Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Lakini lukuvi kaongea ukweli makanisa wamechoma moto mapadri wameuwawa.na mengine mengi
 
Utakuwa ujinga kwa waislamu kuwajibu wakristu, wakati wakristu hawajasema lolote... Kama watataka kujibu, basi waislamu wamjibu Lukuvi..

Na ndicho tunachokifanya hapa na wewe unajibu, au?
 
Utakuwa ujinga kwa waislamu kuwajibu wakristu, wakati wakristu hawajasema lolote... Kama watataka kujibu, basi waislamu wamjibu Lukuvi..

William Lukuvi ni Muislaam na aliyeenda kuwahutubia pale kanisani ni Waislaam, au sio?
 
mkuki kwa nguruwe! lukuvi kaongea nje ya kofia ya uongozi, ni haki yake. kutokuwa na imani na waislam ni kosa zaidi kuliko la sheikh ponda kuhamasisha wapagani, wakristo na wasioamini wauwawe?..RIDICULOUS!

Look-v ameenda pale kama kiongoza na amemuwakilisha PM acha kudanganya kwa tukio ambalo limetokea within a month
 
Kama ni uchochezi mbona hata mkulu naye nimchochezi unafikiri atawezaje kumwajibisha mchochezi mwenzie
 
Lukuviii!

Ama ulitumwa useme haya kiongozi? Nauliza tu!
 
Nnachompendea @FaizaFox ni kuwa anaipenda dini yake kuliko chama chake...waIslamu wote wangekuwa kama yeye, tungekuwa UKAWA tunashangilia ushindi saa hizi!

Kwani wakuristo wote ni ukawa?
 
Faiza kumbuka hii nchi inaongoza na waislam wewe ulikua unaonaje wakati boss wake lukuvi ni muisalm km angekiuka matakwa angepigwa. Chini hapo wakulaumiwa ni mkulu
 


Lv u my cster
 

Mpaka leo uchunguz umeshindwa kusibitisha kuwa ni uamsho ndo wamehusika na ulipuaji znz
 
Ni muhimu kuwawajibisha walevi wa madaraka kabla hawajasababisha madhara makubwa kwa taifa.
Maneno ya kipuuzi kama haya kutoka kwa kiongozi yeyote katika jamii hayakubaliki hata kidogo.
 

Hayo ya kwako..lete video tumuone akiongea..
 
Faiza cjui km wewe ni muislam au mkirsto. Ungejitabulisha ingekua jambo la maana tunge pata uraisi wa kujadili hili swala nimaoni yangu
 
Kama ni uchochezi mbona hata mkulu naye nimchochezi unafikiri atawezaje kumwajibisha mchochezi mwenzie
lipumba alisema haya mbona hajakanusha mpka Leo kuwa mkulu alikua anapita miskitini nakuaidi mambo mengi kwa waislam faiza hayo yote uyaoni unaona ya lukuvi tu ilifikia muislam akapelekwa ubalozi vatican angalie hali ya wakristo lkn ndo hivo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…