Luis Miquissone kutambulishwa Yanga kama mchezaji wao mpya

Luis Miquissone kutambulishwa Yanga kama mchezaji wao mpya

Ni ajabu sanaz na ni ntu zuzu tu atauelewa huu upuuzi wako.

Haiwezekani.

Yaani umnunue mchezaji then umtoe kwa mkopo tena kwa pesa mingi? Tena mchezaji ambaye yupo tayari kutumiwa? Ingekuwa kinda tungekuewa

Ligi ya Misri bado haijatamatika hivyo utambulisho wa wachezaji wapya bado.
 
Yanga sasa hivi imepoteza mwelekeo kwa hyo wana wazuga mashabiki kwa maneno kama hayo pamoja na kumtambulisha manara ili kuwapoteza mashabiki maboya.
 
Yanga wanajua sana propaganda...ila Simba wapo vizuri wapo kimya na vitendo vinaongea....ila kiukweli simba tulichobalikiwa nikuwa na watu wa mpira hanspope,magori,Try again,mulamu na wengineo kwenye bodi wangekua yanga wangetisha yanga ukiacha tuu na timu kuwa sio imara ila pia hawana watu w mpira Hersi miaka 10 nyuma alikua na shughuli zake nyingine huyu Senzo fitina za bongo hazijui kwani bongo mpira una mambo mengi ya nje inayohitaji umafia...mwisho kwa yote Simba wana timu na wana watu wa mpira wanaomzunguka Barbra
 
Hahah kuna watu ni mazwazwa aisee! Yani na nyie mnaamini kabisa hii habari
usiwaite mashabiki wa timu zao mazwazwa wakati kwenye maswala ya usajili lolote linawezekana ,umesahau ya morison
 
Pole mkuu ila ndio ukweli, simba kwa sasa ni klabu kubwa na hata waarabu wameanza kupata hofu, luis amesajiliwa al ahly ila watamtoa kwa mkopo kwa yanga, na hizo ni mbinu zao za kuivuruga kiakili simba ambao wanajua moja kwa moja ni itakua tishio kwao na ubingwa wao wa afrika, wewe jiulize kwanini wasingempeleka timu nyingine.
Uwezo wako wa kufikiri n mdogo sana
 
Ni ajabu sanaz na ni ntu zuzu tu atauelewa huu upuuzi wako.

Haiwezekani.

Yaani umnunue mchezaji then umtoe kwa mkopo tena kwa pesa mingi? Tena mchezaji ambaye yupo tayari kutumiwa? Ingekuwa kinda tungekuewa

Ligi ya Misri bado haijatamatika hivyo utambulisho wa wachezaji wapya bado.
Kuna kitu mimi kinanichanganya mtu anaposema kuwa ligi ya misri bado dirisha la usajili halijafunguliwa. Kwani dirisha la usajili wa CAF hauna nguvu? Maana tumeona CAF wakitangaza mwisho wa kuwasilisha majina ni tarehe 15 August hivyo maana yake ni kwamba CAF wameruhusu timu zinazoshiiriki michuano ya kimataifa wasajili kabla ya tarehe 15 wawasilishe majina. Sasa dirisha la usajili Misri linazuiaje dirisha la CAF?
 
Pole mkuu ila ndio ukweli, simba kwa sasa ni klabu kubwa na hata waarabu wameanza kupata hofu, luis amesajiliwa al ahly ila watamtoa kwa mkopo kwa yanga, na hizo ni mbinu zao za kuivuruga kiakili simba ambao wanajua moja kwa moja ni itakua tishio kwao na ubingwa wao wa afrika, wewe jiulize kwanini wasingempeleka timu nyingine.
[emoji16][emoji16][emoji16] unachekesha sana...
 
Hata Kama yanga hawaja msajir Miqison jiulize haya

Usajir wa CAF umefungwa au?

Maana ahly ametuma kikos caf kwa ajil ya mashindano ya klabu bingwa lakn jina la luiz miquison halipo kwa mujibu was chanzo changu hiko misri

Je miquison amesajiliwa kwa mashindano ya ndani TU ya ahly?

Tuwe na subira kidogo ila la kuja yanga n ngumu kuamin japo lolote laweza kutokea katika mpira

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pale ambapo haji manara atakapo ongea maneno yake ya shombo katika kilele cha siku ya wananchi huku akiwa akimtangaza Jose Luis Miqquissone ndo akili itakapowakaa nyie mbumbumbu [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom