agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
pole bunt.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee anaeshitaki si afadhali kuacha arudi msituni akafuge nyukiKesi hii ina mambo mengi ndani yake,ina vikesi kadhaa ndani yake.Katika jinai hasa domicile lazima mshtak alete ushahid usioacha shaka ili mahakama ifanye kazi yake.Usishangae hukumu ikatoka baada ya miaka si chini ya mitatu kuanzia leo.
Kuua bila kukusudia adhabu ya juu ni kifungo cha maisha.Anaweza akaokolea na utetezi wa umri kama ikithbitika alikuwa bado minor,vinginevyo aprove self defense ama vinginevyo.Lakin vyovyote iwavyo sioni Lulu akiwa aquitted,atafungwa walau miaka mitano.Kumbuka kesi ya Pistorius,ilikuwa mistake of fact lakini yuko ndani had leo.Lakini mazingira ya case hii unayaonaje?
Kama atafungwa, ni kifungo cha nje na kutumikia jamii.
Hakuwa na kusudio kabisa.
Ni sawa na mwanaume kufia kwenye kinena.
DuuhhKesi hii ina mambo mengi ndani yake,ina vikesi kadhaa ndani yake.Katika jinai hasa domicile lazima mshtak alete ushahid usioacha shaka ili mahakama ifanye kazi yake.Usishangae hukumu ikatoka baada ya miaka si chini ya mitatu kuanzia leo.
Anayeshtak kumbuka ni Jamuhuri siyo mwingine.Heee anaeshitaki si afadhali kuacha arudi msituni akafuge nyuki
We mpaka uchungu wa kufiwa unafutikaaa!
Naomba ufafanuzi. Ili nijue nisije pata nami kesi ya mauaji.wanaume muwage makini pamoja na minguvu yenu yooote mkiguswa chogoni mkiwa horn tu mmekwenda
Ingekuwa mbaya mnoo,jiulize kama angekuwa huyu ndo alikufa marehemu wa sasa angekuwa na mashtaka mangapi na upi ungekuwa mtazamo wa jamii dhidi yake?Kesi bado iko hai wakati marehemu keshaoza na kuoza.... Heri yeye aliyekufa ameepuka matatizo mengi sana... Imagine ndio ingekuwa vice versa sasa
nimejikuta najiuliza!Hivi ni kweli lulu alikuwa kwenye mahusiano na marehemu kanumba? Mbn kwenye ushahidi hapo naona eti chanzo cha ugomvi ni lulu kuongea na boyfriend wake mbele ya kanumba??
Umeambiwa Shebby.Mtaje bac[emoji144][emoji144]
Wa kulaumiwa hapa ni wengi ,wengi sana,baba yake,wababa watu wazima waliomuingiza mtoto katika dunia ovu,wakamkatili utoto wake.Kuna wale walioweka mbele ya luninga wakamfanua kuwa maarufu hadi kujiona yuko juu ya wengine hata waliomzidi umri.Na wale waliomshabikia,mamlaka zilizozembea hadi mtoto akaacha shule? Hapa namkumbuka King crazy Gk na sauti ya Manka.je,yawezekana hii ndiyo sauti ya Manka aliyoiimba msanii huyu?Malezi ndo yalichangia sana lulu kua vile mama ake ndo wa kulaumiwa 100% aliacha shule form two ili alishe familia mpk kesho mama lulu hana alifanyalo zaidi ya kumtegemea bintiye kuna muda namuonea huruma sana huyu binti kwa kweli
Mimi mambo ya kusema wamuombe Mungu huwa vinanichanganyaSiku zote kwenye hukumu kuna mambo mawili
1)ufungwa au
2)uachiliwe huru
Cha msingi amwombe sana Mungu wake
Kwasababu kuna walioanza kutembea nae akiwa na miaka 13.Kwanini Kanumba alitaka kutembea na binti ambaye alkua chini ya miaka 18?
