Ni aibu kubwa sana kwa Kiongozi wa Serekali tena wa Ngazi Ya juu kama hiyo, kua na mawazo kama hayo. Ukweli utajulikana tu mwisho wa siku. Sisi tukisema tuna ambiwa kua ni wadini. Maadui wa Amani ya Nchi yetu tangu Uhuru ni hao ambao Mwenyezi Mungu Sasa Ana waumbua hadharani.
Waislamu msiwashangae hawa. Tangu tunadai Uhuru wa Nchi hii, Kwa Wakiristo wao ilikua UKIRISTO KWANZA, UZALENDO BAADAE. Hali hiyo inaendelea mpaka sasa kwa viongozi karibia wote WAKIRISTO walio serekalini na Katika Taasisi mbalimbali katika Nchi hii. Wakati kwa Waislamu ni, UZALENDO KWANZA, UISLAMU BAADAE.
Nandio maana, Pamoja kua Viongozi karibia wote wakubwa katika Nchi hii ni Waislamu, hawaingilii Chochote katika Maamuzi ya NCHI kwa Misingi ya Kidini.
Na nyinyi nyote ni Mashahidi, Taasisi karibia zote za Dini ya Kiisalamu zilipeleka Maoni ya Kutaka Mahakama Ya Kadhi inayotambuliwa kwa Mujibu wa Katiba, kama ilivyo Kenya, Uingereza n.k. Lakini wakayatupia Mbali mawazo hayo eti waka weka kua Bakwata wametaka serekali tatu. Na nyote Mumeona Mjumbe wa Bakwata Bungeni amemuaibisha Jaji Warioba kwa kumwambia kwamba, Maoni yao hayakua hayo. Maoni yao ilikua Mahakama ya Kadhi, wakayatupa na kudai eti wamedai serekali tatu.
Lakini hilo Msishangae. Vinara wa Tume hiyo walikua kama huyo waziri. UKIRISTO KWANZA, UZALENDO BAADAE.
Wajumbe wa Tume hiyo waliokua na sauti ni Jaji JOSEPH SINDE WARIOBA, Prof. JOHN KABUDI, Jaji AUGOSITINO RAMADHANI na Mh. JOSEPH BUTIKU.
Chuki dhidi ya UISLAMU, NI KUBWA KULIKO HIYO WANAYO IDHIHIRISHA.