Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??

Daaaah
Hapo hakuna kitu mana wote hao ni VILAZA
 
Ha ha ha
Faiza
Leo unenichekesha sana
Mkiguswa dini zenu ndo mnaona kuwa ccm wamepotoka
Cdm wanavotaka serikali tatu wee ni wa kwanza kupinga
Angalau Mungu ni mwema ameonyesha hila ya ccm
 
Kama jei kei angewatumia
mkapa,warioba,butiku,sumaye.
Kidogo hadhi na heshima yake ingekuwa juu zaidi na taifa lingeimarika kiustawi.
Lakini kwa watu kama mwigulu,wassira,lukuvi aaah! Hovyo kabisa.

Washauri wengine tumewasahau...mwanaye mwenyewe Riz1, na wauza sembe wakuu, jangili mkuu na wauza elephant dentals...nk..
 

Baada ya hotuba ya Rais, mh. Seif Sharrif Hamad alihutubia, yeye ni mchochezi wa hovyo kwa kumsingizia Rais, hakuna mtu yeyote anaweza kunizuia kusema ninayoyaamini mimi, sio hapa wala mtaani, ni kweli Jumamosi nilimwakilisha Waziri mkuu ambae hakunipa hotuba na mambo yalinoga nikatawazwa kuwa chifu'

Sasa mtasemaje kuwa yale maneno ni ya Pinda? Jamaa kaambiwa nenda ukahudhurie misa kwa niaba yangu, kufika kule kaamua kusema ovyo bado mtasema maneno yale ni ya anayemwakilisha!

Amandla.....
 
Ha ha ha,Faiza Foxy unaburudisha sana.Cha msingi acha kulialia hiyo ndiyo Tanzania chini ya CCM,Na hapa hata hiyo BAKWATA yenu Tanganyika au ya huko Zanzibar hutowasikia wakitoa tamko lolote la kukemea hotuba ya LUKUVI japo ilikuwa chungu kwa waislamu nchini,cha ajabu na cha kusikitisha hotuba ya LIPUMBA ambayo ilikuwa inakemea maovu ikakemewa na kukaripiwa na kiongozi wa dini tena wa kikristu mnaowatuhumu.LAITI HOTUBA YA LUKUVI INGETAMKWA NA KIONGOZI YEYOTE WA CHADEMA PANGEFUKUTA HUKO BAKWATA rejea uchaguzi wa Igunga kumhusu mkuu wa wilaya na hijabu.Kwahiyo dada Faiza usilie humu JF hiyo ndiyo CCM mnayoitetea ilivyo kigeugeu na uchokozi wa kidin kisiasa huku mkiwatetea rejea hata sakata la kuchinja. NA BADO TUTAYASIKIA MENGI SANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU NA VIONGOZI WA DINI WATATUMIKA SANA KWENYE SIASA ZA CCM mfano ASKOFU MTETEMELA n.k.
 
lukuvi kakosea sana kulinganisha cuf na uamsho. hofu yake isituharibie mchakato, lndia anakwenda fanya nini aendelee na kikombe cha babu. anatuharibia
 
Usimsahau na aliyemtuma Lukuvi. Mizengo Peter Pinda.

Kikwete ana maadui hapo hapo ubavuini kwake na ni hao hao kina Lukuvi lakini namshangaa hajaliona hilo, sasa ndio atajuwa.

Dada ni wewe umepost au?sasa naona umeanza kuelewa ni kwa nini tupo hapa,naunga mkono hoja.
 
Wanasiasa hawawezi kushinda.

Wasiposema ukweli wao, mnawaita wanafiki.

Wakisema ukweli wao mnawaona hawana political correctness.
 
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??

Kubwa zaidi mpya aliyotoa Lukuvi safari hii kuisimanga dini ya Mkuu aliyempa uwaziri waziwazi akiwa kwenye kanisa. Hapa patamu.
 
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??
[h=2]Askofu Kakobe kuzungumzia muundo wa Muungano katika Neno la Pasaka 20.4.14[/h]
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa waumini wanaosali katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), linaloongozwa na Askofu Mkuu Zachary Kakobe, zinaeleza kwamba, Jumapili iliyopita katika Ibada Kuu ya Kanisa hilo, lililoko Barabara ya Sam Nujoma, Mwenge, Dar-Es-Salaam, karibu na Mlimani City; Mzee wa Kanisa anayehusika na matangazo, alitangaza kwamba, katika Ibada Kuu ya Sikukuu ya Pasaka, Jumapili hii tarehe 20.4.2014, Askofu Kakobe atahubiri Neno la Mungu, ambalo pamoja na mambo mengine ya rohoni, litazungumzia pia juu ya mustakabali wa nchi yetu, hususan kuhusu Bunge Maalum la Katiba, linaloendelea na vikao vyake, mjini Dodoma. Hata hivyo, taarifa za uhakika zilizopatikana jana, kutoka kwa baadhi ya Viongozi wa Kanisa hilo, zinafafanua kwamba, Askofu Kakobe, atachukua muda mrefu zaidi katika mahubiri yake, kuzungumzia juu ya muundo wa Muungano unaoifaa nchi yetu.

Ibada Kuu ya Pasaka katika Kanisa hilo, itaanza saa 3 kamili asubuhi, na kumalizika saa 6.30 mchana. Hata hivyo, kwa kuzingatia Kanuni za Maadili ya Mavazi, za Kanisa hilo; Viongozi hao wa Kanisa, wamewakumbusha watu wote watakaohudhuria, kumheshimu Mungu kwa mavazi watakayoyavaa. Watakaovaa vimini, jeans, milegezo, na nywele bandia; hawataruhusiwa kuingia katika Nyumba hiyo ya Mungu. Vilevile, wanawake hawapaswi kuvaa suruali, na wanatakiwa kufunika vichwa vyao. Vivyo hivyo, wanaume hawakubaliki kuingia Kanisani humo, wakiwa wamevaa kofia.​
 
Lukuvi karusha jiwe gizani.
Waliopatwa na jiwe tunawaona wanavyolialia......
We have already sealled your coffin. The time to be buried is here and now!!!!!!!
 
Wadau kwa jinsi nilivyo muona Waziri Lukuvi akiongea bungeni kwa jazba bila kutumia busara, in fact aliongea pumba na huyu ni mmoja wa washauri wa Jk. Najiuliza Jk akiwa mezani na washauri wake wawili, kushoto Lukuvi kulia Wasira, nini kitaendelea hapo??

Lukuvi anapata cues zake kutoka kwa JK, not the other way around.

Go figure.
 
This will endless cost our president. Mbona wapo lukuki washauri wazuri, either watu wa usalama wameshindwa kumtaarifu Mh. Rais kuhusu wasifu wa watu wa kumshauri ama alikataa ushauri na kuchukua washkaji zake ili waneemeshe matumbo yao.

JK mwenyewe hakufika hapo alipo kwa merit na performance, bali kwa intrigue na a peculiar brand of courtesan hanging on and ladder climbing.

How do you expect him to respect the meritorious approach to appointments ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom