Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

THAT I CAN UNDERSTAND MY POINT IS IMEKUWAJE SASA ANARUDI MAHAKAMANI NA NI KAMA VILE KESI ILIISHA ? UKIWA NJE KWA DHAMANA SI INABIDI UWE UNAENDA KUSIKILIZA KESI? KILA INAPOPANGWA IT SEEMS LIKE LULU HAKUWA HATA AKIENDA MAHAKAMANI
Who knows kua hakua akienda mahakamani?!
Labda kuna masharti aliwekewa aliyatimiza!
 
Siku zote kwenye hukumu kuna mambo mawili
1)ufungwa au
2)uachiliwe huru
Cha msingi amwombe sana Mungu wake
 
Wanawake wa sikuhizi mnazaa "underage". Huyo mama yake Lulu anaonekana kama pacha wake, yaani makamo sawa, hii imekaaje!
Halafu hii kesi nilijua ilisha malizika kitambo. Hata mamaake marehemu kunakipindi alitamka wazi kwamba kasamehe!
Sasa huyu shetani wa mikesi kaibuka toka wapi tena na ni nani mlalamikaji wa msingi pale?
 
Back
Top Bottom