Unyenyekevu na upole ndiyo sifa ya mwanamke wife material,ukiona mmeanza kutunishiana misuli kumbuka kuna njia nyingine ya maisha.Hata hivyo,wanaume pia tujue maisha ya kuburuzana huu siyo wakati wake,kama mtu anaongea na boyfriend wake mbele yako na ukadhihirisha mwache afanye apendavyo.Kinyume na hapo,Hayeshi majuto yatokanayo na ubabe huo.Naomba ufafanuzi. Ili nijue nisije pata nami kesi ya mauaji.
Umeongea kwa satire ila kuna facts kuntu,mtoto alidhulumiwa sana huyu.Twaweza muhukumu leo hapa kwa dunia lakini huko kwa Mungu majuto yatakuwa mengi,jamii ilimdhulumu,marehemu alimdhulum,wazazi walimdhulum,mfumo ulimdhulum nk.Yatosha kuombana radhi na kuachana na mkondo wa sheria.nimejikuta najiuliza!
na huyo boyfriend ni nani?
NAAMBIWA NI ALLY KIBA!
msianze mambo yenu ya teams!
kulikuwa hakuna teams Enzi hiyo!
SO WAT IF LULU ALIKUWA ANAJILINDA NA KANUMBA ALIKUWA ANALAZIMISHA PENZI?
maana kama alikuwa mpenzi wake ,nini tafsiri ya "KWANINI UNAONGEA NA BOYFRIEND WAKO MBELE YANGU"
but najiuliza tena?
KWANINI KANUMBA AHOJI HILO?
means ALIKUWA NA SHARE ZAKE HAPO!
buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuut ILIKUWA NI MAKUBALIANO YA IT NEEDS TO REMAIN A BEHIND THE CLOSET THING BUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUT hakuna kuonyeshana maboyfriend wala magirlfriend!
MAANA KUMBUKUMBU ZANGU STEVE HAKUWAHI KUTAMBULISHA MWANAMKE IN PUBLIC !
mpk paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap LULU KAMUUA NA KUMBE ALIKUWA MPENZI WAKE!
aaaaaaaaaaaaaaargh!
THE VICTIM HAPA NI LULU ZAIDI KULIKO KANUMBA !hata kama yeye ndiye amefariki!
HAKA KATOTO KALIKUWA MOLESTED NA WATU AMBAO MAMA YAKE KWA MAKUSUDI AU BAHATI MBAYA ALIWAKABIDHI !
NATAMANI MAMA MTU NDIYE AWE MTUHUMIWA!
Kesi za mauaji huwa zinachukua muda kusikilizwa kutokana na upungufu wa majaji ambao huwa wanasikiliza kesi hizo...Waliopo magerezani tu wanakaa hadi miaka mitatu bila kesi zao kusikilizwa, hawa wenye dhamana ndo huchukua muda mrefu zaidi hata miaka 10 ndo kesi ikaanza, na hata hii ikija kuhairishwa baada ya kusikilizwa inawezachukua miaka saba tena ndo ikatolewa hukumuOK SO UKIWA UKIWA NJE KWA DHAMANA HUWA KESI INASIMAMA NA HUHUDHURII MAHAKAMANI?
Daah!so sad ila mama hawezi kutoka kwenye hili kwa kweli!hao wengine wataingia padogo sana ila mama kama mama kwa nini alishindwa Kumlinda mwanawe?!Wa kulaumiwa hapa ni wengi ,wengi sana,baba yake,wababa watu wazima waliomuingiza mtoto katika dunia ovu,wakamkatili utoto wake.Kuna wale walioweka mbele ya luninga wakamfanua kuwa maarufu hadi kujiona yuko juu ya wengine hata waliomzidi umri.Na wale waliomshabikia,mamlaka zilizozembea hadi mtoto akaacha shule? Hapa namkumbuka King crazy Gk na sauti ya Manka.je,yawezekana hii ndiyo sauti ya Manka aliyoiimba msanii huyu?