Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

Uzee huazia 60+ na kwa andiko lako unawaingiza wengi, pamoja na Rais. Umeona 1 tu Masele kati ya Watz chungu nzima, kuna nini hapo! Mie, pamoja sikubaliani na sera zao, nisingependa Lukuvi kuondoka. Yy amejitofautisha kwa sana na waliomtangulia.
Kamweka wa jinsia yake ambaye naona hajagonga 60. Ngoja tuchezeshwe ngoma fulani. Kuna wkt, hata kama humpendi, mpe heshima impasayo.
Sio kila kijana ana uwezo pia. Ungesema wachunguzwe kabla ya kupewa majukumu kwanza badala ya kuchukua umri kama kigezo kwani naona kama hapakua na screening yoyote. Wamechaguana kwa vigezo vyao
Uzee unaanzia 50+ na siyo 60+. Kwa sasa hivi, mzee ambaye ni junior kabisa ni yule aliyezaliwa mwaka 1971. Kuanzia mwaka huo kurudi nyuma wote hao ni wazee
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Uspika siyo kubeba Zege.
 
Hayati Magufuli aliwaambia urais wawaachie vijana siku zao zimeshapita.

Akasema sio maneno mazuri lakini lazima yasemwe.
Huo ulikuwa wivu tu wa Jiwe, na alikuwa anajaribu kuhakikisha anaendelea kutawala kwa remote kwa kutuwekea chaguo lake la hovyo, ... WHETHER WE LIKE OR NOT!
 
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?

Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi binafsi na chama mbele ndiye anajipigia chapuo ya kuwa spika? Kwamba Leo akina Kabudi ndio tunawaza wakawe maspika na warekebishe Sheria za awamu ya Ndugai?

Sisi wazee tukubali kung'atuka tukafanye mambo mengine. Tutashangaa sasa akina Wasira nao watachua fomu kwa sababu wazee tumeshindwa kukemeana na kukatazana.

Wazee tukae pembeni tutoe ushauri tusiishi maisha yetu na maisha ya watoto wetu. Wake Nyerere wasingetuamini tukiwa vijana may be tusingefika hapa tuliopo.

Wazee kaeni kando turuhusu kizazi kingine kitakachowaza namna nzuri ya kuishi kesho. Turudi kumtumikia MUNGU atujalie afya njema. Tujifunze kwa uborongaji wa wazee wenzetu akina Masilingi, Slaa, Banna, Migiro ambao wamekaa balozini hakuna chochote Cha maana waichofanya, hakuna new intervention waliyoibua. Wapo tu wanazunguka na immunity za kidiplomasia. Wazee tukae pembeni, na ninyi wapika kura wengi ni vijana, msikubali kuwachagua hao wazee hata kwenye chama wataendelea kukaa viti vyenu.

Tunataka spika wa umri wa akina Masele ambaye hata akitukanwa kwa hoja atoweza kutumia umri kama kigezo cha kutoa maamuzi. Spika akianza kuboronga akatamani aheshimiwe kama Mzazi hoja zinakufa kwa sababu ni vigumu kumkosoa baba Yako.
Hao vijana wenu wapuuzi walituangusha sana eg. Makonda,Sabaya nk.

Trump ni over 70 na atagombea next US election,aliepo sasa anakaribia 80 na atagombea next election.

Hao akina Chenge bado sana ni ujinga tu na ushamba....lack of exposure ndio vimekuongoza kuandika 🚮🚮
 
Husifananishe wazee wa kibongo na mambelez akili, afya,exposure , Elimu , vyakula na mazoezi ni vitu viwili tofauti

Tazama Mzee wa miaka 70 majuu ni kama kijana wa miaka 30 bongo hao wakina Sabaya, Makonda njaa kali wameanzia kazi uvccm kujibu wapinzani mitandaoni husiwafananishe na kijana smart Kama Masele

Masele yupo full exposed Katokea kwenye private sectors banks and telecom mishahara ya 5 to 10 m ni kitu cha kawaida bado bonus na mikopo mikubwa amezoea hela ndio akapata ubunge

C430DF8A-0A6F-4BDF-A03A-E5EACDE4FF3E.jpeg

C83DDE28-65CB-4905-B3B4-5B105CCB6A7C.jpeg

Hao wawili wana above 55
 
Back
Top Bottom