Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Watu wa CCM Wana Museven DNA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza na wasira kwanza mbona wasira bado yupo?, Lukuvi wanamuonea wivu na kumkomoa kwa sababu alupendwa na Magufuli, na likely hakuwai kuwa sehemu ya agenda ya kumwangusha Magufuli.Lukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita.
Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama Lukuvi, nguli wa siasa za nyanda za juu kusini kudondoka, ila kina stusha ni ghafla mno. Shida iko wapi au kuna sehemu alikosea!!!
Kubwa nalo liona wanasiasa wengi hawajui kusoma alama za nyakati, hii hugharimu sana maisha yao ya kisiasa kuishia pabaya. Hawataki kung'atuka mpaka wajumbe waonekane siyo watu wazuri!!!
Mh Lukuvi mbio za farasi huishia ukingoni, rudi kwa mzee mwenzio Mzindakaya muulize aliona nini ambacho wewe umeshindwa kukiona!! Kwa heshima uliyojijengea ni wakati sasa wa kuachia vijana wewe ubaki kuwa mshauri, mbona Mark Mwandosya kaweza wewe na timu ya kina Wassira inashindwa nini!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nikiona ana ongea lazima nitulie kumtazamaa, yaan ananiachaga hoi sanaa.[emoji38] [emoji23] [emoji38]
Nikisikia Jina tu naiona midomo na mikono yake
ni wakati gani Taifa la Tanzani halijakopa? bl 7 ya royal tour ilikuathiri nn kama mwananchi wa kijij cha songambele? unazikumbuka zile 1.5 trilion zilizomtoa ASSAD ofsini?Kila nikikumbuka Bilioni 7 za royal tour na deni la taifa lilivyopaa na mnasema bila haya mtaendelea kopa.. Haki tena mtu kama Lukuvi ni wa muhimu sana kwa sasa..
Kuleni tu .. Ni muda wenu.ni wakati gani Taifa la Tanzani halijakopa? bl 7 ya royal tour ilikuathiri nn kama mwananchi wa kijij cha songambele? unazikumbuka zile 1.5 trilion zilizomtoa ASSAD ofsini?
Lukuvi ni tunuLukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita.
Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama Lukuvi, nguli wa siasa za nyanda za juu kusini kudondoka, ila kina stusha ni ghafla mno. Shida iko wapi au kuna sehemu alikosea!!!
Kubwa nalo liona wanasiasa wengi hawajui kusoma alama za nyakati, hii hugharimu sana maisha yao ya kisiasa kuishia pabaya. Hawataki kung'atuka mpaka wajumbe waonekane siyo watu wazuri!!!
Mh Lukuvi mbio za farasi huishia ukingoni, rudi kwa mzee mwenzio Mzindakaya muulize aliona nini ambacho wewe umeshindwa kukiona!! Kwa heshima uliyojijengea ni wakati sasa wa kuachia vijana wewe ubaki kuwa mshauri, mbona Mark Mwandosya kaweza wewe na timu ya kina Wassira inashindwa nini!!!
Naweza kubaini haraka kwamba wewe ni mtu mwema. Hata hovyo,wewe no mhanga wa propaganda za Magufuli. Hukuwahi kumjua Magufuli! Yule alikuwa mtawala laghai na muongo.Anza na wasira kwanza mbona wasira bado yupo?, Lukuvi wanamuonea wivu na kumkomoa kwa sababu alupendwa na Magufuli, na likely hakuwai kuwa sehemu ya agenda ya kumwangusha Magufuli.
Kila mmoja atavuna anachopanda, mwaka 2023 utaondoka na wengi sana sana karma inayoanza mapema sana.
Mungu wa Isaya, Yakobo na Ibrahim yuko bayana.
Lukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita.
Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama Lukuvi, nguli wa siasa za nyanda za juu kusini kudondoka, ila kina stusha ni ghafla mno. Shida iko wapi au kuna sehemu alikosea!!!
Kubwa nalo liona wanasiasa wengi hawajui kusoma alama za nyakati, hii hugharimu sana maisha yao ya kisiasa kuishia pabaya. Hawataki kung'atuka mpaka wajumbe waonekane siyo watu wazuri!!!
Mh Lukuvi mbio za farasi huishia ukingoni, rudi kwa mzee mwenzio Mzindakaya muulize aliona nini ambacho wewe umeshindwa kukiona!! Kwa heshima uliyojijengea ni wakati sasa wa kuachia vijana wewe ubaki kuwa mshauri, mbona Mark Mwandosya kaweza wewe na timu ya kina Wassira inashindwa nini!!!
Sekeseke ya migogoro ya Ardhi Morogoro ambayo familia ya kik..t walidai kuwa ni mali ya familia, Waziri akaomba vielelezo, mzozo ukawa mzozoLukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita.
Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama Lukuvi, nguli wa siasa za nyanda za juu kusini kudondoka, ila kina stusha ni ghafla mno. Shida iko wapi au kuna sehemu alikosea!!!
Kubwa nalo liona wanasiasa wengi hawajui kusoma alama za nyakati, hii hugharimu sana maisha yao ya kisiasa kuishia pabaya. Hawataki kung'atuka mpaka wajumbe waonekane siyo watu wazuri!!!
Mh Lukuvi mbio za farasi huishia ukingoni, rudi kwa mzee mwenzio Mzindakaya muulize aliona nini ambacho wewe umeshindwa kukiona!! Kwa heshima uliyojijengea ni wakati sasa wa kuachia vijana wewe ubaki kuwa mshauri, mbona Mark Mwandosya kaweza wewe na timu ya kina Wassira inashindwa nini!!!
Mzee wa siasa za kidini Kanisani hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi
😆😆😆😆😆[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa huyo magu yuko wapi? Mfuate sasa huko kuzimu umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamojaWaulize kina mbowe na kina sugu watakuambia kichapo walichokula.
Usichokijua ni kuwa kushinda kwa upinzani huwa inategemea mpasuko wa ccm. Kura nyingi za upinzani huwa zinatoka ccm. CCM wakiwa pamoja upinzani mtaimba mashairi yote.
Hata kina msigwa kupata ubunge ni sababu ya kutoswa fredrick mwakalebela kule iringa,
Sugu ilikuwa vita ya makundi ccm mbeya mjini na maeneo mengine mengi tu, jaribu kufuatilia.
Hata 2015 ilichagizwa na kukataliwa ccm hadi na wana ccm wenyewe. 2020 ccm wameungana mmebaki mnaimba tu upinzani ooh kuhujumiwa ooh uchafuzi.
Maneno matatu matukufu ya Magu yalikuwa;
1. Nipeni connection.
2. Msichanganye gunzi na betri tochi haitawaka.
3. Nipeni huyu nammudu naweza kumuwajibisha, mkinipa wa kule sitaweza kumuwajibisha.
Haya maneno yaliwaponda mno upinzani.
bila shaka umelogwaNa unatakiwa ujitoe akili kuamini Magu hakushinda kihalali. Nyie si kila siku mnatupa idadi ya watu wanaojiandikisha kupitia ile kampeni maarufu ya chadema kidigitali ambayo kwa sasa hatukusikii tena humu ukiipigia chapuo.? Au lengo la ile kampeni ni nini? Kutafuta watu wa kuandamana barabarani?
Sasa wenzenu wakisema wana mtaji wa kura hizo we unaumia, ila we ukisema ni sawa.
Nakusisitizia tena, upinzani hawashindi bila kupata kura za wanaccm, na ili kupata kura za wanaccm ni lazima kwanza itokee mipasuko ya kimakundi. Ombeeni hilo litokee kila chaguzi, utanishukuru badae.