Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.

Kwa hiyo wewe umependa Waziri Mkuu kuchochea udini? Lukuvi amesema ameenda pale kwa niaba ya Waziri Mkuu na ilibidi aongee, na katika kujikoroga kwake, anasema hiyo ni hofu yake, ana hofu na Siasa za Uamsho na Cuf kwani ni za kidini na wanataka kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya Kiislaam.

Nauliza, jee yeye anapata hofu ya nini Zanzibar wakifata imani yao?

Kuhusu Uamsho kuwa ni CUF na Hassan Nassor Moyo ni CUF?

Hapa Lukuvi kadhihirisha usemi wetu wa miaka nenda miaka rudi kuwa tunaendeshwa na mfumo kristo. Na hilo hatukubaliani nalo hata chembe, mpaka kieleweke, kama si leo, kesho, kama si kesho keshokutwa, tutakufa tunapinga mfumo kristo na wengine wataendeleza mapambano.

Tunaowashangaa ni Wazanzibari walioshangilia kudhalilishwa dini yao.
 
Mzigo huu pakua mwenyewe.

Ulikuwepo Kanisani wakati Lukuvi anatoa darasa la muungano.
 
Ndo waone jinsi wanavyoburuzwa mbele ya macho yao
 

hata mimi kwa hili sipo pamoja na lukuvi anatujengea uhasama, mbona vatican inaendeshwa kwa mfumo katoliki wakati itali kuna madhehebu mengi lakini kuna amani?
 
Mkuu gombesugu.

Haya pitia hii bayana kiduchu.

Duu!!!

Mkuu Ritz,

Naona leo umeamua kushusha mipini ya nguvu! Duuh! Teeeh! Teeh! Teeh!

Mie ndo kwanzaa nangia hapa jamvini...kwa hiyo yanilazim kuzipitia kwa utuvu takkriban bayana zoote hapa,kabla sijaanza kuchangia kwa utuvu!

Nakusoma mno!

Tuko pamoja Kaka!

Ahsanta.
 
===>Kuwatetea CCM ni makosa,wao wanatumia dini kuiongoza nchi hii,mara ngapi wameishutumu CDM kuwa wanatumiwa na wakatoliki kutaka kutawala nchi hii?
===>Mara ngapi CCM inashutumu CUF kuwa inawatumia waislamu kutaka kutawala nchi hii?
===>Hakuna marefu yasiyo na ncha,hata uongo una mwisho wake,haya ni mambo wanayoyatumia CCM kutidanganya watanzania ili waendelee kututawala,hapa ubishi hakuna kabisa,Wakristo wa CCM wanaenda makanisani kuwasema vibaya waisalamu na Waislamu wa CCM wanaenda misikitini kuwasema vibaya wakristo,sasa leo siri imevuja hakuna pa kuijficha,hivyo waadhibiwe kwa kutupambanisha kwa sababu ya dini zetu
===>Kwa watanzania kila mtu ana ndugu wa kiislamu na kikristo,hivyo huyu Lukuvi anapotuelezea hofu ya waislamu anataka sisi wengine tuwanyanyase ndugu zetu,labda swali rahisi kwa Lukuvi yeye hana ndugu waislamu?
 

Faiza we mkali...Hamna kupepesa macho Straight you hit the Raw Nerves....ofcoz waislam wote sie tuko wadini kwa mujibu wa baba askofu naniii...wanatuogoopa sana hawa jamaa
 
Kama serikali iliyoko madarakani imesema na kusisitiza kuwa katu haitaki serikali 3, na kama hata imediriki kusema kuwa ikiwa ni serikali tatu bora Jeshi lichukue nchi na kama Rasimu iliyoko mezani inapendekeza serikali 3, wabunge wazalendo kama UKAWA wakae pale kufanya nini? Tusidanganye wala kuwadanganya Watz!
 
Bibie! Naamini kuwa wewe ni mmoja kuwa mmoja wa watetezi wa Ndugu JK! Swali langu ni mmoja je huyu rahisi anapotetea sirikali mbili je naye anabaraka za kanisa ili Zenji isiwe na mamlaka kamili. Ni kwa faida ya CCM au kabnisa

bibie hili swali hataweza kulijibu kwa usahihi kamwe!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Sasa waislam wanavyojilipua left, right and centre, unaweza kusema hofu yake iko baseless?
 
Last edited by a moderator:
Kapigilia msumari wa mwisho kuwa Bunge hilo ni kupoteza muda tu kwani tayari msimao wa serikali mbili hautaweza kubadilishwa!
 

Kauli ya Lukuvi inazua maswali; mauajj ya kasisi Zanzibar yalifanywa na nani na kwa sababu zipi? Nani alikuwa anachoma makanisa Zanzibar? je, yawezekana yalikuwa maandalizi ya kuhamasisha dunia kwamba zanzibar ni siasa kali na hivyo serikali 2 ni mlinzi dhidi ya siasa kali?
 
Last edited by a moderator:

JokaKuu,

Unawashauri warejeshe membership cards za CCM ili wende wapi,jamani!? Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Mkuu Ritz anadai yakua hata hao Chadema ati role model yao ni CCM!?...yaani Chadema ni branch tu ya wachovu waliofukuzwa/wasiotakiwa ndani ya CCM!? Daah!

Yule Dr Slaa mwenyewe, japo yupo pale Ufipa/Chadema...lakini mpaka kesho ana membership card ya CCM na anailipia,au!? Duuh!

Ahsanta.
 

Probably right
 
Briefly and to the point anasema anahisi hao ccm zanzibar waliobaki jengoni wamekula kungu ku please bwana wao.

Wamelegea sana maana walikuwa active kama Mazombe, sasa Binadamu halisi hawapo wamebaki wenyewe kilichopo ni kutoleana mimacho na kupumuliana hewa chafu.
 

Wenye akili wanajua kabisa kwamba katika ukristu huyu mwizi tu na maccm yenzake,pale anatafuta jinsi ya kuungwa mkono kwa hiyo kila aina ya mbinu chafu yeye na wenzake watatumia kutimiza lengo lao la s2, kuna wale wazanzibari waliokuwa wanatukana kutetea s2 nao ni mfumo kristu? Roho za kishetani kwa kuona hawa mbona wametuzidi nasi tutafute elimu sisi na kwa vizazi vyetu mnaamua kuwachukia hamna kitu inferiority complex
 
tukiwaambia magamba ni janga hamuamini mnazidi kuipigia debe! Sasa mbwa kala mwanae unalia lia nini? Kapike urojo wa bwanao usitupigie kelele humu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…