sisimizi babalao
Member
- Nov 19, 2012
- 14
- 3
The killer is back,haya hayaaaa.... Na anavyo penda vitambi huyuu JB kaa chonjo na VAMPARE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa na hamu mpaka inamzidia hamu,embu mtafte fasta kabla hajaanza mambo yetu yalee.
Jamani nina kaswali kamoja tu, mlijuaje ameua bila kukusudia ili hali walikuwa peke yao chumbani?
nani atuhakikishie kuwa aliua bila kukusudia? Je angekuwa kabwela wa huko vijijini sitimbi hii kesi ingesomeka hivo?
Haiwezi kuwa mali ya mahakama ashinde asishinde anarudishiwa.Hiyo inakuwa mahakamani kama endapo akitoroka ndiyo inakuwa sehemu ya malipo ya mlalamikaji/mahakama.
The killer is back,haya hayaaaa.... Na anavyo penda vitambi huyuu JB kaa chonjo na VAMPARE.
uyo jamaa kwenye picha anavyo muangalia utadhani anmuliza anatumia kinywaji gani.
Akina Ruge na Shigongo washapata dili.
Watatulipisha viingilio kwenda kumuona Dar live na ziara za mikoani.
Haruhusiwi kusafiri kwenda kokote, hata mkuranga tu haruhusiwi, yeye ni wa dar tu hadi kesi itakapoisha