Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Nathani wenye akili washaona kitu gani kitatokea iwapo Zanzibar itakuwa dola kamili inayojitegemea.

Watu wanakurupuka tu sababu ya uislam. Hawana agenda zaidi ya kulinda dini ambayo hakuna mtu anayoichukua. Kingine nani anajua ukubwa wa Zanzibar?? Wao wajiite nchi kamili lakni wakae kwetu ila wabara hawawezi kukaa Zanzibar bila fitina.

Huu udhalimu na fitina wa kulaumiwa ni Seif na wenzake. Wao wanachotaka znz iwe dola kamili waingie kwa Jumuia ya waislam huku waarabu wakitaka kurudi kwa mgongo wa historia huku tukijua wazi wanataka mafuta.

Tusipokuwa waangalifu tutakuta tumeingia kwenye machafuko ya hali ya juu. Na hawa waarabu wanaharamu ndio wanalotaka. Hakuna mtu wa nje mwenye nia njema na nchi yetu. Sio magharibi wala uarabuni.

Mtu anaongelea Zanzibar kupata dola kamili wakati hana hata hiyo elimu kutwa kukaa vibarazani.

Nashangaa kwanin kina Seif bado wanaishi hawa watu.

The king.

Mwanaharamu ni mamiyo.
 
Unammanisha kitadumu pale tu kinapofanya kampeni za mfumo kristo kanisani na tukae kimya? tusioneshe uozo uliokuwepo?

Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo. Upotofu wa mtu mmoja kuhutubia Kanisani haiwezi kuwa kesi ya Ukristo. Lipumba alivyotoa khutuba Msikitini akimlalamikia Kikwete kuwa pamoja na CUF kuipa kura CCM hili ashinde lakini ameshindwa kuwatetea Waislamu, mbona hukufunga Kibwebwe kuandika uozo huu wa Professor mchovu? Nchi hii hakuna mtu mchochezi kama Lipumba na Maalim Seif, jiangalie sana Mrembo.
 
Unajua kaka,uhuru wa habari ni jambo jema sana. Lakin pale unapotumiwa kutoa na kupandikiza maneno kama hv ni hatari mno.

Ni juzi tu nilikuwa nawaza mambo haya. Nikakumbuka Rwanda,jinsi Kagame anabyothibiti habari na juzi Kenya wamepitisha bill inayozuia baathi ya habari kusambazwa.

Unajua nimekuka kuona huu uhuru ndio break through ya maadui wa ndani na nje ya nchi. Serikali za kigeni zinatumia watu kupropagate agenda fulani fulani. Na hii tukifumbia macho itakuwa sio. Watu wanasema marekani kuna uhuru wa habari nani amesema?? Ulishawahi kujiuliza??
Lakni tukija africa wanapiga mayowe kwanini hakuna uhuru. Sababu hizi hizi za mashetani kama huyu dada. Am very disappointed with her. Watu kama hawa there is no mercy.

The king.

We kichwa maji kweli!

Yaani unaona umechangia kabisa kwa huo uharo uloandika!

Unazungumzia uhuru wa vyombo vya kwa lipi hasa? je, ni kwa hili la Dada FF kumnukuu huyo kilaza mpakwa mafuta mwenzio? Au ndio yale yale, nyani alioni kaliole?!!

Ulipaswa kujikita kwenye kupinga ule uharo wa Lukuvi alohara pale Kanisani.

Kufanya hivyo kungeonesha ukomavu wako katika kuchangia masuala yanayoweza kuligawa Taifa hili katika misingi ya UDINI wa huyo nduguyo mpakwa mafuta.

Mtu yeyote akisoma hiyo bayana yako ataona wazi wazi kua wewe hapa umechangia kwa kuongozwa na mihemko ya chuki ulonayo dhidi ya Uislam na kwa Dada yetu FF.

Ni vema kutafakari jambo kabla ya kuandika...na sio kuandika tu uonekane umechangia.

