hagai salehe
Member
- May 4, 2017
- 49
- 15
Ligi EPL ikianza tutarudi huku tuchambue upya kwani tutajionea wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diego Costa anaweza kuwa bora kupia hao wawili ila sasa fujo zake zinaweza kudhoofisa. I am the big fan of Agueroooooooooooooooooooooo ....... I swear you'll never see anything like this again!
Too bias analysis yaan unatoa room ya improvement kwa Lukaku pekee maandishi yako yanaonyesha jinsi gani ulivyo mnazi wa Manchester United badala ya kufanya analysis unaonyesha your wish na jinsi gani usivyoipenda ChelseaBinafsi napenda kuchangia huu mjadala kwa kuangalia angle hizi hapa:
Kati ya Everton na R.Madrid ipi timu kubwa zaidi; bila shaka ni R Madrid nikiwa na maana kuwa kuna a very strong squad yenye build up ya goli kuanzia kwa golikipa hadi strikers. R Madrid hawana tofauti sana na Juventus; lakini Everton haipo level sawa na Juve wala R Madrid
Kwa maneno mengine Morata ana sapoti kubwa sana uwanjani kuliko alivyo Lukaku kutokana na tofauti pamoja na uwezo wa timu husika. Bado Lukaku ameng'ara zaidi ya Morata anayecheza sambamba na Ronaldo ama Benzema ama Gareth Bale; huku Lukaku akipambana kama jeshi la mtu mmoja.
Cha ajabu ni kwamba pamoja na kuwa Morata amekuwa kwenye timu kubwa kubwa bado ameshindwa kuwa kwenye strong first team akiwa Juve na hata R Madrid; yaani amekuwa kama sup kwenye timu zake; wakati Lukaku akifanikiwa kuwa kwenye first team na kufanikiwa pia kuibeba Everton
Ninachokiona ni kuwa ukweli ni kuwa Juve na R Madrid ni timu kubwa na imara zaidi ya Chelsea; na kama Morata alishindwa kung'aa vema na R Madrid kiasi cha kuweza kuwa chaguo namba moja basi nahofia kuwa Chelsea ndo atapotea zaidi maana nature ya ligi ya epl ni tofauti na ligi alizowahi kuzicheza hapo awali kuanzia timu yenyewe hadi uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
Kuhusu Lukaku; ni matumaini yangu huenda akarekebisha matatizo yake ya first touch na kumfanya kuwa kati ya wachezaji wakubwa sana Duniani kwa kuwa sasa ana sapoti ya nguvu kuanzia akina Pogba, Miki, Lingaard, Valencia, Blind, Bailly, Lindelof, Martial nk nk jambo ambalo hajawahi kukipata hapo awali tangu amekuwa mchezaji imara na tegemeo kwenye timu husika.
Huenda wazungu wakajitoa ufahamu kuhusu uwezo wa Lukaku dhidi ya Morata kutokana na rangi ya Lukaku.
amecheza league yenye mabeki visiki ya Italy atashindwa England....mpira sio nguvu ni akili na inategemeana umezungukwa na nani??? sasa chelsea ina hazard, willian, Pedro, Moses na wanyama wengine wengi tu kitakacho mshinda nini????Morata hana nguvu. Sijui kama atamudu EPL.
Etoo na Drogba ni league tofauti. Katika wakati wao walijua sana mpira. Etoo hana umbo kubwa sana na mweusi tii.Mo anapenda mijitu yenye maguvu na meusi tiiii.....umesahau etoo pale Milan
Didier drogba pale London
Eti adi adebayor kacheza Madrid ...kweli jaman ....
kwenye money league Manchester amemchakaza sana madrid japo hana mafanikio ya uwanjani, madrid wanaogopa kupoteza mvuto wao wa timu tajiri na kikosi cha ma galactico ndio maana wanaifanyia sana figisu man utd. hilo ongezea na bifu la kumkosa de gea utaona kwanini walifanya hivyo.Kwa nini walikataa? Mourinho alidai kuwa walishindwa kumsaji Morata kwa sababu walishindwa kukubaliana bei. Kwamba ndo iliyofanya Man Utd kwenda kumnunua Lakaku kwa £75. Lakini Real Madrid wamekubali kumwuza Morata Chelsea kwa £60m.
Hapo ndo najiuliza ni sababu gani hasa Madrid walikataa au waliwatamkia Man Utd dau kubwa?
timu ikiwa na wachezaji wa aina moja pia haipendeziAnalysis
European football journalist Mina Rzouki on BBC Radio 5 live
If you offered me the choice between Morata and Lukaku, I wouldn't even think about it.
I would pay £20m or £30m more if I had to and I would bring in Morata.
That is because I would always prefer an intelligent player in my team. Even if he doesn't score as many goals, even if he doesn't do whatever he needs to.
If he is more intelligent then he can be moulded quicker, he can do what he needs to do. And Morata has Champions League experience. He was second top scorer for Real Madrid despite not starting.
He has done it at Juventus and he has done it at Real Madrid.
He understands, he has the pace, he is intelligent, he links up play, he can be a counter-attacking threat.