Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Naomba mnisaidie kidogo; alichosema Lukuvi kina tofauti gani ya kimaana na alichosema Kikwete mbele ya Bunge la Katiba juu ya jeshi kutwaa utawala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo maeneo waliosemea mmoja kasemea bungeni mwingine kanisani.Naomba mnisaidie kidogo; alichosema Lukuvi kina tofauti gani ya kimaana na alichosema Kikwete mbele ya Bunge la Katiba juu ya jeshi kutwaa utawala?
Tatizo maeneo waliosemea mmoja kasemea bungeni mwingine kanisani.
Tatizo maeneo waliosemea mmoja kasemea bungeni mwingine kanisani.
soma swali tena... grrrrr
Tatizo maeneo waliosemea mmoja kasemea bungeni mwingine kanisani.
Lukuvi, kasema mengi sana tofauti na JK, hivi si nyie mapovu yalikuwa yanawatoka Lipumba kuongea Msikitini, leo hii Lukuvi kuwapa wakisrto maelekezo wachague serikali mbili, mmekaa kimya,,daa!!!! chini hii kuna wazalendo wengi sana wabandia...kwa hiyo huoni tatizo kuhusu alichokisema JK, kwasababu tu amekisema ndani ya bunge?
..Lukuvi alipohojiwa amesema msimamo wake unafanana na wa Raisi Kikwete.
..pia Lukuvi alikuwa pale kumuwakilisha Waziri Mkuu, au serikali ambayo Raisi na Amiri Jeshi wake mkuu ni Raisi Kikwete.
..Je, Raisi hana tatizo na alichokisema Lukuvi kwa niaba ya serikali yake? Je, Raisi atamchukulia hatua gani?
cc gombesugu, FaizaFoxy, THE BIG SHOW, Nguruvi3