Ahsanta
 
Wewe ondoa uozo wako, siku hizi sijui Lipumba amekuwa Imamu, maana amekuwa kiguu na njia kuhubiri udini Misikitini.
 
Tumeambiwa humu kuwa Lipumba anaenda Zanzibar kumshtaki Lukuvi. Itakuwa vyema kama akiwa huku akikemea na kuwaasa waislamu wenzake wachache ambao wanawaua na kuwapiga risasi wakristu, kuwamwagia tindikali mabinti wa kikristu, wanaochoma makanisa, wanaovunja sehemu halali za biashara za wasio waislamu n.k. Itakuwa vyema akiwaambia vitendo kama hivi ndivyo vinawatia hofu wakina Lukuvi kuwa serikali ya kiislamu wanayoitaka ni ile inayotakiwa na akina Boko Haram, Al Shabab na watu kama hao. Lakini hatasema hayo bali atasema kuwa huu ni mfano wa mfumo kristu ambao lengo lake kuu ni kuudhalilisha uislamu. Kama muislamu safi hawezi kumkosoa muislamu mwenzake. Ndio maana ametumia mfano wa uovu wa Interahamwe na sio wa Janjaweed ambao ni waislamu wenzake. Hatufai huyu Profesa.

Amandla.....

Wacha kuchanganya muktadha wewe mpakwa mafuta!

Hao wanaenda Unguja kuzungumzia katiba na Serikali tatu!

Nawe una hofu nini?

Teh teh teh!
 
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amekiri kutoa maneno yanayodaiwa kuwa ya uchochezi kanisani kwa madai ya kuingiwa hofu na harakati za asasi ya kidini ya Uamsho, kufanana na za Chama cha Wananchi (CUF) za kudai Serikali ya mkataba. Waziri Lukuvi alitoa kauli hiyo jana bungeni, akitoa ufafanuzi wa kauli aliyopata kuitoa katika Kanisa la Methodist wakati wa kumsimika Askofu Mteule, Joseph Bundara.

Katika misa hiyo, Lukuvi aliwaambia waumini wa kanisa hilo kwamba muundo wa serikali tatu utavunja Muungano na ikipitishwa, jeshi litaingilia kati kuongoza nchi, kauli ambayo juzi ilisababisha UKAWA wasusie Bunge. Katika ufafanuzi wake jana bungeni Lukuvi alikiri kutoa kauli hiyo kanisani kwa madai ya kuingiwa hofu ya kutokea ubaguzi wa kidini. Alisisitiza kuwa hofu yake inatokana na harakati zinazofanywa na kikundi cha Uamsho visiwani Zanzibar, kufanana na za CUF ambazo ni kudai Serikali ya Mkataba. Alisema uamsho imekuwa ikihusishwa na vurugu zinazotokea mara kwa mara visiwani humo, zinazohusishwa na vuguvugu la kudai mamlaka kamili ya Zanzibar. Akitolea mfano, Lukuvi alisema Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, alipotumwa Zanzibar kupeleka Rasimu ya Katiba, rasimu hiyo ilichukuliwa na wanauamsho na kuichanachana, kisha kuisigina mbele yake. "Sasa niwaulize humu ndani…Uamusho ni nani…?" Wajumbe kwa wingi wao na vigelegele wakajibu "Ni CUF". Akauliza mara ya pili: "Uamusho ni nani…?" akajibiwa: " CUFUUUUU". "Lakini kuna swali liliulizwa hapa bungeni, CUF wakaja juu wakasema ni Taasisi ya Kidini…sasa unaniambiaje mimi nisiwe na hofu ya kidini wakati kuna chama cha siasa kinahusiana na Uamsho lakini ina ladha ya kidini.

