MSIMISEKI
Senior Member
- Jul 30, 2011
- 123
- 34
Unaweza kuwa sahihi kama utahakikisha hao unaowaita wenye fikra fupi hawawezi kuwa BULLS
Hata fikra fupi zipo zenye maana kama palivyo na sentensi fupi zenye maana mfano "...AHSANTE...."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuwa sahihi kama utahakikisha hao unaowaita wenye fikra fupi hawawezi kuwa BULLS
Nimekutajia Rev Gene Robinson makusudi kumbe unamjua vizuri.
Ni kiongozi wa Kanisa Anglican, ni ------ vipi ndiyo ukirsto huo?
Haya hautaki habari za Mbwa,je habari za ------- kufunga ndoa Kanisani vipi ndiyo Ukirsto.
Uzuri wa Uislam hauwezi kuulizwa habari za nchi nyingine unaulizwa umeufanyia nini Uislam pale ulipokuwepo Zanzibar wana haki kama nchi yao kujiamulia mambo yao.
Una hofu sana na Uislam.
HATA KAMA UNAPENDA POROJO LETA POROJO ZENYE MSHIKO?TATIZO LENU HAMPENDI KUSIKIA UKWELI NA BADALA YAKE MNAJIFURAHISHA KWA KUJISHIBISHA UPEPO.CCM NDIO CHAMA PEKEE KINACHOUNGWA MKONO NA WANANCHI WENGI.HATA UFANYE UHAGUZI LEO AU KESHO UKWELI NI HUO.kwa hivo ccm haiwezi kujiingiza kwenye mambo ya kufikirika unayoyaelezeaccm wakitaka kitu watatumia kila njia ili mradi kipatikane:
1. Wataua yeyote ili wasafishe njia, na kwa mchakato huu wameishaua tayari ili kutoa kiwingu na kutishia watakaojitia kiherere.
2. Wataamsha hisia za udini, ukabila, ukanda. Wameisha fanya hayo na wanaendelea.
3. Watatoa chochote kwa yeyote ili mradi azima yao itimie. Walitoa kila kitu kwa tume ya mzee warioba walidhani watafanya kwa matakwa ya ccm hata wapinzani walikuwa na hofu ya maoni ya wananchi kuchakachuliwa. Mungu akaepusha uzalendo wa kweli umeonyeshwa na tume. Ujumbe ktk tume ulikuwa hongo ya ccm.
4. Wataiba popote na kwa namna yeyote km ilivyokuwa epa na dada zake.
5. Watamnunua yeyote km walivyowanunua baadhi ya wasomi km shivji na wengineo.
6. Watazinunua mpaka taasisi na ngo km ilivyofanya kwa taasisi/ngo ya tiba asili wamchague kingunge aingiie aliko sasa.
Lukuvi ni wakala tu katika mambo ambayo ccm wanaweza kufanya.
Kikwete ni wakala mzuri wa ccm, na ndiye aliyechochea udini 2010 ili mradi aonewe huruma na kupewa kura za waislamu.
Yote yanafanyika kwa ujinga na woga wa watanganyika na wazanzibari. Tuamke na kukataa upumbavu huu. Ina maana ccm ndio raia halisi, na kuwa mzalendo ni lazima uwe ccm. Hapana, ccm ni waroho wa madaraka na wanafiki wakubwa. Udhibitisho ni huu ktk bunge la katiba.
Wengi na mengi yatasemwa yaliyo mabaya zaidi ya yale alosema lukuvi, tujiandae kuyasikia.
Wewe ndiyo hata haya hauna una mhaba sana na Lukuvi, pitia majibu ya Lukuvi anayomjibu Prof. Lipumba, siyo kila kitu unapinga au tukuletee audio?
Wewe unachukuliaje kitendo cha Waziri mkuu kumtuma Lukuvi kwenda kanisani kusema uharo ule?
