Kuna tafiti gani zaidi ya Lukuvi kukiri?
Kikwete na Kinana peke yao hawafai. Kanisa lina nguvu sana zaidi yao.
Kwa fikra zako Kinana na Kikwete watafurahia aliyoyasema Lukuvi jana? Nnauhakika hawatafurahia, lakini watafanya nini? Lukuvi kishajitetea kuwa alitumwa na Waziri Mkuu, hiyo pekee inamaanisha ni mfumo kamili na wenye nguvu uliopo Serikalini. Si mchezo.
Na zanzibar nako serikali ya mapinduzi nayo ni mfumo kristu? C'mon faizafox ur either deluded or crazy