"Na kwa kuwadhihirishia hivyo, kila mara CUF na Uamsho utakapomtaja Mwalimu Nyerere na kumtaja Karume wanakwambia alaaniwe.. lakini hizi ndiyo sera za hao mnaowasema, sasa tunakuwaje na chama cha siasa ambacho tayari kinajipanga kutawala Zanzibar, lakini kinaendeshwa na Sera za Uamsho…uamsho wenyewe wanasema ni Taasisi ya Kidini, kwa nini usiwe na wasiwasi na mihemko yote ile ya Uamsho mpaka na Bara tukatikishika, kwa nini tusiwe na wasiwasi kwamba CUF ikichukua nchi basi Uamsho ndiyo utatawala, kwa nini tusiwe na hofu, yametokea na sisi tumeyaona, kwa nini wanajificha kwenye kivuli cha dini ili kufanya siasa…na kwa nini dini imetumika vizuri sana kueneza sera za CUF za serikali tatu, na kila wachosema CUF ndicho wanachosema uamsho?," alihoji Lukuvi.

"Na ukishaona chama kinajitayarisha kuchukua madaraka kama ilivyo kwa CUF, kinatumia taasisi hii yenye msimamo mkalii kueneza sera zake ni hatari kwa mustakabali wetu, ni hatari kubwa," alisema. Alisema kama kweli Uamsho ni taasisi ya kidini na inatekeleza sera ambazo zinatekelezwa na vyama vya siasa, lazima Watanzania wajiulize kuna nini. Alisema kuna tishio la baadhi ya watu ambao wameanza kufikiria kwamba Wazanzibar wanafaidi sana wakiwa Tanzania Bara na kufikiria kuwafukuza na kunyang'anya mali zao na iwapo watafanikiwa kuwanyang'anya watawafukuza.

"Sasa baada ya Wazanzibari kuondoka, tutaanza kuangalia hawa Wachina, hawa Wahindi na vinginevyo tutakuja hata kwenye dini, Wakristo wana mali zaidi kuliko Waislamu. "Lakini kwa Zanzibar ambayo ina dini kubwa moja na tunajua hizi dini, kwa mfano katika dini ya Ukristo kuna dini ndogo ndogo nyingi na ndani ya ukristo kuna watu wenye siasa kali lakini na ndani ya Uislamu kuna watu wenye siasa kali kwa hiyo mimi nina hofu nyingine ya ubaguzi .

"Nasema kunaweza kukatokea ubaguzi wa kidini, inaweza ikatokea ubaguzi wa kieneo kwani inaweza kutokea hata Unguja akaenda mtu akasema Waunguja wote ondokeni hapa pamejaa, sasa hizi ni hofu zangu, mfumo huu wa serikali mbili umetuondolea hofu hizi hatuna hofu kabisa ya maisha haya, leo hatumfikirii Mpemba atoke au Muunguja atoke, Msukuma atoke, hatufikirii," alisema. Awali kabla ya Lukuvi kutoa ufafanuzi huo, Sitta aliwaambia wabunge kuwa amemlazimisha Lukuvi kukatiza safari yake nchini India ili atoe ufafanuzi wa kauli alizozitoa katika Kanisa la Methodist.

Alisema amelazimika kumwita Lukuvi ambaye alikuwa akijiandaa kuondoka nchini jana kwenda India kwa matibabu ili atoe ufafanuzi wa kauli yake ambayo juzi ilisababisha UKAWA, wanaounga mkono serikali tatu, kususia Bunge hilo. Moto wa wajumbe wa UKAWA, kutoka bungeni juzi uliwashwa na Profesa Ibrahim Lipumba ambaye alisema serikali na mawaziri wake wameanza kampeni ya kupinga muundo wa serikali tatu unaopendekezwa na rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Alisema hoja ya Lukuvi inafanana na ile ya Rais Kikwete aliyoitoa wakati wa kufungua Bunge, Machi 21, mwaka huu.

