Lulu akubali kukaa jela, awaambia ndugu zake wasikate rufaa kilichotokea ni mipango ya Mungu

Daaaaa umenikumbushaa MANYARAA RANCH mkuu
 
DAB alimwambia "dady is coming" sina shaka after a week akawa sehemu fulani ughaibuni akila bata....sisi na mama kanumba tukidhani mahakama ipo juu ya kila kitu kumbe kuna walio juu ya mahakama...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]fact mzee bashite always anapredict na kinatokea kwel rem alisema roma atapatikana kabla ya jumapili pia akapatikana[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kibatala aachane na hili swala la rufani,
 
Miaka miwili kula bure, hulipi kodi ya nyumba na wala huna haja ya kwenda lesi na maisha, hata mimi ningekubali tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo Mungu alipanga yeye amuue Kanumba,aende jela? Huyo Mungu au taahira.

Ndio maana wengine tunasema Mungu au anaeitwa mungu hayupo. Kama ujinga wote unaotokea duniani ni mipango yake basi huyo atakua taahira.
Na wenye mitizamo ya Mungu wa Aina hii ndo wanamuharibia kabisa. Mmhh! Ni shida, eti Bwana ametoa naye ametwaa,,, za wapi hizo.
 
Wewe ni msafi?
Kwahiyo yeye kwenda jera ni mapenzi ya shetani?
Ulitaka aseme nakubariana na mapenzi ya shetani?
Kuna kosa mtu kubadirika na kuanza kumtegemea Mungu?
Hujamuelewa, na ni kweli pia mtu kwenda jela ni mapenzi ya Shetani,, sasa Mungu gani anayemshauri mja wake kuua?
 
Kwa hiyo Mungu alipanga yeye amuue Kanumba,aende jela? Huyo Mungu au taahira.

Ndio maana wengine tunasema Mungu au anaeitwa mungu hayupo. Kama ujinga wote unaotokea duniani ni mipango yake basi huyo atakua taahira.
Aisee
 
Kuanzia Leo sifuatili mambo ya watu binafsi
 
Aise we boya umenichekesha kinoma na hii comment yako...mbaya zaidi nimecheka barabarani peke yangu kama kitahira flani hivi..!
 
Si mbaya wacha wengine tuendelee kusomeshwa namba za kichina na Baba Ubaya
 
Umenikumbusha mbali sana,yaani Mimi nakumbuka shuleni kwetu kulikuwa na shamba,kupalilia mahindi,kuvuna,kupukuchua.Kwenda town hadi ruhusa.Kufyeka majani,kusafisha vyoo.Kusoma,kukimbia mchakamchaka saa kumi na moja na dk 45 asubuhi,Ile ilikuwa kama jela.Namshukuru Mungu wanangu wapo kwenye shule ina wafanyakazi.Wao Kazi yao ni kusoma tu.
 
Wewe ni msafi?
Kwahiyo yeye kwenda jera ni mapenzi ya shetani?
Ulitaka aseme nakubariana na mapenzi ya shetani?
Kuna kosa mtu kubadirika na kuanza kumtegemea Mungu?
nakubariana=nakubaliana.. huko shuleni mnakwenda kusomea upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…