Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

That is not a murder case. It's man slaughter. The bail is obvious.
Hafungwi.She was under 18 yrs during the incidence.
They were in love relations, The deceased himself call her at nite. No any weapon used.
Kwahiyo marehemu Kanumba alikuwa anatembea na binti wa umri wa chini ya 18?,marehemu alikuwa na kesi ya kujibu
 
Vipi muhanga mama Kanumba aliyepoteza mwanae kipenzi na aliyekuwa akimtegemea? Naona pole zenu kwa Lulu tu
Huyo mama kama alikuwa na mapenzi na mwanaye angemkataza asijiunge na freemason kama inavyosemekana.. Yeye alikuwa anachekelea umaarufu wa mwanaye bila hata kuhoji unatokea wapi.. Sasa ndio anaisoma namba.
 
alishatangaza kafikisha miaka 18 kabla ya kifo cha kanumba na birthday party alifanya....ila baada ya lile tukio umri wake ulirudi nyuma ghafla
Sio kwamba baada ya tukio umri ulienda mbele ghafla?
 
nimejikuta najiuliza!
na huyo boyfriend ni nani?
NAAMBIWA NI ALLY KIBA!
msianze mambo yenu ya teams!
kulikuwa hakuna teams Enzi hiyo!
SO WAT IF LULU ALIKUWA ANAJILINDA NA KANUMBA ALIKUWA ANALAZIMISHA PENZI?
maana kama alikuwa mpenzi wake ,nini tafsiri ya "KWANINI UNAONGEA NA BOYFRIEND WAKO MBELE YANGU"
but najiuliza tena?
KWANINI KANUMBA AHOJI HILO?
means ALIKUWA NA SHARE ZAKE HAPO!
buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuut ILIKUWA NI MAKUBALIANO YA IT NEEDS TO REMAIN A BEHIND THE CLOSET THING BUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUT hakuna kuonyeshana maboyfriend wala magirlfriend!
MAANA KUMBUKUMBU ZANGU STEVE HAKUWAHI KUTAMBULISHA MWANAMKE IN PUBLIC !
mpk paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap LULU KAMUUA NA KUMBE ALIKUWA MPENZI WAKE!

aaaaaaaaaaaaaaargh!
THE VICTIM HAPA NI LULU ZAIDI KULIKO KANUMBA !hata kama yeye ndiye amefariki!
HAKA KATOTO KALIKUWA MOLESTED NA WATU AMBAO MAMA YAKE KWA MAKUSUDI AU BAHATI MBAYA ALIWAKABIDHI !

NATAMANI MAMA MTU NDIYE AWE MTUHUMIWA!
Mimi kwanza kabisa kitu nilichoshangaa ni kwamba lulu kipindi hicho alikuwa ni U18 halafu alikua bado mdogo sana kuvaa MINJEMBA mikubwa (ingawa simaanishi kanumba alikuwa NJEMBA) lakini fact ni kuamba alikuwa amemzidi mbali sana.

Hivi mnamkumbuka lulu wa BARAGUMU? hebu vuta picha kuanzia hapo. Huyu binti alikua mdogo sana kipindi hicho na sio mda sana akaja kuingia kwenye hili sekeseke.

Lakini inaonesha kumbe alikuwa tayari SUGU wa mambo hahaa, alikua tayari na washkaji kibao anagawa tu mzigo bila wasi wasi,,,,,, dah ama kweli heshima kwa huyu mtoto wa kike ni noumaaaa kweli

I guess huyu, tofauti kabisa na wadada wengine ambao huanza kujua hii mambo kwa watu wa rika zao, huyu yeye moja kwa moja alitolewa b*kra na NJEMBA aisee ni hatariiii, Maana kama nakumbuka enzi hizo kulikua na Skendo za hapa na pale washkaji wanaomfukuzia hadi shuleni anawaumbua hadi Maza yake analazimika kumuhamisha shule na ukizingatia Media zilikua karibu nae sana kwa hiyo kila anayemfata anajulikana mapema.

Kutokana na Nature ya huyu dogo I guess hawezi kuja kutulia kabisa bila kusumbua Akili ya Mwanaume aliyeweka ndani!
 
Hii sentensi ya mwisho Dada nimekuelewa mnoo natamani huyu mama awe mtuhumiwa hata Mimi!
kabisa!
HUYU MAMA NDIYE ANASTAHILI YOTE YALIYOMKUTA HUYU MTOTO!
mtoto wa miaka nane ,unamuacha na WANAUME BAKI(hao ndugu tu mtihani)
UNAMUACHA NA WANAUME BAKI!WANAKAA KAMBINI SIJUI KAMBINI ATI WANAIGIZA IGIZO!
LEO MIMI SIMUONI LULU KUWA NI TATIZO!
HUYU MTOTO ALIONEWA NA JAMII ILIYOMZUNGUKA!
HUKU CHENI HUKU RAY HUKU KANUMBA HUKU CHEKIBUDI HUKU MAMA ANAJIVUNIA AMEZAA MTOTO MZURI HAWEZI KUISHI KWA SHIDA !
walioishi tabata na huyu mama wataelewa ninachozungumza!
TO ME LULU NI VICTIM!

kanumba na wengine WALIMUUA HUYU MTOTO AKIWA HAI!
UNAPOINFLUENCE MTOTO ASISOME
UNAPOINFLUENCE MTOTO AONE MWILI WAKE NDIO MGODI WAKE
UNAPONFULENCE MTOTO ASIJALI UTU WA MWILI WALA NAFSI YAKE
COME TO THINKC OF WANAUME AMBAO LULU AMEWAHI KUWA NA MAHUSIANO NAO?
mimi na uzee wangu sipandi kwa mtu kama marehemu wa TOT!
HUYU ALIULIWA AKIWA HAI!
UNAPOUA NAFSI NA UTASHI WA MTU HUMBAIKIZI SALAMA!
SIONI AJABU YOYOTE YA HAYA YANAYOMKUTA!
NAUMIA KAMA MZAZI WA KIKE
NAUMIA KAMA MAMA WA MABINTI
NAUMIA KAMA MWALIMU
 
Daaahhh!maneno mazitoo mnoo!
Wazazi sisi kuna muda hatujitambui!!

Huyu mama alimtoa sadaka Lulu kwa kweli
 
Umeongea kwa satire ila kuna facts kuntu,mtoto alidhulumiwa sana huyu.Twaweza muhukumu leo hapa kwa dunia lakini huko kwa Mungu majuto yatakuwa mengi,jamii ilimdhulumu,marehemu alimdhulum,wazazi walimdhulum,mfumo ulimdhulum nk.Yatosha kuombana radhi na kuachana na mkondo wa sheria.
YATOSHA KABISA!
YANI YATOSHA MNOOOO!
MAGAZETI HAYAMKUTENDEA HAKI !
TULITARAJIA NINI KWA PRESSURE YA AINA ILE!?
SIFURAHIII KANUMBA KUFA,
BUT HE DUG HIS OWN GRAVE SO FAR!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] tena mpk kwenye magazeti alijinadi kumbe una kumbuka eeeh!
nakumbuka vizuri tu .....nadhan walishauriwa ili kujinasua ktk sekeseke hilo ni kupunguza umri tu, wacha waende rita faster kuchukua cheti kipya.
 
Lulu Mungu ampiganiee..!! Bhasi tu si vyema Kumuongelea vibaya Marehemu ilaa kama Kanumba kweli alikuwa anamlaa huyo mtoto hakika alikuwa mbakajii... na hapoo me sioni kesii maana tit for tat.. Na mama yake kama alijua lulu analiwaa hakika ni dhambi iliyopo juu yakee haiwezi kumuacha salamaa...

Pole sana Lulu...!!
 
Mkuu Lulu alikua anapigwa hadi picha amezima Club kabla ya hilo tukio so hata Kanumba sidhan kama alikua mwanaume wake wa kwanza though kisheria haiwez kuwa utetezi
 
Lulu Mungu ampiganiee..!! Bhasi tu si vyema Kumuongelea vibaya Marehemu ilaa kama Kanumba kweli alikuwa anamlaa huyo mtoto hakika alikuwa mbakajii... na hapoo me sioni kesii maana tit for tat.. Na mama yake kama alijua lulu analiwaa hakika ni dhambi iliyopo juu yakee haiwezi kumuacha salamaa...

Pole sana Lulu...!!

Alikula Komba na waziri gani sijui wa nishati sembuse Kanumba, Kanumba nae alikuwa anapita kama walivyopita wengine tena lulu akiwa na umri mdogo kabisa ni hiyo bahati mbaya tu iliyotokea ya Kanumba kufariki
 
Kwanini Kanumba alitaka kutembea na binti ambaye alkua chini ya miaka 18?
hiyo sio issue mbele ya mahakama kwa sasa! issue iliyopo mahakamani ni je,lulu ndie aliyesababisha kifo cha kanumba? je,ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka unatosha kumuunganisha lulu na kosa hilo?
 
Back
Top Bottom