Tanzania Kwanza wamruka Lukuvi Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Tanzania Kwanza, wamemruka Mjumbe wa Bunge hilo, William Lukuvi, kuwa kauli aliyoitoa kanisani na kusababisha mtafaruku ndani ya bunge ni maoni yake binafsi na si maoni ya serikali ya CCM. Akitoa ufafanuzi jana, Kiongozi wa kundi hilo, Adam Malima, alisema Lukuvi kama mjumbe ana uhuru wa kutoa maoni yake na kwamba aliyoyasema ni yake na wala si ya chama wala serikali.

Kuhusu kauli za matusi, Malima alisema haoni kama kuna matusi na kuongeza kuwa tusi kubwa ni lile alilolitoa Profesa Lipumba kwamba wote wanaodai serikali mbili ni Interahamwe.

CHANZO: TANZANIA DAIMA 18.04.2014
 
Nathani wenye akili washaona kitu gani kitatokea iwapo Zanzibar itakuwa dola kamili inayojitegemea.

Watu wanakurupuka tu sababu ya uislam. Hawana agenda zaidi ya kulinda dini ambayo hakuna mtu anayoichukua. Kingine nani anajua ukubwa wa Zanzibar?? Wao wajiite nchi kamili lakni wakae kwetu ila wabara hawawezi kukaa Zanzibar bila fitina.

Huu udhalimu na fitina wa kulaumiwa ni Seif na wenzake. Wao wanachotaka znz iwe dola kamili waingie kwa Jumuia ya waislam huku waarabu wakitaka kurudi kwa mgongo wa historia huku tukijua wazi wanataka mafuta.

Tusipokuwa waangalifu tutakuta tumeingia kwenye machafuko ya hali ya juu. Na hawa waarabu wanaharamu ndio wanalotaka. Hakuna mtu wa nje mwenye nia njema na nchi yetu. Sio magharibi wala uarabuni.

Mtu anaongelea Zanzibar kupata dola kamili wakati hana hata hiyo elimu kutwa kukaa vibarazani.

Nashangaa kwanin kina Seif bado wanaishi hawa watu.

The king.

Kwani nawe una hofu?
 
Wewe ondoa uozo wako, siku hizi sijui Lipumba amekuwa Imamu, maana amekuwa kiguu na njia kuhubiri udini Misikitini.

Ulikuwepo kanisani wakati Lukuvi anahara ule uharo wake?

Lini tena ataendelea na hilo somo lake?

Tufahamishane, ondoa HOFU!

Teh teh teh!

Ahsanta
 
Wacha kuchanganya muktadha wewe mpakwa mafuta!

Hao wanaenda Unguja kuzungumzia katiba na Serikali tatu!

Nawe una hofu nini?

Teh teh teh!

Post ya 257 aliyoiweka dada yako katika imani ilisema hivi:

Professor Lipumba leo amesema anakwenda Zanzibar kuwaelezea wananchi kinachoendelea, nna uhakika mada kuu haitoliwacha hili la Lukuvi. Au unasemaje?

Anakwenda kushitaki kwa wananchi wa Zanzibar.

Mbona hukumwambia kuwa anapotosha? Haya mambo ya Ummah yanawapeleka pabaya. Au ni katabia ka uongo na ubishi usio na msingi?

Amandla......
 
We kichwa maji kweli!

Yaani unaona umechangia kabisa kwa huo uharo uloandika!

Unazungumzia uhuru wa vyombo vya kwa lipi hasa? je, ni kwa hili la Dada FF kumnukuu huyo kilaza mpakwa mafuta mwenzio? Au ndio yale yale, nyani alioni kaliole?!!

Ulipaswa kujikita kwenye kupinga ule uharo wa Lukuvi alohara pale Kanisani.

Kufanya hivyo kungeonesha ukomavu wako katika kuchangia masuala yanayoweza kuligawa Taifa hili katika misingi ya UDINI wa huyo nduguyo mpakwa mafuta.

Mtu yeyote akisoma hiyo bayana yako ataona wazi wazi kua wewe hapa umechangia kwa kuongozwa na mihemko ya chuki ulonayo dhidi ya Uislam na kwa Dada yetu FF.