HATA KAMA UNAPENDA POROJO LETA POROJO ZENYE MSHIKO?TATIZO LENU HAMPENDI KUSIKIA UKWELI NA BADALA YAKE MNAJIFURAHISHA KWA KUJISHIBISHA UPEPO.CCM NDIO CHAMA PEKEE KINACHOUNGWA MKONO NA WANANCHI WENGI.HATA UFANYE UHAGUZI LEO AU KESHO UKWELI NI HUO.kwa hivo ccm haiwezi kujiingiza kwenye mambo ya kufikirika unayoyaelezea
Mkuu, hivi ulitaka hii mada iletwe vipi wakati Lukuvi, kayaongelea Kanisani...daa!!Aliyeleta mada hii aliileta kwa malengo ya kidini. Alidai kuwa Lukuvi ni mfano wa mfumo kristu ambao unatawala nchi yetu. Wewe kote huko haukuona udini mpaka pale tulipoamua kupinga hoja yake?
Amandla.......
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".
Jana nikauliza ni waziri gani huyo? sikupata jibu humu JF.
Lakini kwa kuwa Mungu hamfichi mnafik, huyo waziri kajitokeza mwenyewe bungeni leo hii na kwanza kukiri kuwa katumwa na Waziri Mkuu na kusema kuwa hiyo ni hofu, "phobia" yake na akaendelea kusema "hakuna yeyote wa kunizuia hofu yangu hii".
Akazunguka wee na maneno lakini akashindwa kukisema kile alichokieleza Lipumba.
Kwa uchache, Lukuvi ameudhihirishia umma kuwa ana "Islamophobia" au hofu ya Uislaam.
Kiongozi unaefikia kutangaza Kanisani na Bungeni kuwa hutaki kuwapa mamlaka kamili Zanzibar kwa ajili ya dini yao, kweli hiyo si Serikali ya Mfumo Kristo tunayoilalamikia siku zote humu?
Na leo Lukuvi kahitimisha kwa kuniunga mkono yale ninayoyasema humu kila siku kuwa huu Muungano upo kwa ajili ya Kanisa. Na unaongozwa na Kanisa. Huwa mnajifanya hamnielewi lakini leo yamebainika bayana.
Wanaonisikitisha zaidi ni wale Wazanzibari waliobaki kuipigia makofi hoja hii ya Lukuvi, halafu wanajiita wao Waislaam. Waislaam mnaambiwa hampewi nchi yenu kwa kuwa Lukuvi ana hofu mkipewa mtaifanya dola ya Kiislaam na nyinyi mnashangilia? Yaani Lukuvi anawaambia kinaga ubaga kuwa mtabaki ndani ya mfuko Kristo mkitaka msitake na mkikataa basi ni bora nchi hii ishikwe na jeshi na akafikia mpaka kuwapa mfano wa Islamic Brotherhood ya Egypt.
Kinachonishangaza hii hofu yanini kwa Lukuvi? ikiwa nchi anayoiongelea ni Zanzibar na Wazanzibari 99% ni Waislaam ikiwa
wataamuwa nchi yao kuwa ya Kiislaam yeye anapatwa na hofu ya nini?
[video=youtube_share;PIAPAAd3Dck]http://youtu.be/PIAPAAd3Dck[/video]
cc Ritz, gombesugu, kahtaan, THE BIG SHOW, CHAMVIGA
Moderator tafadhali usiiunganishe hii na nyuzi nyingine hii maudhui yake inajitegemea.
Atamburukenge baba yako atakufa na pressure muda c mrefu wenyewe wanataka nchi yao
Nyambafu mkubwa, Lukuvi mwenyewe kasema alikuwa anaelezea hisia zake, mimi nimemsikia mwenyewe wewe unaniambia habari za magazeti.
