Swali kama hilo Majina yaliyopelekwa Yanga la Miquissone lilikuepo?Hata Kama yanga hawaja msajir Miqison jiulize haya
Usajir wa CAF umefungwa au?
Maana ahly ametuma kikos caf kwa ajil ya mashindano ya klabu bingwa lakn jina la luiz miquison halipo kwa mujibu was chanzo changu hiko misri
Je miquison amesajiliwa kwa mashindano ya ndani TU ya ahly?
Tuwe na subira kidogo ila la kuja yanga n ngumu kuamin japo lolote laweza kutokea katika mpira
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hata Kama yanga hawaja msajir Miqison jiulize haya
Usajir wa CAF umefungwa au?
Maana ahly ametuma kikos caf kwa ajil ya mashindano ya klabu bingwa lakn jina la luiz miquison halipo kwa mujibu was chanzo changu hiko misri
Je miquison amesajiliwa kwa mashindano ya ndani TU ya ahly?
Tuwe na subira kidogo ila la kuja yanga n ngumu kuamin japo lolote laweza kutokea katika mpira
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kikubwa ni $$$$$$$$🤣🤣🤣
Kwa kiwango cha Miquisone kubaki Bongo ni ndoto aise labda lakini.
Mpira pesa bwa shee.Kivip
Kivipi mkuu
Pale ambapo haji manara atakapo ongea maneno yake ya shombo katika kilele cha siku ya wananchi huku akiwa akimtangaza Jose Luis Miqquissone ndo akili itakapowakaa nyie mbumbumbu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia dawa ikuingie.Mkiitwa Utopolo mnatokwa povu.Sasa hivi hamkumbuki tena ya CAS na Morrison.