Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Chief usichukulie serious story za humu jamvini nyingi ni za uongo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Majibu unayo tayari.
Confirmed!

Nyota sipendi kuliongelea suala lake sababu ya mahaba yangu kwake yananipa upofu kuyaeleza.
Nilikua mdau wao mkubwa Njenje Band zamani kabla hajafiwa na mume wake na mwanzilishi Babu Njenje. Ile bendi yote ya yote walikua na mambo nao....
 
Aaaah Mkuu kuwa serious kidogo, hilo dudu la yuyu umeliona kwa macho yako?
 
Hivi lulu ashalisemea hili la mumewe???

Nadhani Maumivu aliyonayo moyoni ni makali mnoooo binafsi namkubali alivo strong and cool hata kama ana mambo yake
Wewe? Analisemeaje sasa?
Hawezi na Lulu huwa haongelei mambo ya wanaume zake kabisa.

Ila kuna kipindi kulikuwa na tension kubwa, kidogo aache kumpost mumewe kwenye birthday day yake kitu ambacho sio kawaida hadi minong’ono ilipoanza ndio akapost.
 
Sikutaka kumtaja jina maana namuona umri umeenda sana na wengi hawamfahamu kwa kizazi hiki. Kwa hiyo bora aendelee kuzeeka vizuri na uzuri wake

Ila dar 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
 
Hahahaha................nilijiwekea nadhiri zamani kabisa kwamba baada ya 50 mambo ya dogodogo nawaachia Vijana, nashukuru nilimudu hilo.

Dogodogo wengi ukiona anakukubali wewe Mzee ujue amelenga jambo fulani kwako.

Mambo ya kutawanya mali ulizochuma na mke wako wa ujana sio jambo lenye afya kwenye Uzee wako.

Huwa najisemea kama nilifanikiwa kulala na "Visu" vyote vile enzi za ujana wangu nitakuwa nimebakiza nini kwa kibinti kidogo cha umri wa Mjukuu wangu wa mwisho.
 
Kesho nahamia dar
Siwezi kukubali yanipite yote haya so aliwatongoza au wao walimtongoza?
Alianza kaka mtu, akachakata…

Baadae akaja mdogo mtu, na Gigy alivyo na laana akamruhusu akachakata!
Mwenyewe anasema wala hajali, waliyataka wenyewe!

Japo kaka mtu alimind kimtindo alipogundua dogo nae kachakata.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🫶
Nimecheka sanaaaaa, sana!
 
Nifah unanikumbusha marehemu Warumi
Umetofautiana naye jinsia tu.


Inaonesha kama uliyoyadema kuhusu Lulu ni kweli, basi hajawahi kutulia na hatokaa atulie.
Kwenye ubuyu lazima kunakuwa na ufanano…

Ndio maisha yake hayo Mkuu, nadhani mumewe anajua vyema na kukubaliana na hilo.
 
🤣🤣🤣 Naona umemdhamiria Lulu kwelikweli!
Tatizo hawa wanawake nyakati zao zikipita ndo basi. Wakati niko shule ya msingi nilikuwa nikiona sura ya Odemba kwenye tangazo la lotion nilikuwa nasisimka... nyakati hizohizo akatokea Hoyce Temu ikawa balaa. Nikiwa sekondari O - level ndo ikawa enzi za kina Nora, Sinta, Fiderine Iranga na Kajala. Tamaa yangu ikawaka sana juu yao. A - level nilikuwa bize sana na ndo ilikua Mr Blue kaanza kuvuma. Nikiwa Chuo ndo wakaibuka kina Wema, Uwoya na Kidoti.... katika maisha yangu nilijiambia kama kumtafuna Uwoya itanipeleka motoni acha niende tu. Yule mwanamke kwenye enzi zake alinivuruga mno. Kidoti hajawahi kunivuruga sana kwa sababu ya ukosefu wa chura. Kwa huu wakati tuliopo tamaa yangu iliwaka kwa yule socialite Sanchoka ila siku nimemwona mama yake LIVE ikabidi nitengue tamaa zangu na kutafakari upya.... yule mama enzi za ujana wake nadhani wazee walipambana sana kumpata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…