Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaa umenikumbushaa MANYARAA RANCH mkuuSisi wengine tumekaa jela miaka sita kwenye shule za boarding za serikali! Tukila ugali wa dona na maharge yasiyo na ushirikiano ila mwisho wa siku tulitoka. Tulifanya kazi ngumu ikiwa ni pamoja na kusoma vitabu vigumu vya mzungu kwa lugha isiyoeleweka eti wanaiita kiingereza. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Cha muhimu awe strong, miaka miwili sio mingi kivilie!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]fact mzee bashite always anapredict na kinatokea kwel rem alisema roma atapatikana kabla ya jumapili pia akapatikana[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]DAB alimwambia "dady is coming" sina shaka after a week akawa sehemu fulani ughaibuni akila bata....sisi na mama kanumba tukidhani mahakama ipo juu ya kila kitu kumbe kuna walio juu ya mahakama...
Kibatala aachane na hili swala la rufani,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka miwili kula bure, hulipi kodi ya nyumba na wala huna haja ya kwenda lesi na maisha, hata mimi ningekubali tu.
Na wenye mitizamo ya Mungu wa Aina hii ndo wanamuharibia kabisa. Mmhh! Ni shida, eti Bwana ametoa naye ametwaa,,, za wapi hizo.Kwa hiyo Mungu alipanga yeye amuue Kanumba,aende jela? Huyo Mungu au taahira.
Ndio maana wengine tunasema Mungu au anaeitwa mungu hayupo. Kama ujinga wote unaotokea duniani ni mipango yake basi huyo atakua taahira.
Hujamuelewa, na ni kweli pia mtu kwenda jela ni mapenzi ya Shetani,, sasa Mungu gani anayemshauri mja wake kuua?Wewe ni msafi?
Kwahiyo yeye kwenda jera ni mapenzi ya shetani?
Ulitaka aseme nakubariana na mapenzi ya shetani?
Kuna kosa mtu kubadirika na kuanza kumtegemea Mungu?
AiseeKwa hiyo Mungu alipanga yeye amuue Kanumba,aende jela? Huyo Mungu au taahira.
Ndio maana wengine tunasema Mungu au anaeitwa mungu hayupo. Kama ujinga wote unaotokea duniani ni mipango yake basi huyo atakua taahira.
Kuanzia Leo sifuatili mambo ya watu binafsiSometimes its better kukaa jela kwa maana akiwa kule anakuwa huru na upweke wake kulikoni huku uraiani ambapo kila mtu anamtazama kwa jicho la mkosaji na haachi kumnyooshea kidole kwa kumlaumu.
Ndivyo wanadamu tulivyo, tunaacha kutoa attention yetu kwenye mambo ya msingi kama ongezeko la joto lisilo la kawaida, ukosefu wa ajira, mfumo mbovu wa siasa ambao hautusaidii kuendelea kama taifa, kumomonyoka kwa maadili katika jamii, mkaranganyiko katika gender roles, na vinginevyo, yet tupo tayari kutoa a 100% attention kwenye personal lives za watu na kuwafuatilia as if that will have a positive impact katika maisha yetu.
We need to leave her alone, and start living like the true civilians!
Angeweza kutoka piaKama ni kweli basi atakuwa ametumia busara kwani angekata rufaa angeweza kufungwa miaka mingi zaidi.
Jela unaweza kupakabili bila kuumia sana kisaikolojiaLulu ni komando
Kwa kuwa the big daddy is coming??Kibatala aachane na hili swala la rufani,
Aise we boya umenichekesha kinoma na hii comment yako...mbaya zaidi nimecheka barabarani peke yangu kama kitahira flani hivi..!Sisi wengine tumekaa jela miaka sita kwenye shule za boarding za serikali! Tukila ugali wa dona na maharge yasiyo na ushirikiano ila mwisho wa siku tulitoka. Tulifanya kazi ngumu ikiwa ni pamoja na kusoma vitabu vigumu vya mzungu kwa lugha isiyoeleweka eti wanaiita kiingereza. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Cha muhimu awe strong, miaka miwili sio mingi kivilie!
Umenikumbusha mbali sana,yaani Mimi nakumbuka shuleni kwetu kulikuwa na shamba,kupalilia mahindi,kuvuna,kupukuchua.Kwenda town hadi ruhusa.Kufyeka majani,kusafisha vyoo.Kusoma,kukimbia mchakamchaka saa kumi na moja na dk 45 asubuhi,Ile ilikuwa kama jela.Namshukuru Mungu wanangu wapo kwenye shule ina wafanyakazi.Wao Kazi yao ni kusoma tu.Sisi wengine tumekaa jela miaka sita kwenye shule za boarding za serikali! Tukila ugali wa dona na maharge yasiyo na ushirikiano ila mwisho wa siku tulitoka. Tulifanya kazi ngumu ikiwa ni pamoja na kusoma vitabu vigumu vya mzungu kwa lugha isiyoeleweka eti wanaiita kiingereza. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Cha muhimu awe strong, miaka miwili sio mingi kivilie!
nakubariana=nakubaliana.. huko shuleni mnakwenda kusomea upupuWewe ni msafi?
Kwahiyo yeye kwenda jera ni mapenzi ya shetani?
Ulitaka aseme nakubariana na mapenzi ya shetani?
Kuna kosa mtu kubadirika na kuanza kumtegemea Mungu?