Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Eti chakula ya mutoto.....na isije tu ikatokea akasinzia wakati ananyonyesha.......likamlalia huyo mtoto kwishney..........

Umeona eeeeeh... yaani kwishiney
 
Wanaposema bongo muvi zinalipa huwa unaelewaje kwani ?.........na hakuna cha maana wanachofanya kwenye hizo muvi zaidi ya kuvaa, kuendesha magari na make up.....

mie nikajua ukiigiza tu unatoka....watu wanaendesha ndinga za maana
 
mie nikajua ukiigiza tu unatoka....watu wanaendesha ndinga za maana

Yaani mabinti wengi mikoani wanaitamani tasnia ya filamu kwa kuwaangalia wenzao akina Aunty, Wema, Lulu, Odama, Kajala na wengineo....kumbe ukweli ni kuwa filamu inatumiwa kama platform tu ya kuwaweka sokoni wageuzwe "sex slaves" na wenye nazo....

Na ukweli ni kuwa tasnia hii ya filamu ilipaswa kuwa kioo cha jamii na kuheshimiwa sana, na sio haya madudu yanayofanyika.
 
Haka kabinti kuna mshkaji anakamega huku atown mara nyingi wkend kako huku
 
Haka kabinti kuna mshkaji anakamega huku atown mara nyingi wkend kako huku

Ni kweli uyo jamaa maarufu kwa jina la seki yuko arusha ndio anamtafuna.

Na miss Tanzania 2012 analalamika lulu kampora uyo mwanaume wake wa arusha.

Yani ukiwa na pesa kidogo awa bongo movies watakugombania sana.
 
Jamaa yuko sawa financial yani yuko sawa kuhonga magari wadada kwake kawaida sana, hapa twn wko kibao ambao wamepata ist, rav4 na volkswagen toureg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…