Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Kwahiyo Salama anamkojolea Lulu? Nasikia nae mcovid 19 kiongozi anakasaga hatari. Ila mjini hapa aisee yani kuna dem mkovid 19 kiongozi alimuhonga ist ili tu amsage tena dem ndo alikuwa anafanya kudai kwa kudeka
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Dah nimecheka sana!
Kumbe dau huwa linapanda na kushuka kama bei ya mafuta? Aiseee 🙌🏾🙌🏾
Hali ya upandaji wa dollar dhidi ya shilingi huchangia pia hao wajasiriamali kupandisha gharama zao.

Ila enzi za Magu gharama zilishuka maradufu sio kama saivi 🤗
 
Unamuongelea Cassandra au 😅😅😅😅
Halafu kweli mtoto kafanana na kaka mtu
Ila wale kwao wanafanana sana
 
Kwahiyo Salama anamkojolea Lulu? Nasikia nae mcovid 19 kiongozi anakasaga hatari. Ila mjini hapa aisee yani kuna dem mkovid 19 kiongozi alimuhonga ist ili tu amsage tena dem ndo alikuwa anafanya kudai kwa kudeka
Halafu unakuwaga na ubuyu wewe? Wala sikuwa nikifahamu kama huyu kistuli anasagwa na Mzee Mdee, duh!
 
Sasa wewe kupanda nae ndege ulijuaje kama katoka kupeleka tunda kwa jamaa jamani? 🤣🤣
Bahati nzuri nimekuwa nafanya Shughuli zangu kule, kwahiyo nafahamu kinachoendelea. Hata huyo Bottemo, I once met her kwenye Air Tanzania akitokea kule.

Sio mara moja ama mbili nakutana na Slay queen maeneo yale. Mara nyingi ukipanda ndege ya Jumatatu asubuhi unakuta wanarudi Dsm na Ijumaa ndiyo huwa wanaenda.

Wale wachimbaji hawaoni kazi kumwaga hela, Imagine gharama ya ticket ya ndege to and from pamoja na mshiko wake.
 
Kwamba mapenzi yao yanazidi ya George Mpoji na Amanda? Huku mshikaji wao wa karibu Jeff akiwa shahidi wa kila hatua?
 
Hali ya upandaji wa dollar dhidi ya shilingi huchangia pia hao wajasiriamali kupandisha gharama zao.

Ila enzi za Magu gharama zilishuka maradufu sio kama saivi 🤗
Kwahiyo kama mdau inabidi ufuatilie kujua bei elekezi kwa wakati husika? 🤣🤣🙌🏾
 
Unamuongelea Cassandra au 😅😅😅😅
Halafu kweli mtoto kafanana na kaka mtu
Ila wale kwao wanafanana sana
Hivi unajua wewe ndio umenifumbua akili? Kumbe ni Nambua?
Jamani jamani!
Na hizi lingerie za Nacharo ni za kwake? Haki sijui mengi kumbe? Loh 🙌🏾🙌🏾

Huu ndio uzuri wa thread ya umbea, unatoa na kupokea umbea mpya.
 
Kabisa ukienda kichwa kichwa lazima wakupige parefu kupata huduma yao 🤗
Leo umenifurahisha sana, tafadhali usiwe unakosekana kwenye thread zangu za ubuyu maana leo umeupiga mwingi sana.

Unaonekana una vituko sana, mama anafeli wapi asitulie nyumbani mfurahie maisha jamani?
 
Wanunuzi/watu ambao wanaweza kumwaga hela kwa ajili ya K au tako KUBWA
1. Wachimbaji madini
2. Wauza ngada
3. Wanasiasa
4. Watu waliopata pesa nyingi za ghafla kwenye ajira, utapeli, biashara, mirathi, fidia, pensheni, kuuza viwanja/nyumba e.t.c


Hayo makundi ni ndio wateja sana, na ndio wanacontrol bei elekezi ya soko. Hao watu wakiwa wachache ndio bei elekezi inashuka. Wakiwa wengi na binti akiwa mzuri mwenye tako kubwa. Bei inashoot mpaka 3m per night 🤣. Kuna kaewura fulani hivi kanakopanga bei elekezi 🤣
 
Leo umenifurahisha sana, tafadhali usiwe unakosekana kwenye thread zangu za ubuyu maana leo umeupiga mwingi sana.

Unaonekana una vituko sana, mama anafeli wapi asitulie nyumbani mfurahie maisha jamani?
Uzee unakuja na mambo mengi Mkuu, najua akimaliza kusalimia Wajukuu huko Mjini atarudi kuni-join but for now naondoa stress na JF.

Thanks for your Compliment, nikipata wasaa nami nitawa-join nitakapoona taarifa za kuwasili Ubuyu moto moto kutoka Jikoni kwako.

See you there
 
Watu wanaingia Hadi vyumbani na kuangalia watu wanavyo t!@an@. Hadi wanapata hizi taarifa.
 
Uko sahihi Mkuu

Kuna jamaa alipata 200M mwezi Juni mwaka huu, alipanga apartment na kuanza kuwala hao Slay queens mmoja baada ya mwingine.

Hakuchukua round mzigo ukawa umeisha, saivi amerudi kuchimba tena. Anajiapiza akizipata tena lazima ampate Chuzu, sijui kama atafanikiwa kumpata maana Chibu anamlinda sana yule binti
 
Kuna dogo alipata mgao wa mirathi 30m+. Pesa aliyeyushia Dar na Dubai na maslayqueen wa Instagram wenye misambwanda. Kaishiwa na sasa kajificha kwa dada yake 🤣

Pesa+upwiru=0
 
So wakina fid q walikuwa wana mpakua
 
Mbona siwajui hao? Kama nimewahi kuwasikia ila siwajui.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dash! Umenichekesha sana.
Huwajui George Mpoji na Amanda?
Jeff mshauri na mshikaji wao wa karibu?

Itakuwa bado wewe ni under 23.
Ila hawa wana mapenzi yalikuwa moto haijawahi tokea. Waulizie wajanja wa enzi hizo watakuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…