Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Wakuu,baada ya kumwangalia Lukuvi akitutisha sisi wananchi wenzake juzi pale bungeni,iko kama vile watawala wame panick,kuna kitu gani wanachoogopa kwenye S3(serikali tatu) ambacho wanashindwa kutueleza sisi ndugu zao?Maana kwa akili za kawaida,ikiwa utashi wa kisiasa utakuwepo,kwa pamoia ndio tunao wajibu wa kutafuta njia ya kuhakikisha kuwa kunakuwa na vyanzo vya mapato vitakavyotosheleza mahitaj(ikiwamo hitaji la kuendesha majeshi)ya serikali ya Shirikisho!Hivyo swala la hizo S3 kushindwa kuligharania jeshi halitakuwepo tena.Hata hivyo,mwisho wa siku:Tanganyika itazaliwa kwa nguvu za wapigania uhuru wa Zanzibar,hata vijana na wazee wa Tanganyika wakionyesha uchovu wa namna gani!
 
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??

Wewe ndiye unayumba kifikra. Baraza la mawaziri la JK liko makini.
 
Wakuu,baada ya kumwangalia Lukuvi akitutisha sisi wananchi wenzake juzi pale bungeni,mbona nilipata picha kama vile watawala wame panick,kuna kitu gani wanachoogopa kwenye S3(serikali tatu) ambacho wanashindwa kutueleza sisi ndugu zao?Maana kwa akili za kawaida tu hilo swala la jeshi kuchukua nchi halitawadhuru watu wanawotaka S3 tu,hata ndugu zake Lukuvi wataathirika tu,hivyo ni sawa na kututishia watu wazima nyau,nini hasa hofu yao ya kweli inayowafanya wachanganyikiwe hivyo jamani?
 
Attachments

  • 1397835747129.jpg
    1397835747129.jpg
    20.8 KB · Views: 148
Naungana na FF, kuwa Lukuvi alichokifanya ni makosa makubwa na anastahili ajihuzulu mara moja!

Huwezi kuwa kiongozi wa wananchi wote halafu ukawabagua wananchi unao waongoza, tena kibaya zaidi ni kwa kuwabagua kwa misingi ya imani zao!

Pili, ameonyesha kuwa ni mchochezi mkubwa sana....huwezi kuongea kwa kukosoa imani hii mbele ya imani ile....yaani kama kiongozi hawezi kuwakosoa au kuwatenga waislamu mbele ya imani ya dini ingine ya kikristo! Angeenda Zanzbar au msikitini alafu akaseme alichosema....aone atajibiwaje!

Huyo na aliyemtuma. Kwani yeye mwenyewe amesema bungeni kuwa alitumwa na Waziri Mkuu kwenda Kanisani kuongea nao, kwa kauli amesema Waziri Mkuu alikuwa hajisikii vizuri.

Sasa hao ndio viongozi wa Serikali isiyo na dini, hofu yao ni Uislaam na hiyo hofu yao wanaenda kuitolea Kanisani.

Dah. Halafu kuna Waislaam na Wakristo Wanafik, wasiojijuwa pale bungeni na huku mitaani, wamepigia makofi mambo ya Lukuvi. Mtu niliyemuona ameachia mdomo wazi wakati Lukuvi anaongea pale bungeni ni Mzee Kingunge peke yake na hakupiga makofi wala kushangilia, alibaki kaduwaa, kumbuka Kingunge haamini Uislaam wala Ukristo lakini hakushabikia.
 
Lukuvi na aliyotumwa na Waziri Mkuu.

Serikali ina dini?
Lukuvi kupitia ofisi ya waziri mkuu kawasilisha maoni ya serikali yaliyoagizwa na raisi wa nchi na mwenyekiti wa CCM na ndio msimamo wa chama per ' se.

So wanachama wa CCM mmeamuaje kwa msimamo huo wa kidini uliofanywa na serikali ya chama chenu kupitia ofisi ya waziri???
 
This will endless cost our president. Mbona wapo lukuki washauri wazuri, either watu wa usalama wameshindwa kumtaarifu Mh. Rais kuhusu wasifu wa watu wa kumshauri ama alikataa ushauri na kuchukua washkaji zake ili waneemeshe matumbo yao.

Hata hao usalama wa taifa ni afadhali hata ya lukuvi, kwanza waziri wao ndo huyo lukuvi halafu uje akina jack zoka, ramadhan igondu et al, unategemea nn?
 
Kama jei kei angewatumia
mkapa,warioba,butiku,sumaye.
Kidogo hadhi na heshima yake ingekuwa juu zaidi na taifa lingeimarika kiustawi.
Lakini kwa watu kama mwigulu,wassira,lukuvi aaah! Hovyo kabisa.

JK ni jembe. Ni Dr, mjeshi na muungwana. Nampenda na kumheshimu rais wangu, chaguo la watanzania.
 
