Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Kuna tafiti gani zaidi ya Lukuvi kukiri?

Kikwete na Kinana peke yao hawafai. Kanisa lina nguvu sana zaidi yao.

Kwa fikra zako Kinana na Kikwete watafurahia aliyoyasema Lukuvi jana? Nnauhakika hawatafurahia, lakini watafanya nini? Lukuvi kishajitetea kuwa alitumwa na Waziri Mkuu, hiyo pekee inamaanisha ni mfumo kamili na wenye nguvu uliopo Serikalini. Si mchezo.

Na zanzibar nako serikali ya mapinduzi nayo ni mfumo kristu? C'mon faizafox ur either deluded or crazy
 
Usikubaliane na mimi, uko huru, basi kama kusoma huwezi hata kusikia husikii? msikilize Lipumba kwenye post #1 anasema nini na msikilize Lukuvi leo kasema nini. (nikiupata mkanda wa Lukuvi na huo ntaubandika).

Nimeusikiliza vizuri sana ,nimependa alivyopangilia hoja na kuhitimisha kwa nguvu za hoja. Sasa naona Intarahamwe mmeanza kushikana mashati wenyewe kwa wenyewe , kwani naona wa kuwabagua wameshaisha.
Mimi sijauona huo mfumo kristo hapo , nimeichukulia hiyo kauli kama kauli zingine za vitisho na ubaguzi kutoka kwa viongozi wa ccm, mbona huzungumzii kauli kama nchi itatawaliwa kijeshi ,Zanziba imepatikana kwa mapinduzi na serikali ya mapinduzi haiwezi kuchukuliwa kwa karatasi n.k.
Usitake kuugeuza huu mjadala uwe wa kidini , wakati hapa chanzo cha matatizo yote haya inafahamika ni ccm.
Kwa taarifa yako huwezi kutenganisha ccm na unacholalamikia hapa , chagua moja huwezi kutetea mabwana wawili kwa wakati mmoja kwenye hili suala.

"VUA GAMBA JIUNGE NA UKAWA UPINGE UBAGUZI NA VITISHO"
 
Kinachonifurahisha hapa wale wakata mauno wa ccm sasa ndio wanajuwa chama chao ni chama cha mashetani.

Sasa huu mfumo kristo anaoulalamikia Faiza mbona hao wanaopaswa kunufaika nao ndio hawaitaki ccm mpaka mmeibatiza chadema kama chama cha wakristo?

Siku zote mnavyokata mauno kuipamba ccm ni kwamba ni chama kizuri? sasa tulieni dawa iingie.

Zanzibar ni nchi ya kiislam siku zote hata kupata bar ya kunywa pombe ni issue na wakati wa mfungo hakuna kuuza chakula mchana hata kina mama wakristo wa Zanzibar wanavaa vilemba makanisani, sasa ikitangaza kuwa dola ya kiislam kuna tatizo gani? mbona hata sasa lifestyle yake ni nchi ya kiislamu?

sasa tuache unafki aliye na nia ya kweli ya kupinga dhulma na asimame ahesabiwe sasa na muache kukata mauno ya unachukuwa unaweka waaa.
 
Naema Ukristo? Lukuvi alipokuwa anajitetea bungeni leo hii, kashindwa hata kusema kuwa hayo maneno kayaongelea kanisani, kasema maneno niliyoyangea mitaani! Dah kajikoroga ile mbaya.

Sasa mimi nakuuliza wewe, Kanisani kuna Uislaam au Ukristo? na mkienda kanisani huwa mnaongelea Uislaam? jibu ni ndio, kutoka kwa Lukuvi, anasema alikuwa anatoa hofu yake na hiyo ni imani yake na hakuna wakumzuia hata katiba haiwezi kumzuia. Kishajisahau kuwa mwanzoni alisema pale alitumwa na Waziri Mkuu.

Hakika, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

So you mean Lukuvi pale alisimama kuongea kama kasisi au?

Kama alienda kwenye sherehe hiyo mwaliko ulikuwa wa binafsi ama Serikali anayoitumikia? Sasa ww unaambiwa tatizo ni un ethical acts za CCM dot com huelewi?

You cannot kill a bad tree if you dont up root the roots! Ua kwa mzizi wa fitina ambao bila aibu miaka yote wametumia propaganda zenye kuhatarisha amani ya nchi hii ama sivyo kubali kudhalilishwa for the rest of ur life tena wamekwambia ukileta ujuaji wana magari ya washawasha na wana majeshi kukuadabisha!
 
Angalia sasa mnavoumbuka mchana kweupe!

Wewe unaemuandikia huo UHARO huyo Lukuvi wako hamtoki, japo mshaanza kutafuta pakutokea kwa kuanza kutaja majina ya watu hovyo!

Kesho atakua kigango cha wapi katika huo muendelezo wenu wa KANISA?

Muulize bosi wake umeambiwa anaitwa mrisho jakaya kikwete,au makamu wake gharib bilal,kikwete ndiye aliyemteua na ndiyo anayeweza kumfukuza uwaziri,unaogopa ukweli? Unafiki umewajaa hadi kwenye kope
 
!
!
iyena iyena iyena iyeeena iyena iyeena sisiem nambari wani...
!
!
nadiriki kusema kwamba mbali nu kumpond lukuvi humu ndani ya jf hakuna lolote ambalo aidha waislamu au wakristo wanaweza kufanya.
!
!
selikali mbili ni lazima......tutake tusitake ila la maana tu kama wanavyohubiri kuwa hii ni ndoa,ni muda muafaka kutuambia katika ndoa hii nani mwanamke na ni nani mwanaume,baasi!...ili sasa baba mwenye nyumba aongoze familia yake.

Ovyoooo...!!
 
Teh teh teh naona mpini umekuingia kisawasawa, vipi ulikuwepo Kanisani wakati Lukuvi anawapa darasa la muungano.

CCM leo kimekua Catholic Church movement.. ha ha ha udini kiboko.. niliwaambia UBOGUS WA LUKUVI+UCCM=UZUZU
 
Mtakuwa mme justify anachokitafuta.... Jeshi lichukue nchi!

Why cant you think critically kuwa wameona maji marefu na hivyo kuliko washindwe bora tukose wote?

Hakuna wakupigana, watatoana ngeu wao kwa wao kuweni tu wavumilivu. Hasira ni hasara just be composed and wait to see!
hizi mbinu zao hawa jamaa ni mchezo mchafu sana na kila mtanzania anapaswa kusimama kulilaani hili dudu CCM linalofanya njia yoyote ili liendelee kutawa hata kama nchi itaingia vita.....DUH hawa jamaa ni washezi washenzi sijui ni aina gani ya binadamu wasio na huruma wala dini wao ni wizi tu na ufisadi. nikiwatazama vile walivyo ni kama kundi la mashetani wameitawala TZ. wanafanya mambo mpaka wanatikisha msingi wa umoja wa pande mbili.za TZ.
nikiwatazama wazanzibar na watanganyika wanavyongea na kucheka mitaani bila kujali wanaasili gani na imani gani machozi yanakaribia kunitoka huku wanakotukokota kutupeleka hawa mcc. KELI HAW NI NTARAHAMWE.
 
CCM leo kimekua Catholic Church movement.. ha ha ha udini kiboko.. niliwaambia UBOGUS WA LUKUVI+UCCM=UZUZU
Siyo leo mbona toka wakati wa Nyerere kwani ulikuwa hujui.

Mfumo Kiristo umeanzishwa na Nyerere.

Kamanda ulikuwepo Kanisani wakati Lukuvi akitoa maangizo kwa waumini wa kikirsto.
 
Siyo leo mbona toka wakati wa Nyerere kwani ulikuwa hujui.

Makubwa so na ww ulijiunga na CCM kustrengthen catholic movement in TZ?

Mbona hutuungi mkono sisi tulioamua kuipinga hiyo movement?

Wao Catholics are so powerful mpaka ku recruit waislam wote kule CCM tena wenye vyeo vizito to foster its movement; I never knew this!
 
So you mean Lukuvi pale alisimama kuongea kama kasisi au?

Kama alienda kwenye sherehe hiyo mwaliko ulikuwa wa binafsi ama Serikali anayoitumikia? Sasa ww unaambiwa tatizo ni un ethical acts za CCM dot com huelewi?

You cannot kill a bad tree if you dont up root the roots! Ua kwa mzizi wa fitina ambao bila aibu miaka yote wametumia propaganda zenye kuhatarisha amani ya nchi hii ama sivyo kubali kudhalilishwa for the rest of ur life tena wamekwambia ukileta ujuaji wana magari ya washawasha na wana majeshi kukuadabisha!


Isikilize video iliyopo kwenye post #1 ina majibu ya maswali yako karibu yote. Yanini unaandikia mate na wino upo?
 
