Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Huku msibaninkuna mipapa tu.Unaweza ukaja msibani masikini ukaondoka tajiri.
hhahahaaaahaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku msibaninkuna mipapa tu.Unaweza ukaja msibani masikini ukaondoka tajiri.
Ndo nani? Naye alikua ana vitega uchumi vingi.Sasa utueleze vizuri nawewe.
Umalaya wa siri ndio haujulikani? Acha kujidanganya
Jamaa alikua anaishi mbezi beach istoshe kaacha nyumba z kutosha n account z maana kwa familia yake.mkewe n msomi anafanya wizara ya habari nae alikua geologist mkuu w tanzaniteone .hiyo picha ya ajali umetumiwa ni ajali ya nini gari au
shikamoo binamuIvi kafa na nini? Duh maana haieleweki,
Ahahaha ahsante, yani leo usingiz sina mwenzangu mpaka kieleweke, masikini lulu khaa simpatii picha anavyojiharishia uko alipo
Mke wake alikuwa anajua mume wake malaya lakini aliamua kuvumilia. Mungu ampe uvumilivu manake wengi tuliokuwa tunamfahamu tulikuwa tunajiuliza anaishije naye? Licha ya kuwa malaya pia alikuwa anamdharau sana tu.lakini ndiyo hivyo bidada aliamua kuvumilia.
Le mutuz kafukua picha mahali halafu anajifanya rafiki yake huyu mzee ni shida angekua maskini angesema hamjui
ile NYUMBA lulu kanunuliwa?
mkewe atakua jirani yangu dom mana nyuma ya st.gasper tuna kakibanda chetu pale
Nishikie nafasi
Le mutuz kafukua picha mahali halafu anajifanya rafiki yake huyu mzee ni shida angekua maskini angesema hamjui
Lulu nasikia anapumulia mashine
Ya gari yap, mtu kaminywa vibaya kichwa kimepasuka vbaya, picha inatisha sana, wanadai ni yeye
Ila lulu alimtumia vzur marehemu alikuwa anasoma pale magogon mwaka huu ndo anaingia diploma kama alifaulu, dah inauma sana kuondokewa na mtu muhimu, ni zaidi ya mlezi maskini
Johnson Lukaza wa sakata la EPA google jina lake ana kampuni zaidi ya kumi hapa jijini ile chaser nyeupe ya.lulu yeye ndio alimuhonga
Haaaaaaaaaa..le baharia anasema leo alikuwa anaongea nae asubuhi.. teheeee
Ndo ukuje sasa, yani uvae vizuri upendeze.
pesa mamaaa ..
pesa...!!!
anajua akiondoka ndo bas jeuri zote mjini kwishaaa...!!