Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Hatujui nani ila kuna mshikaji namjua alikua anaishi mtwara one week before tragedy lulu akijua mtwara kuliwa alifikia naf blue view hotel
Duh hebu nipe ubuyu huyo unayemjua basi aliyekuwa anafaidi mzigo huu[emoji38][emoji38]
 
Wangapi wanaua hawapewi dhamana?
THAT I CAN UNDERSTAND MY POINT IS IMEKUWAJE SASA ANARUDI MAHAKAMANI NA NI KAMA VILE KESI ILIISHA ? UKIWA NJE KWA DHAMANA SI INABIDI UWE UNAENDA KUSIKILIZA KESI? KILA INAPOPANGWA IT SEEMS LIKE LULU HAKUWA HATA AKIENDA MAHAKAMANI
 
OK SO UKIWA UKIWA NJE KWA DHAMANA HUWA KESI INASIMAMA NA HUHUDHURII MAHAKAMANI?
Kama kuna kesi ndani ya kesi kama suala la utata wa umri lazima kesi ya msingi isimame,kama ushahidi haujakamilika dpp lazima aukamilishe kwanza.Pia dhamana ina masharti yake na sijawahi sikia Lulu kayakiuka.huenda alikuwa anaripoti mahakamani sisi hatujui.Pamoja na hayo yote ,DPP na jaji muhusika ndo wanajua kwanini hal iko kama ilivyo.Mtuhumiwa haendeshi kesi,yeye anafuata yale anayoelekezwa kufuata basi.
 
IMG-20150604-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom