Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Waongaji sasa hivi wako bize kutengeneza katiba

Hawakosekani mkuu, wenye vitambi wanaopumulia mashine ndani ya suti zao kama wako Dom. Basi mapedejee wa unga wapo!!!! Wewe pita tu night club kubwa kubwa mjini utawakuta na hawa maselebureti wetu.
 
hahaaaaa kazi kweli kweli... mtu kaanza kuigiza juzi juzi unashangaa kaibuka na ndiga la maana
sa unajiuliza ni movie hizi hizi ama mbona kina bi mwenda wameigiza miaka nenda rudi lakin hamna kitu
 
hahaaaaa kazi kweli kweli... mtu kaanza kuigiza juzi juzi unashangaa kaibuka na ndiga la maana
sa unajiuliza ni movie hizi hizi ama mbona kina bi mwenda wameigiza miaka nenda rudi lakin hamna kitu

Akili kumkichwa shosti...
 
Aka CH OK.o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…