ila watamtoa kwa mkopo kwa yanga, na hizo ni mbinu zao za kuivuruga kiakili simba ambao wanajua moja kwa moja ni itakua tishio kwao na ubingwa wao wa afrika, wewe jiulize kwanini wasingempeleka timu nyingine.
Dah!,,mkuu umedadavua kiufundi hasa kwa fact zilizoshiba.
Simba haina makosa wamefanya biashara ila maranyingine Simba iwe makini sana kufanya biashara na waarabu kama kweli Konde boy atapelekwa Yanga.
 
Kuna hii taarifa naiona IG
Screenshot_20210824-201742.jpg
 
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga.

NB:
Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
Thanks Jesus!!!
 
Kama kumsajili Miquison nayo ni pupa basi nawaunga mkono ktk hili.
Unaanzaje kumuacha mchezaji kama miquison kwenye timu yako, hata kama huna uhitaji...?
 
Hahah kuna watu ni mazwazwa aisee! Yani na nyie mnaamini kabisa hii habari
 
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga.

NB:
Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
Mkuu, itendee haki hiyo blue tick. Au hujui maana yake?
 
Back
Top Bottom