Eti CCM hawapendi haki.unamdanganya nani asielewa unafiki mnauendeleza.Watu mpo bungeni.wabunge wenzenu hawaungi mkono hoja zenu.nyie mnatoroka Bungeni kwenye taratibu za kujadili hoja mnatorokea huku mitaani kwenye majukwaa ambapo anayehutubia anahutubia wafuasi wake,hajibiwi na taratibu mmejitungia wenyewe.Hiyo ndio haki?FF siku zote umekuwa muumini wa kweli wa ccm na viongozi wake na unajua jinsi ccm isivypoenda kutenda haki kwa mtu yeyote asiye mwanaccm. Mnafiki zaidi ni nani, anayeshabikia ccm wanaovunja haki za binadamu ili wabakie watawala labda kwa ujira wa dhambi/au kwa kutishiwa au ccm wanaovunja katiba kibabe kwa sababu tu wako madarakani na watu kama wewe mnawaimbia ccm nambari wani? Sioni unachokilalamikia hapa na kuleta hoja za kanisa badala ya kuona ubaya wa ccm kuminya kwa makusudi haki za watu wengine. Unaongea kwa sababu wewe ni mwislamu au unaongea kwa sababu hupendi dhuluma? kama unatetea dini peke yake, hoja yako haina mashiko. Kama unatetea haki za watu zinazovunjwa kwa makusudi na mabwana zako (ccm) unaweza ukawa na hoja iwapo tu utatutangazia kuwa sasa wewe si muumini wa ccm tena!
Kumbe unajua kutumia Google?
Unataka kujua kama ushoga ni ukristu. Katika Ukristu kuna madhehebu mengi. Na baadhi ya madhehebu hayo nayo ndani yamegawanyika. Dhehebu la unaloita Anglican ni mkusanyiko wa makanisa mengi ambayo chimbuko lao lilikuwa Kanisa la Uingereza. Nchini Marekani dhehebu hilo linajulikana kama Episcopal. Makanisa haya yote ni huru kujiamulia nani watamkubali kama mwenzao au la. Mengine yanakubali ushoga wakati mengine wanapinga. Mengine yanakubali makasisi wanawake wakati wengine wanapinga. Cha muhimu ni kuwa wote hawa wanamkubali Yesu Kristu kama Messiah wao. Kutokana na hili hakuna mwenye haki ya ku-define ukristu maana una sura nyingi. Hivyo hivyo sina haki ya kuamua juu ya ukristu wa Askofu Robinson. Kama vile nisivyo na haki ya kuamua legitimacy ya madhehebu ya Latter Day Saints, Mashahidi wa Jehovah n.k. Gene Robinson atakapokufa na kwenda mbele ya haki, ndipo atajua kama yeye kweli ni mkristu maana tumeambiwa Hukumu ni ya Mwenyezi Mungu na si yetu Binadamu.
Sasa wewe niambie kama Mohamed Attah, Osama Bin Laden, Mohammed Yusuf (aliyesema kuwa kusema dunia ni ya mviringo na mvua inatokana na maji yanayogeuka kuwa mawingu ni kupingana na Uislamu), Sheikh Moktar Ali Zubeyr (Aliyezuia chakula cha msaada kisiingie kuwasaidia watu wake kwa sababu ni cha makafir na aliyepiga marufuku sambusa kwa sababu ni mfano wa Utatu Mtakatifu), Shamil Basayev ( aliongoza mauaji ya watoto katika shule ya Beslan) na wafuasi wao ni waislamu na kama vitendo walivyovitenda ni vya kiislamu? Niambie kama Prince Shah Karim Al Hussaini Aga Khan wa nne ni muislamu?Huyu ambae babu yake ndiye aliyeanzisha na kufadhili the East African Muslim Welfare Society.
Amandla......
Naona unanipa maelezo marefu mno ambayo hayana majibu, mie nimeuliza Ukirsto unaruhusu ushoga simple tu ungenijibu ndiyo au hapana.Kumbe unajua kutumia Google?
Unataka kujua kama ushoga ni ukristu. Katika Ukristu kuna madhehebu mengi. Na baadhi ya madhehebu hayo nayo ndani yamegawanyika. Dhehebu la unaloita Anglican ni mkusanyiko wa makanisa mengi ambayo chimbuko lao lilikuwa Kanisa la Uingereza. Nchini Marekani dhehebu hilo linajulikana kama Episcopal. Makanisa haya yote ni huru kujiamulia nani watamkubali kama mwenzao au la. Mengine yanakubali ushoga wakati mengine wanapinga. Mengine yanakubali makasisi wanawake wakati wengine wanapinga. Cha muhimu ni kuwa wote hawa wanamkubali Yesu Kristu kama Messiah wao. Kutokana na hili hakuna mwenye haki ya ku-define ukristu maana una sura nyingi. Hivyo hivyo sina haki ya kuamua juu ya ukristu wa Askofu Robinson. Kama vile nisivyo na haki ya kuamua legitimacy ya madhehebu ya Latter Day Saints, Mashahidi wa Jehovah n.k. Gene Robinson atakapokufa na kwenda mbele ya haki, ndipo atajua kama yeye kweli ni mkristu maana tumeambiwa Hukumu ni ya Mwenyezi Mungu na si yetu Binadamu.