Ni vema kutafakari jambo kabla ya kuandika...na sio kuandika tu uonekane umechangia.

Nimekuelewa. Kama unaweza kutafuta post niliyoiweka hapa kabla ya hii hapa. Utapata jibu laki
Ahsante.

The king.
 
Lipumba hajasema mambo ya majeshi au christian state.lukuvi amesema wanaotaka serikali 3 wataunda islamic state znz na pia makanisa yatafungwa tanganyika ..huyu ni mchochezi wa kuogopwa kama ukimwi

Muache aseme mwenyewe maana ya kusaidia uchaguzi,kujipanga mapema na kudhibiti rasilimali kubwa kidini.wewe huelewi.kwanza mengine kasema kilugha ambayo si kiswahil
 
Ulikuwepo kanisani wakati Lukuvi anahara ule uharo wake?

Lini tena ataendelea na hilo somo lake?

Tufahamishane, ondoa HOFU!

Teh teh teh!

Ahsanta

Mimi siwezi kuwaogopa Wafilisti hata siku moja. Tukutane Mchambawima kuzindua album ya Lukuvi, teh teh teh.
 
Post ya 257 aliyoiweka dada yako katika imani ilisema hivi:

Mbona hukumwambia kuwa anapotosha? Haya mambo ya Ummah yanawapeleka pabaya. Au ni katabia ka uongo na ubishi usio na msingi?

Amandla......

Haka katabia ka kuimba na kukata viuno kanisani, kamewaathiri sana ubongo wenu mpaka kwenye maisha ya kawaida!

Au umeshapata mvinyo hapo kanisani sasa unachanganya mada?!

Haya narejea tena suali halafu unijibu. Je na wewe una hofu kama mpakwa mafuta mwenzio Lukuvi?
 
Bora kukata viuno umesimama kuliko kukata viuno umekalia Jamvi kama wafanyavyo watukufu.
 
Mimi siwezi kuwaogopa Wafilisti hata siku moja. Tukutane Mchambawima kuzindua album ya Lukuvi, teh teh teh.

Kama hamna hofu, mbona mnazunguka makanisani!

Teh teh teh!

Naona umeamua kuweka ratiba yenu wazi sasa kwa jinsi hofu ilivyo wajaa!

Teh teh teh!
 
mnapotosha
kauli ya lipumba inahusu kumtambua kikwete siku ya kutangazwa matokeo.
Cuf ndio walikuwepo na wakayatamnua matokeo na kikwete alimkumbatia kumpongeza.
Sio kumsaidia kupata kura.cuf q hawakua na mtaji wa maana uchaguzi ulopita sasa alimsaidia vipii.
Hata kama alimpa tough ya kutambua udhindi na hapo msikitini alizungumza umuhimi wa kujipanga kwa waislam kwenye mambo yasiasa.ka

hakutaja kanisa kuwa linataka kuanzisha uktisto tanzania
hapa tunaxungumzia waziri akisema waislam wa unguja wataleta dola ya waislam na makanisa yatavunjwa..huu nii ujuni na interharamwa style ...ni fitina kubwa sana..
usipotoshe ukweli?wewe ndie mpoteshaji asie na aibu?hatu profesa amepotoha watu?hajamsaidia mtu.tumempigia kura wenyewe.proff anapotosha watu kwa kutaka
waandae uchaguzi kidini na wamiliki rasilimali kidini?hili ni kosa
 
Kama hamna hofu, mbona mnazunguka makanisani!

Teh teh teh!

Naona umeamua kuweka ratiba yenu wazi sasa kwa jinsi hofu ilivyo wajaa!

Teh teh teh!

Kwenye Ukristo hakuna dhambi mbaya kama hofu na wogo, ndiyo maama bible insema tumeumbwa kwa Roho ya ujasiri. Hiyo ratiba inakuhusu wewe maana Lipumba atazindua album ya Lukuvi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom