Lukuvi, mbio za sakafuni huishia ukingoni; jitafakari

Anza na wasira kwanza mbona wasira bado yupo?, Lukuvi wanamuonea wivu na kumkomoa kwa sababu alupendwa na Magufuli, na likely hakuwai kuwa sehemu ya agenda ya kumwangusha Magufuli.

Kila mmoja atavuna anachopanda, mwaka 2023 utaondoka na wengi sana sana karma inayoanza mapema sana.

Mungu wa Isaya, Yakobo na Ibrahim yuko bayana.
 
Nature ya mwanadamu ni tamaa kwahiyo hiyo ni sifa ya binadamu Lukuvi bado anatamani uongozi japo kuwa Umri umeenda kidogo ndio maana hataki hata MVI kichwani.
 
Kila nikikumbuka Bilioni 7 za royal tour na deni la taifa lilivyopaa na mnasema bila haya mtaendelea kopa.. Haki tena mtu kama Lukuvi ni wa muhimu sana kwa sasa..
ni wakati gani Taifa la Tanzani halijakopa? bl 7 ya royal tour ilikuathiri nn kama mwananchi wa kijij cha songambele? unazikumbuka zile 1.5 trilion zilizomtoa ASSAD ofsini?
 
ni wakati gani Taifa la Tanzani halijakopa? bl 7 ya royal tour ilikuathiri nn kama mwananchi wa kijij cha songambele? unazikumbuka zile 1.5 trilion zilizomtoa ASSAD ofsini?
Kuleni tu .. Ni muda wenu.
Si mmeshasema hakuna mtu atagongewa mlango kumuomba hela alipe madeni..

Endeleeni na upumbavu
 
Mzindakaya yupi? maana tunayemfahamu alishatangulia mbele za haki.
 
Lukuvi ni tunu
 
Mi namshangaa Wasira, nawashangaa zaidi walomchagua. Mtu tangia enzi ya Nyerere mpaka Leo anatafuta uongozi, hii ni aina ya uchawi, kuja kuharibia vijana
 
Naweza kubaini haraka kwamba wewe ni mtu mwema. Hata hovyo,wewe no mhanga wa propaganda za Magufuli. Hukuwahi kumjua Magufuli! Yule alikuwa mtawala laghai na muongo.

Halafu,kama wewe ni mcha Mungu kweli...acha kuombea wengine mabaya... Wacha Mungu huwa hawaombei wengine mabaya. Huwaombea hata maadui zao.
 
Uwezo wa kufikiri una kikomo,toka mwaka 1977 ni mtawala mpk uzee huu ndo anaguswa na mawimbi,mzee Mangula aliwahi onja joto ya jiwe kwa JK,baada ya kusota sana akafutwa machozi,machozi yakawa jasho na damu mpk kastaafu,hii ni kwa sababu hawaamini kuwa unapozeeka akili huchoka na maadui huongezeka
 
 
Sekeseke ya migogoro ya Ardhi Morogoro ambayo familia ya kik..t walidai kuwa ni mali ya familia, Waziri akaomba vielelezo, mzozo ukawa mzozo
Tunajuaaa
 
Sasa huyo magu yuko wapi? Mfuate sasa huko kuzimu umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja
 
bila shaka umelogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…