Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

alishatangaza kafikisha miaka 18 kabla ya kifo cha kanumba na birthday party alifanya....ila baada ya lile tukio umri wake ulirudi nyuma ghafla
Na bado hapo hapo kaficha umri wake

She's 25 yrs old now!
 
Lakini mazingira ya case hii unayaonaje?
Kama atafungwa, ni kifungo cha nje na kutumikia jamii.
Hakuwa na kusudio kabisa.
Ni sawa na mwanaume kufia kwenye kinena.
ndo maana hilo kosa likaitwa "kuua bila kukusudia" kwa sababu hilo kusudio halikuwepo lakini ndo keshaua! umeelewa?
 
how LuLu ndo awe Victim? Kanuni ni kwamba ukiwa victim you should always be the same,but once you commit an offence you are now turning into culprit/criminal...status ya uvictim inafia hapo....pengine mwanzoni Lulu ndo angeweza kuwa victim kama unavyosema ila mara tu alipohusishwa n haya mauaji basi ameshageuka na kuwa suspect/culprit na kwa sasa ni accused,wakimkuta na hatia tutamuita convict.
 
Yupo mshikaji namfahamu kbs alimwambia mtt fly to Kia jamaa akajilia mzigo kwenye Hotel ya Snow Crest,hio kama sikosei ni mwaka 2014
 
Kama alikua na wanaume wote hao toka mdogo i hope Lulu atakua na mtoto
 
Seth Kakonda Jamani,angekuwepo star number Moja Tanzania maisha yao yasingekuwa yalivyo,Mama Kanumba afungue kesi ya kumuomba fidia Lulu,ingawa hakuna dau litakaloziba pengo la Kanumba ila walau apate hela za kumsaidia.Maana mwanae angekuwepo nina hakika hata mama Naseeb asingeona ndani kwa Mama Kanumba.
 
ila mleta uzi hajatutendea haki..ilibidi unukuu walau maswali mawili matatu ambayo upande wa utetezi uliyauliza katika kum cross examine huyo shahidi namba moja wa upande wa mashtaka...maana hiyo ni stage muhimu sana katika kuibua shaka ya maana (reasonable doubt) juu ya ushahidi uliotolewa na huyo shahidi...au defence hawakuwa na maswali?
 
Mkuu Lulu alikua anapigwa hadi picha amezima Club kabla ya hilo tukio so hata Kanumba sidhan kama alikua mwanaume wake wa kwanza though kisheria haiwez kuwa utetezi
Sana tu lulu ameanza uhuni toka yuko mdogo kanumba ni victim tu!
 
Mwingine ni nani? Ccm mbele kwa mbele au Pasua kichwa?
Pasua kichwa ndo first love wake!!and after incident mtu wa kwanza kumpigia simu ni pasua kichwa ndo akamfata fasta kumkimbiza eneo la tukio!

Yule hakua na mmoja maana ile siku j3 kipindi cha mkas kinarushwa dogo nilikua nae airport mtwara alienda kwa mshikaji mmoja kuliwa
 

Maneno yako yanauma sana. Dunia inamhukumu Lulu akiwa mtoto mdogo sana, sio haki. Hili tukio lilitokea akiwa mtoto, Mungu amsaidie. Maisha yamembebesha mzigo mzito hadi nafikir akiwaza hata yeye hutamani angekufa tu siku hiyo.
 
Ye Seth alishuudia uyo kanumba akisukumwa au alidondok tu mwenyew na stress zk za u freemason achen izo nyie polis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…