Sasa wewe niambie kama Mohamed Attah, Osama Bin Laden, Mohammed Yusuf (aliyesema kuwa kusema dunia ni ya mviringo na mvua inatokana na maji yanayogeuka kuwa mawingu ni kupingana na Uislamu), Sheikh Moktar Ali Zubeyr (Aliyezuia chakula cha msaada kisiingie kuwasaidia watu wake kwa sababu ni cha makafir na aliyepiga marufuku sambusa kwa sababu ni mfano wa Utatu Mtakatifu), Shamil Basayev ( aliongoza mauaji ya watoto katika shule ya Beslan) na wafuasi wao ni waislamu na kama vitendo walivyovitenda ni vya kiislamu? Niambie kama Prince Shah Karim Al Hussaini Aga Khan wa nne ni muislamu?Huyu ambae babu yake ndiye aliyeanzisha na kufadhili the East African Muslim Welfare Society.
Amandla......
[h=1][/h]
[h=1][/h]
Mimi sikubaliani kabisa na hilo ninachojua nikwamba ccm wanatumia kila mbinu ili kutugawa coz wanajua kwamba siku zao zimehesabika na hii c mara ya 1 hata kipindi cha uchaguzi walifanya hivyo kwa hiyo tusiingie kwenye mmtego wao tunachotakiwa sisi ni kupambana na haya manyang'au ccm ili tubaki na nchi yetu bila kusambaratika coz sote tuwamoja regardless of our religion sote ni wamoja
L
We all have personal situations and issues dealing with one another within our society and World politics dynamic.
There will always be something we will complain about with the other group/s, but that can't the focus of struggle!?
What you create is the tug of war battle/instability between two parts that actually has the same and/or similar strength. NO one wins!
You have to critically think/evaluate and know that these situations and problems are occurring due to us(as a society) being gravely sickened by the influence of the people that rules over us.
Not only this, you can't internalize all Muslim's issues when they are not directly related to you and you have NO immediate solution to resolve them!?
You are creating more problems for this effect, which is Islamophobia,religious indifference and/or tension, because all you have is point the finger!?
Yes, we all need accountability, but once again, this can't be the focus for us to do because it is a delicate fabric that needs to be balanced with immediate solution/s and not cheap accusations on the whole!
Imbalance of removing the element of solution will replace it with the element of destroying our whole own society.
There's no way I'm telling you that you shouldn't vent about issues you see for the moment, but many choose to go on this rage long term and eliminate the real Terrorists that created these problems for us to have...which are the Politicians/leaders in our society and of the World!
They should always be the direction you focus on, because if we did not live in a society/world where their illusion of superiority and/or deception ruled we wouldn't be having these kind of Islamophobia and/or religious tensions over our discussion/s!?
Ahsanta sana!
Unamzungumzia lukuvi kama lukuvi au taasisi anayoiwakilisha ambayo ni serikali inayofuata mfumo kristo? Nimekuuliza taasisi (ccm) bosi wao aliyepinga s3 ambayo lukuvi kaenda itetea kanisan na wale wajumbe wa zenj waliokata mauno kumshangilia kikwete nao mfumo kristo? Mm siogopi uislaam kabisa,bali majuha wapotoshaji wanaojificha kwenye kichaka cha diniNa Lukuvi ndiye aliyeenda kanisani kwa kumuwakilisha waziri mkuu, au sio? Na kenda kusema kuwa mkiipa mamlaka Zanzibar wataifanya kuwa nchi ya Kiislaam na hiyo kaelezea leo kuwa ndio hofu (phobia) yake.
Vipi na wewe una hofu na Uislaam?