Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Ndo nani? Naye alikua ana vitega uchumi vingi.Sasa utueleze vizuri nawewe.

Johnson Lukaza wa sakata la EPA google jina lake ana kampuni zaidi ya kumi hapa jijini ile chaser nyeupe ya.lulu yeye ndio alimuhonga
 
Umalaya wa siri ndio haujulikani? Acha kujidanganya

Mke wake alikuwa anajua mume wake malaya lakini aliamua kuvumilia. Mungu ampe uvumilivu manake wengi tuliokuwa tunamfahamu tulikuwa tunajiuliza anaishije naye? Licha ya kuwa malaya pia alikuwa anamdharau sana tu.lakini ndiyo hivyo bidada aliamua kuvumilia.
 
Jamaa alikua anaishi mbezi beach istoshe kaacha nyumba z kutosha n account z maana kwa familia yake.mkewe n msomi anafanya wizara ya habari nae alikua geologist mkuu w tanzaniteone .hiyo picha ya ajali umetumiwa ni ajali ya nini gari au

ile NYUMBA lulu kanunuliwa?
mkewe atakua jirani yangu dom mana nyuma ya st.gasper tuna kakibanda chetu pale
 
Mke wake alikuwa anajua mume wake malaya lakini aliamua kuvumilia. Mungu ampe uvumilivu manake wengi tuliokuwa tunamfahamu tulikuwa tunajiuliza anaishije naye? Licha ya kuwa malaya pia alikuwa anamdharau sana tu.lakini ndiyo hivyo bidada aliamua kuvumilia.

pesa mamaaa ..
pesa...!!!
anajua akiondoka ndo bas jeuri zote mjini kwishaaa...!!
 
mabongomovie waache kurogaroga ona sasa wanasababishia watu ujane,na watoto kubaki wapweke!amrudie Mungu!
 
Ya gari yap, mtu kaminywa vibaya kichwa kimepasuka vbaya, picha inatisha sana, wanadai ni yeye

Ila lulu alimtumia vzur marehemu alikuwa anasoma pale magogon mwaka huu ndo anaingia diploma kama alifaulu, dah inauma sana kuondokewa na mtu muhimu, ni zaidi ya mlezi maskini

Siyo hiyo hizo picha z ajali y jana zilikua hapa jf yeye kapata ajali ndani kwake leo mchana.lulu nipe mie nimlele kufa kupo tu binamu
 
Johnson Lukaza wa sakata la EPA google jina lake ana kampuni zaidi ya kumi hapa jijini ile chaser nyeupe ya.lulu yeye ndio alimuhonga

Huyu Lulu naye kila billionea wake yeye! warumi unaona sasa haka kabinti kaligojimilikisha mipapa yote??
Alikua anakifua kulalwa na mibaba mingi kwa mkupuo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom