Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Waongaji sasa hivi wako bize kutengeneza katiba

Hawakosekani mkuu, wenye vitambi wanaopumulia mashine ndani ya suti zao kama wako Dom. Basi mapedejee wa unga wapo!!!! Wewe pita tu night club kubwa kubwa mjini utawakuta na hawa maselebureti wetu.
 
Yaani mabinti wengi mikoani wanaitamani tasnia ya filamu kwa kuwaangalia wenzao akina Aunty, Wema, Lulu, Odama, Kajala na wengineo....kumbe ukweli ni kuwa filamu inatumiwa kama platform tu ya kuwaweka sokoni wageuzwe "sex slaves" na wenye nazo....

Na ukweli ni kuwa tasnia hii ya filamu ilipaswa kuwa kioo cha jamii na kuheshimiwa sana, na sio haya madudu yanayofanyika.

hahaaaaa kazi kweli kweli... mtu kaanza kuigiza juzi juzi unashangaa kaibuka na ndiga la maana
sa unajiuliza ni movie hizi hizi ama mbona kina bi mwenda wameigiza miaka nenda rudi lakin hamna kitu
 
hahaaaaa kazi kweli kweli... mtu kaanza kuigiza juzi juzi unashangaa kaibuka na ndiga la maana
sa unajiuliza ni movie hizi hizi ama mbona kina bi mwenda wameigiza miaka nenda rudi lakin hamna kitu

Akili kumkichwa shosti...
 
mheshimiwa Masaki ,suala la kujichukulia shria mikononi ni fano mkubwa ambao unaonyesha jinsi gani sheria imeoza nchini,angalia jeshi la police jinsi lilivyokuwa duni hawana communication ya kutosha ,magari na vyombo vingine vya mawasiliano vimeshindikana kupatikana kutoka kwa government hii inachangia sana kwa jeshi hilo kutofanya kazi zake kwa ufanisi zaidi,hapa wa kulaumiwa ni serikali na wla sio hao police kwani kama serikali ikihitaji watu hawa kufanya kazi zao kikamilifu watazifanya.Serkali lazima ifanye investment kubwa sana katika jeshi la usalama wa raia (police)kama walivyoinvest katika jeshi,kama kuna kijinchi kitakachojaribu kutuletea tabu basi9 hapo ndipo mtajionea jinsi gani imewekeza ndani ya jeshi letu,na vivyo hivyo inaweza ikafanyika kwa jeshi la police.Vibaka wote watakapoyeyukia hatutojua.

peace!!!

Aka CH OK.o
 
Back
Top Bottom