Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

Morata yuko njema technically, huwezi mlinganisha na lukaku, lukaku anategemea nguvu na speed
 
Diego Costa anaweza kuwa bora kupia hao wawili ila sasa fujo zake zinaweza kudhoofisa. I am the big fan of Agueroooooooooooooooooooooo ....... I swear you'll never see anything like this again!


Well said kamanda Aguero hashikiki,,,,usimsahau wa pembeni yake "albino wa kizungu nimemsahau jina"
 
Morata is a big gamble right now cause he is moving from a girlish league to a hardcore one.

Lukaku is shifting to a better position.

I go for Lukaku.
 
Too bias analysis yaan unatoa room ya improvement kwa Lukaku pekee maandishi yako yanaonyesha jinsi gani ulivyo mnazi wa Manchester United badala ya kufanya analysis unaonyesha your wish na jinsi gani usivyoipenda Chelsea
 
Morata hana nguvu. Sijui kama atamudu EPL.
amecheza league yenye mabeki visiki ya Italy atashindwa England....mpira sio nguvu ni akili na inategemeana umezungukwa na nani??? sasa chelsea ina hazard, willian, Pedro, Moses na wanyama wengine wengi tu kitakacho mshinda nini????

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Hivi kwanini Morinho alimkataa Lukaku akiwa Chelsea?
 
man u na chelsea zote zilimtaka morata timu moja kati ya hizi ilikataliwa pamoja na kuwa morata alikuwa chaguo lao la kwanza hivyo jiulize ni kwanini conte na mourinho walimhitaji morata kama chaguo namba moja kuliko lukaku
 
Uzuri wa Morata sidhani kama utaonekana msimu wa kwanza,kwani ligi ya uingereza straika lazima utumie nguvu za ziada kwani mabeki wa timu zote wanajua kukamia.Tofauti na Hispania chenga nyingi hadi golini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye money league Manchester amemchakaza sana madrid japo hana mafanikio ya uwanjani, madrid wanaogopa kupoteza mvuto wao wa timu tajiri na kikosi cha ma galactico ndio maana wanaifanyia sana figisu man utd. hilo ongezea na bifu la kumkosa de gea utaona kwanini walifanya hivyo.
 
timu ikiwa na wachezaji wa aina moja pia haipendezi

martial ni technical gifted kuliko morata, ana speed na anajua kudrible, hata rashford pia, morata nae yupo vizuri zaidi finishing na vichwa anajua kupiga.

ukimuangalia lukaku yeye pia anajua vichwa na finishing

kwa timu kama man utd ambayo tayari ina martial na rashford pamoja na watu kama mkhitariyan, mata, pogba, herrera nyuma yao lukaku ni bora zaidi, sababu kinachotakiwa hapa tena sio intelligence, bali ni kusukumiza tu mpira kimiani.

mwaka jana nakumbuka man united walitoka draw mechi kibao, si kwamba tulizidiwa na tukashindwa kutengeneza nafasi, bali ni kukosa tu mtu wa kutia mpira kimiani.

mechi na burnley timu inapiga mashuti 30 lakini hakuna goli hata moja. hapa ndio utaona unahitaji striker gani.

hata mourinho alipohojiwa alisema lukaku amemsajili ili abreak timu zinazopaki basi kutokana na quality yake.

hivyo muono wangu lukaku anakuja kuwa complete rashford na martial na kuongeza upana wa option kutokana mechi na mechi, usishangae mechi akakaa benchi asianze na akaanza mtoto rashford.
 
Mbona lacazzette hamsemi?? Au arsenal tumelamba garasa, sijawahi mkubali lacazzette!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…