Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Teh teh teh naona mpini umekuingia kisawasawa, vipi ulikuwepo Kanisani wakati Lukuvi anawapa darasa la muungano.

Mkuu Ritz,

Huyo dogo kadoda11 mpini umemuingia!
Mohamed Said kaandika mengi mno kuhusu chuki za watu sampuli ya Lukuvi dhidi ya Uislam na Waislam. Hii leo wanaumbuka hawa wachungwaji!

Teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hii ineaonesha yale waliyo nayo kifuani mwao na yamedhihiri ili kuwafunua macho watu.Hivi tumuulize Lukuvi Nyerere alipo kubali kuungana na zanzibar jee hakujua kuwa tanganyika yenye waislam na wakristo inaungana na nchi yenye waislam watupu?
jee nini lengo la muungano huu ? kuudhibiti uislamu ? lukuvi amethibitisha chuki zake dhidi ya dini ya bosi wake na lengo kuu la muungano ni kuupiga vita uislam znz basi hakuna jengine . wale wazenji wasiojitambua wajue wanakaangwa kwa mafuta yao wenyewe
 
Lukuvi kamdhalilisha baba wa taifa letu,kidogo kidogo tutawajua ni wepi kazi yao kupiga makofi na kutabasamu,kumbe moyoni si wazalendo wa kumuenzi baba wa taifa. Nyerere alikemea udini je Lukuvi hakuwepo. Angekuwa Lisu, ahh katukana
 

Likija suala la chadema kuipinga ccm na serikali yake ya kidhalimu na yenye mfumo unaodai kristo, unakuwa wa kwanza kuwaponda na kuwatetea hao ccm na viongozi wao waandamizi. Leo kilio cha nini , endelea kuwatetea kama mnavyofanya siku zote na wenzako.
 
Ndugu Kishada, Ingekuwa kheri kama kauli ya LKV ingechonganisha Uislamu dhidi ya CCM badala ya kuchonganisha Uislamu dhidi ya Ukristu. LKV anawakilisha serikali ya CCM, hawakilishi Kanisa.
 
Jumapili hii Lukuvi atakua kanisa gani mkuu? Ukipata ratiba tuwekee hapa JF
Atakuwa kanisa la India mkuu, maana wamemrudisha alikuwa anachukua usafiri kuelekeapo sababu eti kina FaizaFoxy na kina Ritz walikuwa hawajasikia vizuri kwa hiyo walimrudisha athibitishe ili waweze kupata fursa ya kumsikia vizuri na waweze kumuona kwa miwani ya 3D, akawashangaa ina maana kumbe hawakumsikia na Lyatonga maana anayo copy, sasa ikabidi awathibitishie tu...
 
Last edited by a moderator:
Wewe kauzu kweli, Lukuvi mwenyewe kakiri katoa maelekezo Kanisani wewe unapinga.

Hivi huko kwenu mna ndugu kauzu.jenga hoja.je wewe unapendelea serekali za kidini?hilo ndilo swali la msingi
 

ndio ujue unatetea chama chenye viongozi wa aina gani............dhambi ya kula nyama ya mtu ni mbaya Sana itawatafuna sana. CCM
 

Mzee wetu Mohamed Said,

Huu mpini uloweka hapa ni hatari, kuna vilaza hapa watapata tabu sana kufahamu haya mambo!

Ukipata fursa japo kiduchu, tunakuomba uje upige msasa vichwa vyao, kwani itafika mahala watafahamu tu, maana wameenza "kuyaabula" wenyewe kwa wenyewe sasa!

Ahsanta
 
Last edited by a moderator:

Nipo around mkuu JokaKuu

ukistaajabu ya nyerere utayaona ya lukuvi sasa

Ila tutafika tuh,twende tuh
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Sheikh wetu Mohamed Said...
 
Last edited by a moderator:
wameshaanza kuchokonoa mambo ya udini hawa sisiem sijui kwanini wako hivyo
 
Mimi mtazamo wangu ni kwamba Lukuvi amefanya kitu kizuri sana (hata kama hakudhani italeta tafrani) kwa kuongea hisia zake za ukweli. Hata kama aliteleza ukweli ni kwamba inabidi Watanzania wengi wa Tanganyika na Zanzibar tumfurahie Lukuvi alivyochemka kwani amedhihirisha rasmi kwamba Serikali na CCM wanang'ang'ania mfumo wa serikali mbili kwa kuwa unawanufaisha viongozi. Issue ya udini inatumiwa tu kuwatia hofu wananchi.

Wananchi wa Tanzania (Zanzibar na Tanganyika) inabidi kusisitiza maoni yao yaliyomo kwenye rasimu ya pili ndio yawe mwongozo wa kutengeneza Katiba mpya ya wananchi, yasichakachuliwe na akina Lukuvi, Wassira wala Asha Bakari.

Ila tukumbuke kuwa huyo Lukuvi anateuliwaga na Kikwete kuanzia ukuu wa mkoa mpaka uwaziri. Duh.
 
jamani mwenzenu naitahi KATIBA YA ZANZIBAR sina mwenye nayo mkuu anitumie LINK hapa

cc: Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Na hiyo ndio Serikali tukufu ya CCM kila siku unayoisifia na kusema itatawala milele...

Nasubiri kusikia siku ukisema CCM ni Chama cha Kikristo..

Tatizo ccm hupendwa na wanafiki kama faizafox,watu wakati wakipinga dhuluma za ccm inayoongozwa na kikwete,kinana ambao si wa kanisa anawatetea kwa nguvu zote,ila kwa chuki yake kubwa dhidi ya ukristo inashinda dhamira yake mbaya
 

Mwalimu wangu,

Naomba kwa heshima na taadhima zote nikusalim

Asalaam aleykhum warahmatullah wabarakatuh,

Karibu sana ndug yangu kipenz,

Naona maarifa yako kwa sasa yameshaanza kufanya kazi,

Hivi majuz tumeshuhudia bungeni Tundu lisu akicopy na kupaste nondo zenu wewe na Dr Harith Gassamy,

Insha allah ukiwa na nafasi jamvi linakuhitaji hili uje Utaradadi kidogo wallahi,

Watu tupare raha,ilm bur dan na mengineyo,,

Karibu sana 😛hoto:😛hoto:
 

Nasikia wewe ndio unamuandikia speech Lukuvi.

Tumeshawarecord na kesho mkisema tuliwanukuu vibaya tutawaonesha ushahidi mchana kweupe!

Na bado, mtaumbuka sana mwaka huu!
 
Unamuonea bure huyo Lukuvi huo ni msimamo wa viongozi wake yaani waziri mkuu aliyemwakilisha kanisani na Rais wake ambaye keshasema yeye na serikali mbili ni damu damu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…