Hiyo n i level gani? ni Foundation Course, Certificate, Diploma au Bachelor mkuu?
Ni Engineering ya Professor Maji Marefu.Walianza ualimu wakaudharau,
wakaja uuguzi nao wakaleta utani hadi mtu akapasuliwa goti badala ya kichwa,
wakaja wakadhalilisha phd, wakaja wakadhalilisha heshima ya uprofesa, wameona haitoshi sasa wanamaliza na Engineering?
Au anatania tu? Kweli Engineering ya kina Dr. Kimaro, Dr. Koda, Dr. Nyaoro na wengineo ataiweza?
Hayo madude yanaitwa "Nyanga" na yanapatikana zaidi pale CoET au CoICT.Ndio manini eti?
Au ndiyo mambo ya nanihii eti?!
Hapo sawa lakini siyo zile Engineering za ukweliNi Engineering ya Professor Maji Marefu.
Atakuwa alisha-upgrade akapata creditsMatokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Nife au???Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Hahahahaha....dah sina mbavu.... iko kule Mongo la ndege....Hahahashule kama hizi ni mizigo kwa taifa. hayo madarasa ni bora wapewe wafanya biashara wa kuku wafugie kuku. yani shule ina div 4 na zero tu!!
Kumbe mrembo hivyo sasa anasoma ili iweje maana teyari kuna vigogo wamesha msomea yeye ni kula utamu wa dunia tu
Weka hayo yaliyokuwa upgraded sasa. Jf tunaenda kwa fact.Atakuwa alisha-upgrade akapata credits
Halafu hao wanaosema ms office ndo sw engineering hebu waulize kaswali kadogo tu kuhusu labda nini maana ya prototyping utacheka mpaka upaliwe.Watu wanajua kuremba bwana, sasa MS Office inaitwa Software Engineering, kama Mwajuma ukimuuliza unaitwa nani anakwambia Mwa-J.
Si mchezo aseMatokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613[/quoting]
Nahisi kama kuna kitu unataka kusema hivi... hebu funguka basi!Ndiyo maandalizi ya kuwa CEO wa FM Radio?
Lulu kajifanyisha tu hapo...Matokeo yake ya form four haya hapa.
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2011/csee2011/s3548.htm
View attachment 358613
Kwahiyo akiamua kufanya kweli ni genius flani hivi.Lulu kajifanyisha tu hapo...
Kabisa! Hivi umeshapata kujiuliza alitumia Law ipi ya Issac Newton hadi kulipeleka chini jibaba kama Marehemu Kanumba?!Kwahiyo akiamua kufanya kweli ni genius flani hivi.