FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Shakula ya mutoto hiyooooo
Eti chakula ya mutoto.....na isije tu ikatokea akasinzia wakati ananyonyesha.......likamlalia huyo mtoto kwishney..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shakula ya mutoto hiyooooo
Eti chakula ya mutoto.....na isije tu ikatokea akasinzia wakati ananyonyesha.......likamlalia huyo mtoto kwishney..........
Wanaposema bongo muvi zinalipa huwa unaelewaje kwani ?.........na hakuna cha maana wanachofanya kwenye hizo muvi zaidi ya kuvaa, kuendesha magari na make up.....
chakula ya mutoto inaachwa nje njeShakula ya mutoto hiyooooo
hivi hao watoto wa mawaziri wanawapataga wapi..........
Baba zao tupo.
Hahahahaaa
Polepole nipo chumbani.
anakumbuka shuka kumeshakucha.........
alivyyokuwa anahongwa na njemba la T.O.T hakujua haya
Heheheeeee..chumbani! Maya ukitoka nishtue
Nikushtue ufanyaje?
Nikusalimie
Ingia chumba namba mbili a.k.a PM.
mie nikajua ukiigiza tu unatoka....watu wanaendesha ndinga za maana
ushindwe wewe sasa kumhonga
![]()
Haka kabinti kuna mshkaji anakamega huku atown mara nyingi wkend kako huku
Dinazarde Heaven on Earth qn of sheba kuna fursa huku.Jamaa yuko sawa financial yani yuko sawa kuhonga magari wadada kwake kawaida sana, hapa twn wko kibao ambao wamepata ist, rav4 na volkswagen toureg