Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Kuua bila kukusudia adhabu ya juu ni kifungo cha maisha.Anaweza akaokolea na utetezi wa umri kama ikithbitika alikuwa bado minor,vinginevyo aprove self defense ama vinginevyo.Lakin vyovyote iwavyo sioni Lulu akiwa aquitted,atafungwa walau miaka mitano.Kumbuka kesi ya Pistorius,ilikuwa mistake of fact lakini yuko ndani had leo.
Hii bongo kakaa hafungwi mtu
 
Yani mtoto mdogo ila ana mambo makubwa sana sasa kwa umri ule mabwana wawili kweli?ndo mana akampa.pressuee kaka wa watu
Hao ni mabwana wawili ambao wamefahamika,bado ambao jamii haiwajui,huyo dogo anawakilisha madada ambao hawaridhiki na mwanaume mmoja,hawajiheshimu na wanatia aibu familia zao na watu wanaojiheshimu.

Kwa hali ilivyo huyo dogo kwenye mambo ya multiple relations atakua kakubuhu na yawezekana kwakua na idadi kubwa ya wanaume hivyo,anakutana na wanaume wengine ambao siyo wastaarabu wanamla tigo na anaweka siri kama ambavyo alikua anamficha Kanumba kua hana mwanaume mmoja.
 
Kesi za mauaji huwa zinachukua muda kusikilizwa kutokana na upungufu wa majaji ambao huwa wanasikiliza kesi hizo...Waliopo magerezani tu wanakaa hadi miaka mitatu bila kesi zao kusikilizwa, hawa wenye dhamana ndo huchukua muda mrefu zaidi hata miaka 10 ndo kesi ikaanza, na hata hii ikija kuhairishwa baada ya kusikilizwa inawezachukua miaka saba tena ndo ikatolewa hukumu
Tatizo lingine ni ugumu wa ushahidi usiotia shaka,mfumo wetu wa Kiingereza nao uko taratibu sana.Kuthibitisha bila kuacha shaka si kazi ndogo.
 
Kuua bila kukusudia adhabu ya juu ni kifungo cha maisha.Anaweza akaokolea na utetezi wa umri kama ikithbitika alikuwa bado minor,vinginevyo aprove self defense ama vinginevyo.Lakin vyovyote iwavyo sioni Lulu akiwa aquitted,atafungwa walau miaka mitano.Kumbuka kesi ya Pistorius,ilikuwa mistake of fact lakini yuko ndani had leo.
Adhabu ya chini je?
 
nimejikuta najiuliza!
na huyo boyfriend ni nani?
NAAMBIWA NI ALLY KIBA!
msianze mambo yenu ya teams!
kulikuwa hakuna teams Enzi hiyo!
SO WAT IF LULU ALIKUWA ANAJILINDA NA KANUMBA ALIKUWA ANALAZIMISHA PENZI?
maana kama alikuwa mpenzi wake ,nini tafsiri ya "KWANINI UNAONGEA NA BOYFRIEND WAKO MBELE YANGU"
but najiuliza tena?
KWANINI KANUMBA AHOJI HILO?
means ALIKUWA NA SHARE ZAKE HAPO!
buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuut ILIKUWA NI MAKUBALIANO YA IT NEEDS TO REMAIN A BEHIND THE CLOSET THING BUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUT hakuna kuonyeshana maboyfriend wala magirlfriend!
MAANA KUMBUKUMBU ZANGU STEVE HAKUWAHI KUTAMBULISHA MWANAMKE IN PUBLIC !
mpk paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap LULU KAMUUA NA KUMBE ALIKUWA MPENZI WAKE!

aaaaaaaaaaaaaaargh!
THE VICTIM HAPA NI LULU ZAIDI KULIKO KANUMBA !hata kama yeye ndiye amefariki!
HAKA KATOTO KALIKUWA MOLESTED NA WATU AMBAO MAMA YAKE KWA MAKUSUDI AU BAHATI MBAYA ALIWAKABIDHI !

NATAMANI MAMA MTU NDIYE AWE MTUHUMIWA!
Hii sentensi ya mwisho Dada nimekuelewa mnoo natamani huyu mama awe mtuhumiwa hata Mimi!
 
That is not a murder case. It's man slaughter. The bail is obvious.
Hafungwi.She was under 18 yrs during the incidence.
They were in love relations, The deceased himself call her at nite. No any weapon used.
Obvious she will be released although they will find her guility...
 
Kesi bado iko hai wakati marehemu keshaoza na kuoza.... Heri yeye aliyekufa ameepuka matatizo mengi sana... Imagine ndio ingekuwa vice versa sasa
Kaka mkubwa upo?
Mshahara wa dhambi ni mauti.vNa afanyaye uzinifu adhabu yake ni kupondwa mawe hadi afe. Maandiko.
 
Vipi muhanga mama Kanumba aliyepoteza mwanae kipenzi na aliyekuwa akimtegemea? Naona pole zenu kwa Lulu tu
Mimi nilishasema Kanumba rip,alikuwa paedophile,kifo chake ni sababu ya upumbavu wake.Simuhukumu lakini hiki ndiyo nilichokiona kwenye saga hili.Unamfundisha kazi mtoto mdogo huku ukimlala hii si haki.Yeye angefanyiwa hivyo na walimu wake au akina mzee Kipara na wengineo angefika hapo alipofika.He was misanthropist.
 
Itategemea na hoja za upande wa utetezi pia..hasa hyo ya umri mdogo na muda ambao alikaa rumande utatosha kuwa kama sehemubya adhabu
Adhabu itapunguzwa kutokana na mazingira hayo na mengine na uzoefu,mtazamo wa majaji na umri wa mtuhumiwa.Pia kwa kesi hizibanapewa wakili kwa gharama za serikali hivyo atasota lakini mwisho wa siku atarudi mtaani lakini hatakuwa kama alivyoleo.Mambo yatakuwa yamebadirika sana.
 
Back
Top Bottom