Hawa ndio washauri makini wa baraza la mawaziri..hahaaaa kazi ipo
 
Attachments

  • 1397836175473.jpg
    1397836175473.jpg
    65.1 KB · Views: 117
Wakuu,baada ya kumwangalia Lukuvi akitutisha sisi wananchi wenzake juzi pale bungeni,mbona nilipata picha kama vile watawala wame panick,kuna kitu gani wanachoogopa kwenye S3(serikali tatu) ambacho wanashindwa kutueleza sisi ndugu zao?Maana kwa akili za kawaida tu hilo swala la jeshi kuchukua nchi halitawadhuru watu wanawotaka S3 tu,hata ndugu zake Lukuvi wataathirika tu,hivyo ni sawa na kututishia watu wazima nyau,nini hasa hofu yao ya kweli inayowafanya wachanganyikiwe hivyo jamani?
 
Huyo na aliyemtuma. Kwani yeye mwenyewe amesema bungeni kuwa alitumwa na Waziri Mkuu kwenda Kanisani kuongea nao, kwa kauli amesema Waziri Mkuu alikuwa hajisikii vizuri.

Sasa hao ndio viongozi wa Serikali isiyo na dini, hofu yao ni Uislaam na hiyo hofu yao wanaenda kuitolea Kanisani.

Dah. Halafu kuna Waislaam na Wakristo Wanafik, wasiojijuwa pale bungeni na huku mitaani, wamepigia makofi mambo ya Lukuvi. Mtu niliyemuona ameachia mdomo wazi wakati Lukuvi anaongea pale bungeni ni Mzee Kingunge peke yake na hakupiga makofi wala kushangilia, alibaki kaduwaa, kumbuka Kingunge haamini Uislaam wala Ukristo lakini hakushabikia.

Kwa muktadha huu mawakala wa ccm inabidi mpime maboss wenu wanawatumia kama ngazi.
 
Ni aibu kubwa sana kwa Kiongozi wa Serekali tena wa Ngazi Ya juu kama hiyo, kua na mawazo kama hayo. Ukweli utajulikana tu mwisho wa siku. Sisi tukisema tuna ambiwa kua ni wadini. Maadui wa Amani ya Nchi yetu tangu Uhuru ni hao ambao Mwenyezi Mungu Sasa Ana waumbua hadharani.

Waislamu msiwashangae hawa. Tangu tunadai Uhuru wa Nchi hii, Kwa Wakiristo wao ilikua UKIRISTO KWANZA, UZALENDO BAADAE. Hali hiyo inaendelea mpaka sasa kwa viongozi karibia wote WAKIRISTO walio serekalini na Katika Taasisi mbalimbali katika Nchi hii. Wakati kwa Waislamu ni, UZALENDO KWANZA, UISLAMU BAADAE.

Nandio maana, Pamoja kua Viongozi karibia wote wakubwa katika Nchi hii ni Waislamu, hawaingilii Chochote katika Maamuzi ya NCHI kwa Misingi ya Kidini.

Na nyinyi nyote ni Mashahidi, Taasisi karibia zote za Dini ya Kiisalamu zilipeleka Maoni ya Kutaka Mahakama Ya Kadhi inayotambuliwa kwa Mujibu wa Katiba, kama ilivyo Kenya, Uingereza n.k. Lakini wakayatupia Mbali mawazo hayo eti waka weka kua Bakwata wametaka serekali tatu. Na nyote Mumeona Mjumbe wa Bakwata Bungeni amemuaibisha Jaji Warioba kwa kumwambia kwamba, Maoni yao hayakua hayo. Maoni yao ilikua Mahakama ya Kadhi, wakayatupa na kudai eti wamedai serekali tatu.

Lakini hilo Msishangae. Vinara wa Tume hiyo walikua kama huyo waziri. UKIRISTO KWANZA, UZALENDO BAADAE.

Wajumbe wa Tume hiyo waliokua na sauti ni Jaji JOSEPH SINDE WARIOBA, Prof. JOHN KABUDI, Jaji AUGOSITINO RAMADHANI na Mh. JOSEPH BUTIKU.

Chuki dhidi ya UISLAMU, NI KUBWA KULIKO HIYO WANAYO IDHIHIRISHA.
 
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??

Usimsahau na aliyemtuma Lukuvi. Mizengo Peter Pinda.

Kikwete ana maadui hapo hapo ubavuini kwake na ni hao hao kina Lukuvi lakini namshangaa hajaliona hilo, sasa ndio atajuwa.
 
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??

Tutegemee slogan that "mukikubali 3 govts nchi itatawaliwa na jeshi". hivi wanazani jeshi hata leo wakiamua kupindua serikali JK na Lukuvi watazuia kisa serikali mbili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom