Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Hivi ni kweli lulu alikuwa kwenye mahusiano na marehemu kanumba? Mbn kwenye ushahidi hapo naona eti chanzo cha ugomvi ni lulu kuongea na boyfriend wake mbele ya kanumba??

Inashangaza
 
That is not a murder case. It's man slaughter. The bail is obvious.
Hafungwi.She was under 18 yrs during the incidence.
They were in love relations, The deceased himself call her at nite. No any weapon used.
Sawaa
 
Kuna mtu ananidai vijisent hapa kanitishia kunipeleka mahakani nilimjibu kama binti lulu anakesi ya mauwaji sembuse mimi ya madai nikamwambia nenda sasa hivi tutapambana huko
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daah tena yuko mahakamani busy na simu
 
Kwa urembo wa sura na rangi alionao Eliza ni vigumu sana mwanaume rijali kutomtamani.hasa sexual maniacs and play boys.
Hata Dogo Aslay kamuimba kwenye wimbo wa Natamba.
Katoto kazuri. Fit for human consumption.
 
Wanawake wa sikuhizi mnazaa "underage". Huyo mama yake Lulu anaonekana kama pacha wake, yaani makamo sawa, hii imekaaje!
Halafu hii kesi nilijua ilisha malizika kitambo. Hata mamaake marehemu kunakipindi alitamka wazi kwamba kasamehe!
Sasa huyu shetani wa mikesi kaibuka toka wapi tena na ni nani mlalamikaji wa msingi pale?

Mama kanumba aweza kuwa shahidi tuu,kesi ni ya Elizabeth Michael v.Republic.Jamhuri ikiamua kesi inaisha,Dpp akitia nolle au akificha ushahidi bas mtuhumiwa nakuwa aquitted.
 
Yani mtoto mdogo ila ana mambo makubwa sana sasa kwa umri ule mabwana wawili kweli?ndo mana akampa.pressuee kaka wa watu
Malezi ndo yalichangia sana lulu kua vile mama ake ndo wa kulaumiwa 100% aliacha shule form two ili alishe familia mpk kesho mama lulu hana alifanyalo zaidi ya kumtegemea bintiye kuna muda namuonea huruma sana huyu binti kwa kweli
 
That is not a murder case. It's man slaughter. The bail is obvious.
Hafungwi.She was under 18 yrs during the incidence.
They were in love relations, The deceased himself call her at nite. No any weapon used.
Manslaughter ina adhabu yake mkuu,ukimkuta jaji kichaa anakutundika maisha as per section 198 ya penal code.
 
Kuna mtu ananidai vijisent hapa kanitishia kunipeleka mahakani nilimjibu kama binti lulu anakesi ya mauwaji sembuse mimi ya madai nikamwambia nenda sasa hivi tutapambana huko
Hayo ni mashauri ya kiraia tuu hayafungi mtu.Deni utapanga namna ya kumlipa usiogope.
 
alishatangaza kafikisha miaka 18 kabla ya kifo cha kanumba na birthday party alifanya....ila baada ya lile tukio umri wake ulirudi nyuma ghafla
[emoji2] [emoji2] [emoji2] tena mpk kwenye magazeti alijinadi kumbe una kumbuka eeeh!
 
Pumbavu kabisaaaa toka 2012 mpaka leo bado hakieleweki kitu! Angekuwa kibaka wa mtaani angeshatupwa lupango mudaaaaa
Kesi hii ina mambo mengi ndani yake,ina vikesi kadhaa ndani yake.Katika jinai hasa domicile lazima mshtak alete ushahid usioacha shaka ili mahakama ifanye kazi yake.Usishangae hukumu ikatoka baada ya miaka si chini ya mitatu kuanzia leo.
 
Manslaughter ina adhabu yake mkuu,ukimkuta jaji kichaa anakutundika maisha as per section 198 ya penal code.
Lakini mazingira ya case hii unayaonaje?
Kama atafungwa, ni kifungo cha nje na kutumikia jamii.
Hakuwa na kusudio kabisa.
Ni sawa na mwanaume kufia kwenye kinena.
 
Back
Top Bottom