Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Mmmh ccm hamna mzima..so jeshi huchukua nchi kwa sababu ya kukisa mishahara..km mishahara ni ishu si ungekuta wamechukua siku nyingi
 
Huyu ni kibaraka wa JK kazi yake kubwa ni kujipendekeza.


Hata mfumo wa vyama vingi CCM walidai ungeleta vita!Hii mijitu ni minafiki na ilaniwe yote pamoja na huyo bosi wao kigeugeu.
 
Litatawala home kwake, haki Inapiganiwa ndo mana watu.wanasoma usiku kucha wapate haki. Woga wa kunguru tu huo
 
Hivi viongozi wa ccm wana tatizo gani la kufikiri? Kwa nini inapofikia mwisho wa kuwaza kwao uwaogopesha watanganyika na vita/jeshi? Ama kweli utawala unaotegemea nguvu za giza ni giza tupu. Akili ya kutegemea waganga wa kienyeji ni tatizo.
 
sababu za kitoto hutolewa na viongozi waliochoka kama yeye na niabu kutanganya ya Mungu huku unashuhudiwa na watu wa Mungu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1397535702.133522.jpg
 
Matamshi ya Viongozi wengine yanatia shaka juu ya uwezo wao wa kufikiri. Waziri Lukuvi atuambie wazi kuwa chama chao CCM kimepanga lini kitakabidhi serikali kwa jeshi. Wengine tutaamini kuwa ccm ina mpango mkakati wa kukabidhi serikali kwa jeshi endapo hoja yao ya serikali mbili haitapita. Hatutaki vitisho, hatutaki kuogopeshwa. Kama hapana budi basi jeshi lishike serikali. Gadafi alitawala Libya kwa mabavu lakini wananchi wote walipata 1.Maji safi na salama bure. 2.Watoto wa Kilibya walipata elimu yao bure mpaka upeo wa akili zao. 3.Wananchi wote walitibiwa bure na madawa yalikuwepo hospitali zote na wakati wote. 3.Serikali ya Libya ilikuwa haina deni nje kwa maana ya kudaiwa. Yapo mengine mengi yaliyowanufaisha wananchi wa kawaida moja kwa moja. Hapa kwetu huduma za kijamii zipo kwa kiwango gani?
 
Hivi ingelikuwa ishu ya mishahara ni tatizo si wanajeshi wangelikuwa wameshachukua hii nchi muda mrefu sana ila kinachosaidia ni utiifu wao kwa nchi yao.Mambo wanayofanyiwa wajeshi wetu na serikali hii ya CCM ni ya ajabu sana, kuna wanajeshi wanapelekwa kupigana nje ya nchi, lkn wanaporudi malipo yao 70% wanadhurumiwa na huu mfumo wa serikali mbili uliopo.Maisha ya wanajeshi wetu bado future yao inakuwa mbovu kutokana na ujira wanaokuwa wakilipwa kabla hawajastaafu, ndo maana utakuta wanajeshi wengi wanapostaafu huwa wanaenda kuwa walinzi kwenye mageti ya watu binafsi na makampuni.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, vinginevyo nchi itatawaliwa na jeshi kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kuwalipa mishahara wanajeshi.

Alisema hayo jana katika Kanisa la Methodist, Jimbo la Dodoma alipokuwa mgeni rasmi akimwakilisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
 
Huyu nae tumeshamzoea. mwacheni tu aendeshe hizo kampeni zake,mwisho wa safari ataumbuka mwenyewe.Asubuhi njema wana JF.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, vinginevyo nchi itatawaliwa na jeshi kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kuwalipa mishahara wanajeshi.

Alisema hayo jana katika Kanisa la Methodist, Jimbo la Dodoma alipokuwa mgeni rasmi akimwakilisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Hizi font zako sijui nani anaweza kuumiza macho yake kuzisoma.
 
Huo ni Ugomvi wao na Chiku kwenye mambo ya Uchaguzi
 
Ingekuwa ni serikali inayojali uwajibikaji Lukuvi angechukuliwa hatua. Ni upuuzi kuliingiza jeshi katika mjadala huu, tena katika nyumba ya ibada.
 
Binafsi nashukuru aliyelisema hili c muslim na hakusemea msikitini
 
manyerere Jakton ebu fafanua zaidi maana wengine nikiwemo mimi siyakuelewa unamaanisha kipi,bunge kujadili muungano ni uhaini ama una maanisha kipi?
mimi nimeshi zanzibar,ila ni mbara nakuambia hakuna mzanzibar asiyetaka muungano,hakuna
ila wao wanasema makubaliano yale yaliyoafikiwa Karume na Nyerere ndio yafuatwe ilo tu ndio kilio chao.
na usijege hoja kuwa kutaka S2 au S3 ndio kipimo cha uzalendo
kama kweli wajumbe walio wengi ni wazalendo waludishe na watekeleze AZIMIO LA ARUSHA
maana ndio msingi wa siasa zetu hilo tu
wasichague vipengele vya kusema,ndio maana LISSU alisema ukizoea kuishi kwa uongo uwezi kuishi kwa ukweli
 
Back
Top Bottom