FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #241
Kungekuwa na thread nyingi za kuwahamasisha waombe radhi, halafu wajumbe kutoka Zanzibar kila ambae angesimama kuchangia lazima kila mmoja angekuwa analaani kwanza, hapo Ritz angekuwa na thread moja ndefu matata page zingekuwa zimepita kama 5 hivi, views wangekuwa kwenye 7600, hapo FaizaFoxy angewaka kama mara 2 hivi...
Kwa hiyo wewe umependa Waziri Mkuu kuchochea udini? Lukuvi amesema ameenda pale kwa niaba ya Waziri Mkuu na ilibidi aongee, na katika kujikoroga kwake, anasema hiyo ni hofu yake, ana hofu na Siasa za Uamsho na Cuf kwani ni za kidini na wanataka kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya Kiislaam.
Nauliza, jee yeye anapata hofu ya nini Zanzibar wakifata imani yao?
Kuhusu Uamsho kuwa ni CUF na Hassan Nassor Moyo ni CUF?
Hapa Lukuvi kadhihirisha usemi wetu wa miaka nenda miaka rudi kuwa tunaendeshwa na mfumo kristo. Na hilo hatukubaliani nalo hata chembe, mpaka kieleweke, kama si leo, kesho, kama si kesho keshokutwa, tutakufa tunapinga mfumo kristo na wengine wataendeleza mapambano.
Tunaowashangaa ni Wazanzibari walioshangilia kudhalilishwa dini yao.