Luis Miquissone kutambulishwa Yanga kama mchezaji wao mpya

Ligi ya Masri haijaisha na utambulisho wa wachezaji bado, anatolewaje kwa mkopo mchezaji hajatambulishwa kwa kuwa ligi inaendelea? Labda useme wamekopeshwa na Simba.
 
Dah!,,mkuu umedadavua kiufundi hasa kwa fact zilizoshiba.
Simba haina makosa wamefanya biashara ila maranyingine Simba iwe makini sana kufanya biashara na waarabu kama kweli Konde boy atapelekwa Yanga.
 
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga.

NB:
Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
Thanks Jesus!!!
 
Kama kumsajili Miquison nayo ni pupa basi nawaunga mkono ktk hili.
Unaanzaje kumuacha mchezaji kama miquison kwenye timu yako, hata kama huna uhitaji...?
 
Hahah kuna watu ni mazwazwa aisee! Yani na nyie mnaamini kabisa hii habari
 
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga.

NB:
Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
Mkuu, itendee haki hiyo blue tick. Au hujui maana yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…