C.C.M Catholic Church Movement......Insha-Allah dada wache wapange na Mwenyezi Mungu anapanga...Na yeye ni mzuri wa Kupanga...Allah azidi kutufahamisha hili na jengine...Bado waislam wa Zanzibar tunafuraha ya kuwa pamoja na waislam walioko Bara...hakijaharibika kitu Dada....kama ukichunguza kwa mbaali Naona kheri haiko mbali inakuja...Allah akikupa siri ilioko nyoyoni mwa adui yako..hii ni moja hatua ya ushindi...
...hayo wanayoyasema kwa vinywa vyao ni madogo kuliko waliyoyaficha kwenye vifua vyao...
 
Ni kweli katoa kanisani..........So what?

Mtafanya nini?........Labda kuja kumbwelambwela hapa JF. Nothing More, nothing less.

A confused mind is a lost mind.
Mnaipenda CCM ya LUKUVI, na Kuipenda Serikali ya Kikwete, ambayo ni ya Mfumo Kristo...
.....wtf !!is that?
mkuu Birigita nimeipenda hii chukua like live
 
Jibu hoja mnafiki wewe,wale wazanzibari waliokata viuno kumpongeza Kikwete kwa kukandia s3 nao mfumo kristo?

Na Lukuvi ndiye aliyeenda kanisani kwa kumuwakilisha waziri mkuu, au sio? Na kenda kusema kuwa mkiipa mamlaka Zanzibar wataifanya kuwa nchi ya Kiislaam na hiyo kaelezea leo kuwa ndio hofu (phobia) yake.

Vipi na wewe una hofu na Uislaam?
 
Lukuvi leo kadhihirisha kinaga ubaga kuwa Serikali inaendeshwa kimfumo kristo. Haya tuliyajadili sana kwenye nyuzi ya Mohamed Said, watu wakapinga sana na kutubeza sana Waislaam. Lakini leo Lukuvi kadhihirisha na kasema ana "hofu" na hiyo hofu (phobia) yake kwa Uislaam hakuna wa kumzuwia.

Kikwete, ndio waziri wako huyo, ana hofu na Uislaam, jee hana hofu na wewe?

Binafsi hata mimi nauogopa "uislamu". Kuna Uislamu na "uislamu" na huo wa pili mimi ndio ninaoogopa utanawiri Zanzibar endapo nchi hiyo haitakuwa chini ya jeshi la muungano. "uislamu" ninaouogopa ndio unaofuatwa na akina boko haram, alshabaab, na vikundi vingine vinavyoua watu (including Waislamu) bila sababu bayana. "uislamu" ukishamiri Zanzibar Waislamu, Wakristo, na wengine wote hawatakuwa salama. Hata sisi huku Tanganyika hatutakuwa salama.

Naunga mkono serikali 3....
 
Last edited by a moderator:
Kwa hili halilolisema ni la ukweli asilimia zote! Unafiki huko wapi hapo? Kama kuzungumza lukuvi kazungumza kila mtu amesikia.

Na hapa amewapa majibu waislam yaliyo wazi kuwa hii serikali ni ya inaendeshwa kivatican.

Kwa hiyo!!
 
kunya anye kuku...leo kanya bata kelele teleeee ohhh bata kahara. wee faizafoxy sio wewe mtetezi mkuu wa ma ccm yako na serikali yao? je sii wewe mpiganaji wa serikali 2?...nini kimetokea wamshangaa mwana ccm mwenzako lukuvi?...au kwavile umeguswa uislam?....inshallah mungu akujaalie uzidi kuikataa ccn na serikali yake yote na madhambi yake yote...kuanzia sasa pigania serikali 3 tupate uhuru, mapinduzi na muungano wa kweli kwa tanganyika na zanzibari...na usisahau kuwa lukuvi alitumwa na pinda anayemwakilisha kikwete....simple logic lukuvi alimwakilisha kikwete...

ni hayoooooooooooo tu.

Mimi ni mtetezi wa CCM daima. Kumbuka, mtoto akikunyea huukati mkono, unauosha unausafisha unaendelea na maisha.

Na hapa tupo katika kuusafisha mkono kwa kuudhihirisha mfumo kristo tunaouongea kila siku. Huu ni ushahidi kamili kuwa hatulalamiki kwa kupenda kulalamika tu. Yapo, toka kwa waziri mkuu mpaka kwa akina Lukuvi. Ni wengi tu wapo. lakini ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Ka Lukuvi kamewakera Waislaam wengi wa CCM leo, na hata wale wasio wa CCM. Hukumsikiliza Lipumba hapo kwenye post #1 au unatumia kamchina hakaoni video?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom