Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Anamaanisha wanapakuana mkuuinasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!
nimeshindwa kufungua hii code! ni mchezo gani huo king kiba anaoucheza?