Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbukaLukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita.
Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama Lukuvi, nguli wa siasa za nyanda za juu kusini kudondoka, ila kina stusha ni ghafla mno. Shida iko wapi au kuna sehemu alikosea!!!
Kubwa nalo liona wanasiasa wengi hawajui kusoma alama za nyakati, hii hugharimu sana maisha yao ya kisiasa kuishia pabaya. Hawataki kung'atuka mpaka wajumbe waonekane siyo watu wazuri!!!
Mh Lukuvi mbio za farasi huishia ukingoni, rudi kwa mzee mwenzio Mzindakaya muulize aliona nini ambacho wewe umeshindwa kukiona!! Kwa heshima uliyojijengea ni wakati sasa wa kuachia vijana wewe ubaki kuwa mshauri, mbona Mark Mwandosya kaweza wewe na timu ya kina Wassira inashindwa nini!!!
They are giantsMA CCM mnamuogopa sana Lukuvi na Kabudi
David Mwakalebela ndiye nani?Waulize kina mbowe na kina sugu watakuambia kichapo walichokula.
Usichokijua ni kuwa kushinda kwa upinzani huwa inategemea mpasuko wa ccm. Kura nyingi za upinzani huwa zinatoka ccm. CCM wakiwa pamoja upinzani mtaimba mashairi yote.
Hata kina msigwa kupata ubunge ni sababu ya kutoswa david mwakalebela kuke iringa,
Sugu ilikuwa vita ya makundi ccm mbeya mjini na maeneo mengine mengi tu, jaribu kufuatilia.
Hata 2015 ilichagizwa na kukataliwa ccm hadi na wana ccm wenyewe. 2020 ccm wameungana mmebaki mnaimba tu upinzani ooh kuhujumiwa ooh uchafuzi.
Maneno matatu matukufu ya Magu yalikuwa;
1. Nipeni connection.
2. Msichanganye gunzi na betri tochi haitawaka.
3. Nipeni huyu nammudu naweza kumuwajibisha, mkinipa wa kule sitaweza kumuwajibisha.
Haya maneno yaliwaponda mno upinzani.
Ni kweli anapaswa kupumzika sasa,asisubiri pesa zote alizochuma zikaishia kwa wajumbe....Lukuvi jipumzikie tu
Alikuwa msemaji wa Yanga, badae akaingia kwenye siasa na kugombea ccm kupitia iringa mjini. Alishinda kwa kishindo kwenye kura za maoni na jina lake likakatwa kwa sababu za rushwa. CCM wakaweka mtu mwingine. Kikachafuka balaa. Hapo zikapigwa kura za hasira kwa msigwa.David Mwakalebela ndiye nani?
Nchi viongozi huwa hawastaafu[emoji1] [emoji1787] [emoji23] huwa hawajui kustaafu hawa
Wanataka waonekane kwenye majukwaa tu
Aende akawe padri huko akamwage sumu
=mbona Mark Mwandosya kaweza wewe na timu ya kina Wassira inashindwa nini!!!
Kalemani aliweza hili, alikubalika sio tu kwa wananchi wake bali kwa wananchi wote.Viongozi waliomo CCM, hawajui kujijenga kwa wananchi moja kwa moja, hata kama wanaonekana kufanya kazi vizuri, badala yake utumishi wao wanaukabidhi kwa hao wanaowateua, na mara wanapoachishwa hizo nafasi, hawajui pa kuanzia ili kuwaended wananchi.
Dk. Medadi Kalemani ajilipue na kutia nia, jamaa atafaa sana.Hajawahi kutokea mtia nia kwa nafasi ya urais kama Edward Lowassa,alikitikisa chama, serikali na organs zake,very strategically,wengine ni wakina
kutetea ugali tu ndgu hakuna kingineLukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita.
Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama Lukuvi, nguli wa siasa za nyanda za juu kusini kudondoka, ila kina stusha ni ghafla mno. Shida iko wapi au kuna sehemu alikosea!!!
Kubwa nalo liona wanasiasa wengi hawajui kusoma alama za nyakati, hii hugharimu sana maisha yao ya kisiasa kuishia pabaya. Hawataki kung'atuka mpaka wajumbe waonekane siyo watu wazuri!!!
Mh Lukuvi mbio za farasi huishia ukingoni, rudi kwa mzee mwenzio Mzindakaya muulize aliona nini ambacho wewe umeshindwa kukiona!! Kwa heshima uliyojijengea ni wakati sasa wa kuachia vijana wewe ubaki kuwa mshauri, mbona Mark Mwandosya kaweza wewe na timu ya kina Wassira inashindwa nini!!!
jamaa comedian sana, lkn naona nayeye bdo yupo tu
Aliporudi mara ya pili bado kura zilikuwa za huruma!?Alikuwa msemaji wa Yanga, badae akaingia kwenye siasa na kugombea ccm kupitia iringa mjini. Alishinda kwa kishindo kwenye kura za maoni na jina lake likakatwa kwa sababu za rushwa. CCM wakaweka mtu mwingine. Kikachafuka balaa. Hapo zikapigwa kura za hasira kwa msigwa.
Arusha nako aliyekuwa mbunge wa ccm ndugu felix mrema mmiliki na mfanyabiashara wa mashamba ya maua alipigwa chini kwenye kura za maoni wakati akitetea nafasi yake na nafasi akapewa batilda buriani, mrema wa ccm akahamishia majeshi kwa mrema wa chadema. Mwanamama Batilda hakufurukuta tena na kura zikaenda chadema.
Mbeya mjini nako makundi yakapasuana kura zikaenda chadema.
Huo umakini wake akautumie katika ujasiriamali (akajirajiri)Lukuvi, Moja ya Mzee Makini sana na Tunu Kwa Taifa.
Kwa Taifa hili lenye Vijana wajinga waimbao mapambio Kila uchwao.
Mzee anahitajika sana ,tumuombee uzima, 2025 sio mbali.