Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

Uzee unaanzia 50+ na siyo 60+. Kwa sasa hivi, mzee ambaye ni junior kabisa ni yule aliyezaliwa mwaka 1971. Kuanzia mwaka huo kurudi nyuma wote hao ni wazee
 
Uspika siyo kubeba Zege.
 
Hayati Magufuli aliwaambia urais wawaachie vijana siku zao zimeshapita.

Akasema sio maneno mazuri lakini lazima yasemwe.
Huo ulikuwa wivu tu wa Jiwe, na alikuwa anajaribu kuhakikisha anaendelea kutawala kwa remote kwa kutuwekea chaguo lake la hovyo, ... WHETHER WE LIKE OR NOT!
 
Hao vijana wenu wapuuzi walituangusha sana eg. Makonda,Sabaya nk.

Trump ni over 70 na atagombea next US election,aliepo sasa anakaribia 80 na atagombea next election.

Hao akina Chenge bado sana ni ujinga tu na ushamba....lack of exposure ndio vimekuongoza kuandika 🚮🚮
 


Husifananishe wazee wa kibongo na mambelez akili, afya,exposure , Elimu , vyakula na mazoezi ni vitu viwili tofauti

Tazama Mzee wa miaka 70 majuu ni kama kijana wa miaka 30 bongo hao wakina Sabaya, Makonda njaa kali wameanzia kazi uvccm kujibu wapinzani mitandaoni husiwafananishe na kijana smart Kama Masele

Masele yupo full exposed Katokea kwenye private sectors banks and telecom mishahara ya 5 to 10 m ni kitu cha kawaida bado bonus na mikopo mikubwa amezoea hela ndio akapata ubunge





Hao wawili wana above 55
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…